Wadada kausha damu, jifunzeni hata kuwapikia boyfriends wenu

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,699
Habarini

Nimefanya takwimu isio rasmi, nimegundua wanaume ndio tunaongoza kwa kula migahawani kila siku, asubuhi mchana na jioni, wadada wanaokula migahawani ni wachache, tena wanakula mara moja moja, nika-reason na kusema wanaume wanaokula migahawani sio kwamba wote wako single, wengine wako kwenye mahusiano yasiyohusiana na kitu chochote, mtu unahudumia hela, attention, time effort, papuchi unapewa kwa manati, au hupewi kabisa, every day unakula chakula usichojua kimepikwaje, wakati una mpenzi tena anaejua kupika, ila hapendi kupika/kukupikia.

Mtu unashindwa kuelewa contribution ya mdada kwenye meza ya mahusiano ni nini haswa, haya umeshindwa kunipikia, hata uwezo wa ku-have interesting Convo huna, na ushauri wa kunipa ambao ni constructive hauna, zaidi ya kunishauri baby buy this for me, baby buy that for me.

Ndo maana baadhi ya Wanaume wanaamua kuji-dronedrake🥹
 
Back
Top Bottom