kipimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. uhurumoja

    Hii game ya Usma na Berkane itakuwa kipimo tosha Cha uhuru wa CAF ya Motsepe

    Kwa mara nyingine siasa zimeingilia hii game tutaona kama ni team zitafungiwa au ni nchi zitafungiwa jumla Au wataogopwa vile ni waarabu maana ingekuwa nchi kama tz Motsepe na genge lake wangeandika barua ya adhabu usiku huu huu Hii mechi haipo Dreams Zamaleki atangazwe bingwa
  2. NCHABIRONDA

    Naomba kujuzwa gharama za kipimo cha DNA

    Habari wanachama wa JF, Kwa mwenye uelewa wa kitengo hiki naomba anijuze gharama za kupima kipimo cha DNA.
  3. matunduizi

    Kwanini kipimo cha nguvu za Mungu maishani mwako kiko kichwani na kinywani mwako?

    Tofauti yako na yule ambaye unaona anamfaidi Mungu na nguvu zake iko kichwani na kinywani mwako. Wote ambao akilini mwao wanaamini katika ufinyu na uhafifu wa uwezo wa Mungu watafaidi uhafifu na ufinyu huo. Wale wanaoamini katika na kusadiki kabisa kuwa kwao Mungu ananguvu na uweza wote kuliko...
  4. G

    Hivi kile kipimo cha kauli ya Mzee Kikwete, kuwa labda "mambo yaharibike sana", hakijatimia?

    Rais Jakaya Kikwete amesikika mara kadhaa akisema kuwa "mgombea urais kupitia ccm 2025 atakuwa mama Samia labda mambo yaharibike sana hapo katikati". Sasa swali langu ni je, mpaka sasa, bado mambo hayajaharibika sana? Au kipimo cha kuharibika sana kwa mambo ni kipi?
  5. LIKUD

    Kipimo cha kujua kama mwanamke ana akili ama hana akili kwa kutazama mapishi yake

    Kama mwanamke anapika chakula anajaza chumvi nyingi kwenye mboga basi kuna uwezekano mkubwa sana mwanamke huyo akawa na akili ndogo ama hana akili kabisa. Na kama chumvi inayo tumika ni chumvi hii ya kemikali ( ya dukani) basi uwezekano wa mwanamke huyo kutokuwa na akili unakuwa Mara dufu...
  6. S

    Mke mwema huwa anazungusha sana kabla ya kukubali. Makurumbembe yenyewe huwa fasta tu yanaingia nyavuni

    Wnaume wamekuwa wakihangaika sana na wanaumiza vichwa sana kutafuta mwanamke mwenye sifa njema na tabia njema. Sexless kungwi mzoefu na mboezi nimejiridhisha kupitia uzoefu wa kazi yangu kuwa: 1. Mwanamke ambaye ni mrahisi kukubali kuanzisha mahusiano huwa siyo wife material. 2. Mwanamke...
  7. F

    Paul Makonda ni kipimo cha weledi mdogo wa viongozi wakuu wa nchini

    Tusizungumze mengi sana twende tu moja kwa moja kwenye pointi ninayotaka kusema. 1. Paul Makonda elimu yake inatiliwa mashaka. 2. Paul Makonda alifanya mambo yasiyo na weledi wa kiuongozi alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar, mojawapo ni kuvamia kituo na redio cha Clounds FM, kuwaweka chini ya ulizi...
  8. D

    Kipimo cha HIV/AIDS (Bioline) kinaweza kutoa majibu sahihi hata ukitumia water for injection (maji ya kuchanganyia dawa za sindano) badala ya buffer

    Niliwahi ambiwa na wataalamu wa hospital DOCTORS AND NURSES..Kuwa ukipima HIV/AIDS kwa kutumia kipimo cha Bioline ukikosa maji yake..unaweza kutumia hata water for injection na majibu yakatoka sahihi Nakiri ni kweli baadhi ya sample niliwajaribu kuzipima kwa kutumia buffer pia sample izo izo...
  9. GENTAMYCINE

    Mkiambiwa Mungu hapendi Kulazimishwa Jambo kwani hutupa kila Kitu kwa Kipimo hatusikii tu

    Na kaniambia hii Mvua isiyoisha Koki yake ataisahau wa Makusudi kwa muda mpaka tushike Adabu kisha atarejesha Jua lake na Joto. Ndani ya Wiki Mbili nzima kila Mtu anamlaumu tu Mwenyezi Mungu kwa Joto na Jua Kali na Wengine hata Kumchukia wakati Yeye alikuwa na lengo lake Jema tu na sasa baada...
  10. Jocasta

    Msaada Juu ya kipimo Cha HB level test

    Habari za mwaka mpya ndugu zangu. JUZI Mrs alikuwa anasumbuliwa na mafua pamoja na kichwa ambavyo vimedumu Kwa mda mrefu Sasa, ikabidi nimpeleke hospitalini. Alipoeleza dalili hizo Swali la dokta:au una ukimwi?. Akamwambia inabidi ukacheki damu!!! Nilipofatilia vipimo alivyofanyiwa nikakuta...
  11. Petro E. Mselewa

    Kiwango cha Simba kingekuwa kipimo cha Klabu Bingwa Afrika, michuano hii ingedharaulika sana

    Kwa kiwango na uchezaji wa Simba hii, hakika michuano hii ingedharaulika na kutofuatiliwa. Simba imechoka na haina hata uwezo wa kupiga pasi tano. Simba wamekuwa wakijipambanua kuwa wao ndiyo wacheza-klabu Bingwa Afrika. Wamekuwa wakiwabeza na kuwatweza Yanga kuwa michuano hiyo hawaiwezi na si...
  12. C

    Hospitali ipi ninaweza kumfanyia kipimo cha EEG test kwa Tanzania, mwanangu anasumbuliwa na degedege

    Wakuu habari, Nilipata ushauri kufanya hiko kipimo(EEG TEST) kulingana na kadhia ya mwanangu, naomba kupatiwa jina la hospitali nitakayompeleka kwaajili ya hiko kipimo maana Anayo bima ya afya(NHIF). Mbarikiwe
  13. Wadiz

    Sakata la Walimu kufukuzwa kule Tunduma kisa wimbo wa Zuchu "Honey" ni Kipimo cha Mawaziri Vilaza wa Nyakati za Sasa

    Kuna wakati na nyakati, msanii wa mziki haishi mbinguni na hawakilishi malaika, Waziri Mkenda ni mshamba sana narudia ni mshamba sana. Wimbo wa Zuchu content yake ni ya kitanzania na huu wimbo una kiswahili cha kificho ama tafsida. Ni aibu sana kuwa na Waziri mkurupuko na mshamba kama Mkenda...
  14. Nsanzagee

    Kipimo cha ujinga cha wenye chuki dhidi ya Paul Makonda, ni kutokunywa sumu wafe!

    Ujinga mkubwa kabisa, ni kuendelea kuwasikiliza hao wanasiasa walioishiwa sera dhidi ya Paul Makonda Watu ukishawajua bhana, haikusumbui! Asante Mh Rais Samia kwa kuwajua hawa wanafiki wa siasa! Mtavumilia hadi lini enyi wanafiki, wenye wivu, kijicho, wasengenyaji na wapiga majungu dhidi ya...
  15. Nsanzagee

    Kipimo cha ujinga wa wenye chuki dhidi ya Paul Makonda ni kutokunywa sumu mfe!

    Watu ukishawajua bhana, haikusumbui! Asante Mh Rais Samia kwa kuwajua hawa wanafiki wa siasa! Mtavumilia hadi lini enyi wanafiki, wenye wivu, kijicho, wasengenyaji na wapiga majungu dhidi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar na sasa ni katibu mwenezi wa chama kubwa kabisa la CCM kutokunywa sumu...
  16. Wadiz

    Waziri Nape atambue nafasi yake ni kipimo cha utu na utimamu wa akili hasa kiutendaji

    Habari ya zuio ama masharti ya matumizi ya VPN kutoka kwa Waziri Nape na wizara yake kwa ujumla inasikitisha hasa inapotokea Waziri anakosa statements zenye substance na credibility, si vema watu wenye dhamana kama ya ndugu Nape kutoa statements zenye mzaha mzaha, Tanzania sio kisiwa vinywa...
  17. Black Butterfly

    Huduma ya Kipimo cha MRI katika Taasisi ya Mifupa MOI ni kero kwa Wagonjwa

    Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu. Oktoba 9, 2023 nilikwenda kumpeleka Ndugu yangu pale MOI kwaajili ya kupata vipimo kutokana na hali yake kiafya kusumbua kwa muda mrefu. Kufika pale Daktari akamwandikia kipimo cha Magnetic Resonance Imaging (MRI) ili kubaini tatizo lake. Balaa likaanza...
  18. Z

    Al Merrikh: Timu yenyewe ni ya wakimbizi, haishiriki ligi, inacheza huku ikiwaza mabomu yanavyopigwa nyumbani!! Kuifunga siyo kipimo!!

    Kumsukuma mlevi si kipimo kuwa una nguvu!! Timu ya Al Merrikh ni wakimbizi, wanalazimika kucheza ugenini, hakuna ligi huko kutokana na vita, wanacheza huku akili iko nyumbani wakiwaza mabomu yanavyotishia uhai wa jamaa zao! Kuna ajabu gani kuifunga timu kama hiyo!! Kuifunga na kufurahi ni...
  19. kilamba lamba

    Msaada: Majibu ya kipimo cha Ultrasound

    Natumai hamjambo humu ndani. Nilikuwa na Swali kidogo hapo. Kwa mwenye kufahamu hili msaada kidogo. Hivi kipimo cha Ultrasound kinaweza kukupa majibu sahihi ya Umri wa mtoto, kwa Mfano labda una muda gani wik ngap Au Miezi mingapi? Je Ultrasound inasoma kuanzia Siku ya mwisho mwanamke kuziona...
  20. Kinyungu

    Kipimo cha DNA chaonesha mafuvu yaliyoporwa na Ujerumani kutoka Afrika yatokea Tanzania

    Moja ya fuvu katika maonesho Makumbusho Berlin Watafiti wa Kijerumani wamefanikiwa kupata kwa uhakika ndugu wa watu ambao mafuvu yao yalichukuliwa na Wakoloni wa Kijerumani kwa ajili ya "utafiti". Watafiti hao wanasema wameweza kupata ndugu wa watu toka jamii ya Wachagga ambao mabaki ya ndugu...
Back
Top Bottom