Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 1,709
- 5,699
Za asubuhi
Kwenye majira flani hivi yaliyopita nlikuwa mahali ofisini, nafanya mishe zangu, mara akapita mdada jirani wa siku nyingi kidogo tunaefahamiana kwa majina tu ila sinaga mazoea nae zaidi ya salamu, akanisalimia, nikamjibu, alichokifanya baada ya kutembea hatua mbili mbele yangu ndo kimefanya nijiulize kama alifanya vile makusudi anirushe roho, au it was a subconscious act
Alikuwa amevaa jeans ya kubana, kiukweli ana kalio ambalo sio kubwa sana ila lina shepu nzuri tu, alivopita mbele yangu mkono wake wa kushoto aliupitisha na kuusugua katikati ya mstari wake wa makalio kama vile anatawaza, hlf baada ya hapo jeans yake akawa anaipandisha na kuishusha kana kwamba anaiweka jeans yake sawa, kwahiyo alivofanya kupangisha na kuishusha jeans yake, kalio lake likawa linacheza cheza (twerking) linapanda na kushuka, nlivoona Ivo ghafla nikahisi kifuani kwangu kama kuna maji yanachemka
Ni kitendo kilitokea ndani ya sekunde 20, hlf mm ni mtu wa kusoma body language za watu kujua wanataka kuleta ujumbe gani ambao hawawezi kuuongea mdomoni, mpaka Leo sijajua alimaanisha nini, nafikiri alitaka attention yangu iwe kwenye kalio lake, sijajua kwanini
Chonde wanawake tusipelekane motoni kizembe