muonekano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. African businesses

    Naweza kukuonesha njia nzuri ya kuipa muonekano nadhifu ofisi au nyumba yako

    Habari zenu wadau, leo nawakaribisha na kuwaambia kwamba sisi kama African businesses tunatoa huduma ya kupamba na kupendezesha ofisi au makazi kwa kwa kutumia mapambo ya mbao na picha pamoja na materials mengine, tunafanya ofisi au nyumba yako kuwa nadhifu kabisa. Gharama zetu ni nafuu sana...
  2. Execute

    Sababu rahisi zilizofanya nikaacha kuwaoa hawa wadada wazuri kwa muonekano

    Simu yake imeharibika halafu akasema atarekebisha juujuu ili akambambikie mtu mwingine. Nikamuacha mara moja. Mwingine namuuliza kitu gani unachokipenda maishani akanijibu yeye anataka avae na kupendeza. Nikaona huyu akili hana. Nikasonga mbele. Ladies, wanaume tunapotaka kuoa tunakuwa...
  3. M

    Je, ni kweli kupendwa au kuchukiwa na watu kunatokana imani za giza au muonekano wa mtu?

    Namshukuru mwenyezimungu mwingi WA kusamehe, pia nawashukuru wazazi wangu Kwa kunizaa pia nawasalimu wote ambao tupo kwenye jukwaa hili. Kwanza kabisa naomba niseme wazi kwamba Mimi ni miongoni mwa watu ninaojihisi nachukiwa sana katika maisha yangu, nimekuwa napitia changamoto za...
  4. sky soldier

    Sifa za Kabila, muonekano, taifa, Dini,n.k. zimewahi kukufanya uonekane mbaya hata ulipokuwa mwema au uonekane mwema hata ulipofanya baya ulitetewa ?

    Nakumbuka niliwahi kwenda kituo cha polisi kwa kosa flani hivi dogo tu ila ghafla likakuzwa sana ionekane mimi ni muhalifu mkubwa, ni siku niliyojifunza waweza kuumwa kichwa usiku ukakamatwa kwa uzururaji ila polisi wakaikuza kesi iwe unachorea ramani majambazi, sasa kule kituoni huwa wanaandika...
  5. Roving Journalist

    Muonekano wa Shule ya Msingi Kugulunde, miundombinu yake ni hatari kwa Wanafunzi na Walimu

    Huu ndio muonekano wa Shule ya Msingi Kugulunde iliyopo katika Kitongoji cha Mahande, Kata ya Mtii, Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro. Shule hii ya Serikali haina miundombinu inayoridhisha kuendeleza harakati za utoaji wa elimu, kwani tangu ilipopatwa na maporomoko yaliyotokana na mvua kubwa...
  6. Bukayo Saka

    Muonekano mpya wa Windows 11 23hr

    Muonekano mpya baada ya kufanya update ya windows 11 pro kwenda 23h2
  7. sky soldier

    Yanga wapewe maua yao kwenye kitengo cha Habari lakini tovuti rasmi ni kituko, imekachwa, ina muonekano kama blog za udaku. Mtutolee hii aibu

    Ni kweli Yanga ndio walikuwa na tovuti mapema zaidi kuanzia mwaka 2012 tofauti na Simba walioanza kuwa na tovuti mwaka 2019 lakini kinachoendelea kwenye tovuti ya Yanga ni aibu na wala hakiendani na uzito wa idara ya habari inayofanya makubwa kwenye mitandao ya kijamii. Daima mbele nyuma mwiko...
  8. muafi

    Muonekano wa Dudu Baya unasikitisha. Mliomtumia kumchafua Ruge mpeni msaada

    Kama mnavyomuona huyu mwamba, inaonekana ana hali mbaya sana, inamaana wale mliokua mnamtumia amchafue Ruge na Cloudz. Mmemtema au?
  9. Nijosnotes

    Muonekano mpya tovuti ya serikali

    Wanajukwaa kwema? kama kichwa cha uzi kinavyosema, ni muda kidogo sijatembelea tovutu ya serikali yetu ya Tanzania, ikiwa na domain tanzania .go.tz. Lengo la uzi nikutaka cha kwanza kupongeza muonekano mzuri wa tovuti kwasasa tofauti na hapo awali, pia kama mdau wa TEHAMA ni kukufahamisha kuwa...
  10. Hance Mtanashati

    Muonekano Cynthia Rock, aisee hazeeeki. Yaani bado kigoli, mtoto mbichiiii

    Pasina shaka ya aina yoyote ukisema umtaje role model wa wasichana wowote wanaopenda mapigano basi lazima utamtaja mwanamama Cynthia Rothrock ama Cynthia Rock kama anavyulikana na wengi. Tangu enzi na enzi Cynthia amekuwa chachu ya wasichana wengi kutamani kujifunza sanaa ya mapigano kutokana...
  11. Tausi Rehani

    Young Lunya na muonekano mithili ya mrahibu wa dawa za kulevya

    Kwa wasiomfahamu, Young Lunya Ni Moja ya Rappers wenye flow kali hapa Bongo inayoambatana na unyamwezi mwingi. Going to the point, Muonekano wa Young Lunya hivi karibuni umekuwa wa kutia Mashaka, Huenda Msanii huyu ana chembechembe za utumiaji wa madawa kutokana na kupoteza muonekano wake wa...
  12. Analogia Malenga

    Mabadiliko ya muonekano wa tovuti ya TCRA yameathiri upatikana wa ripoti za mawasiliano nchini

    TCRA tunaomba mfanye jambo maana leo kuna takwimu nimezifuata lakini kiunga kuelekea kwenye communications statistics hakifikiki Japo muonekano ni mzuri lakini tatizo hili ni kubwa kwa sisi watumiaji wa takwimu kutoka kwenu, Hili nalo mkaliangalie Uzi tayari
  13. Mr Why

    Dula Makabila aja na muonekano mpya wa kike

    Dula Makabila msanii maarufu wa Tanzania wa miondoko ya Singeli ameamua kubadilisha muonekano wake asili wa kiume na kuja na muonekano mpya wa kike akiwa amevalia wigi la kike pamoja na glasss ya kike. Dula anadai kuwa anafuata ushauri wa mpenzi wake aliye naye sasa na kila analomweleza basi...
  14. covid 19

    Fanya gari lako kuwa la kuvutia kwa kubadilisha muonekano

    Fanya gari lako kuwa la kuvutia kwa kubadilisha muonekano wa gari lako kwa kuweka plate namba za kisasa za 3D. Hii ni fursa adimu ya kuongeza hadhi ya gari lako kwa gharama ndogo na muda mfupi tu. Fanya gari lako kuwa tofauti na wengine, lipende gari lako. Plate namba za 3D zinapatikana hata...
  15. JanguKamaJangu

    Muonekano wa Stendi ya Mabasi Kondoa (Dodoma) unatia aibu

    Licha ya mamlaka za Serikali kuendelea kutoza ushuru kutoka kwenye mabasi ya abiri yanayopita kwenye Stendi Kuu ya Wilaya ya Kondoa. Mkoani Dodoma bado hali ya mazingira si mazuri. Mabasi yanavyopita wakati wa kiangazi vumbi linalotimka hapo si la Nchi hii, wakati wa mvua napo matope ndio...
  16. mngony

    Tunaweza kuboresha Podium zetu Ikulu ili kuongeza taswira na muonekano wa unadhifu?

    Huenda kuna maarifa mengine tusiyoyajua ila muonekano wa Podium au jukwaa za kuhutumia viongozi hauko katika muonekano nadhifu zaidi kutokana kuwa kuweka material ya bati, ambazo zimeonekana kuwa na michubuko na mabonde mabonde. Kwa utajiri wetu wa misitu na aina mbalimbali za miti tungeweza...
  17. Cute Msangi

    Muonekano wangu ndio tatizo

    Jamii forums ni sehemu sahihi ya kupata ushauri, samahani Kama ntakuwa nawakera kuleta mada mpya kila siku Nina Visa na mikasa kwenye life langu. Mimi ni mtoto wa 5 Kati ya familia yenye watoto 8,sitaielezea familia yangu kwa undani Kuna watu watafahamu code, nina diploma ya uhandishi wa habari...
Back
Top Bottom