Fursa kwa wadada kufanya huduma ya kukata kucha

TZ-1

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
3,255
5,502
Habari wadau,

Leo nilienda na sendo huko katika kibarua changu sasa ghafla kujitazama nakuta kucha za vidole za miguu zimekuwa kubwa na chafu dah za MKONONai nazo ni kama zimefikia hatua ya Kukata.

Sasa wakati nikiwa nimekaa eneo la lunch nikiwa nasubri mdudu ¼ na ugali nikaziona tena ila wazo likanijia kama kungekuwa na wadada nao wanatembea kibiashara kwaajili ya kukata kucha hizi basi ningekuwa mteja wa hiyo huduma maana kwangu naona ni bonge la kazi bora hata kulma

Wazo langu la BIASHARA kwa dada chukua hyo uongeze kpato na uzuri sisi mtakuwa mna keep change.

IMG_20240425_142353.jpg
 
View attachment 2973554
Hii miguu inatisha sana loooh nipe hiyo kazi nije na box la wembe za rungu, Kila kucha kukata iwe 50k maana duh
 
Hivi inakuwaje mpaka mnakuwa hivi?

Ni kwamba hamjijari au ndo mnajifanya mko busy na maisha..

Kama sehemu ya wazi iko hivi, vipi kuhusu kwenye pumbu huko ? au boxer unayovaa itakuwaje?
 
Back
Top Bottom