waandishi wa habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Waandishi wa Habari wa Michezo Tanzania acheni Unafiki na Upuuzi

    kabla ya Taifa Stars kucheza na morocco leo katika michuano ya AFCON huko nchini ivory coast waandishi wa habari za michezo wa Tanzania walituaminisha kuwa morocco atafungwa tu huku wakiwapa sifa kem kem za uwongo na kweli wachezaji wa Taifa Stars na kuna wapuuzi na majuha waliwaamini Cha...
  2. Roving Journalist

    Mobhare Matinyi: Mkazo wa Serikali ni kuelimisha wananchi wa Ngorongoro ili wahame kwa hiari

    Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi anazungumza na Waandishi wa Habari, leo Januari 17, 2024, Handeni-Tanga. https://www.youtube.com/live/tgDq_QmfwgI?si=7y6tlTVhDddXkqWX Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi amesema Mkazo wa Serikali ni kuelimisha wananchi wa Ngorongoro na kuwahamisha...
  3. Sildenafil Citrate

    Wakili Mwabukusi: Mwaka 2020 nilikamata masanduku manne ya kura bandia za Rais

    Fuatilia yanayojiri kwenye mkutano wa waandishi wa Habari wa Dkt. Slaa, Mdude na Wakili Mwabukusi. https://www.youtube.com/watch?v=rm8wI2pHQ4s Mabadiliko ya Sheria yanayotaka kufanyika yanapasaswa kuendana na mabadiliko ya katiba. Huwezi kujenga. Tunashauri kwamba katiba ibadilishwe, tazama...
  4. Dalton elijah

    Idadi ya vifo kwa Waandishi wa Habari imeongezeka zaidi mwaka 2023

    Idadi ya waandishi wa habari walio fariki mwaka jana, imefanya 2023 kuwa mwaka mbaya zaidi katika muongo mmoja kwa wafanyikazi wa vyombo vya habari. Shirika lisilo la kiserikali Press Emblem Campaign (PEC) yenye makao yake makuu mjini Geneva ilitangaza hapo jana (Jumatano). Kulingana na PEC...
  5. Erythrocyte

    Waandishi wa Habari waliogombea Ubunge kupitia CCM 2020 waepukwe kama Ukoma, hawawezi kutenda haki

    Hii ni Taarifa ninayoielekeza kwa CHADEMA, chama Pekee cha Upinzani Nchini Tanzania, kwamba 2020 kwenye ule ulioitwa Uchaguzi waandishi wengi wa habari wa vyombo vinavyoitwa binafsi, waligombea ubunge kupitia CCM , Huku wakiendelea kutumikia vyombo hivyo na wakiendelea kutangaza habari za...
  6. Erythrocyte

    CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari wa ndani na Nje ya Nchi 17/12/2023

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi . Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje...
  7. Richard

    Rais Putin asema vita haitaisha hadi hapo malengo ya Russia yatakapotimizwa

    Raisi Putin aelezea umuhimu wa nchi kuwa huru na kutetea uhuru huo. Pia asema SMO itasita pale tu malengo ya Russia juu ya Ukraine yatapotimizwa ambayo ni kuondoa unazi denazification, uwezo wa kijeshi demilitarizing Ukraine na mwisho kuhakikisha Ukraine yabakia kuwa Neutral bila kujiunga EU na...
  8. Bull Bucka

    CPJ: Hadi sasa Waandishi wa habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari 57 wamefariki: 50 Wapalestina, 4 Waisraeli, na 3 Walebanoni

    Vita vya Israel-Gaza vimeleta madhara makubwa kwa waandishi wa habari tangu Hamas ilipoanzisha shambulio lisilotarajiwa dhidi ya Israel mnamo Oktoba 7 na Israel kutangaza vita dhidi ya kundi la Wapalestina lenye itikadi kali, likifanya mashambulizi katika Ukanda wa Gaza uliowekwa vizuizi. CPJ...
  9. R

    Mwaka 2023 vimerekodiwa vitendo vingi zaidi vinavyozuia upatikanaji wa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuliko miaka 3 nyuma

    Baraza la Habari Tanzania (MCT) liliungana na Dunia katika kuadhimisha siku ya kukomesha na kuondosha kabisa vitendo vya ukatili dhidi ya waandishi wa habari (International Day to End Impunity for Crimes Against Journalists). Kila mwaka siku hii imekuwa ikiadhimishwa kutokana na vitendo...
  10. Roving Journalist

    Ummy Mwalimu: Hospitali maalum ya watoto inayoitwa Rainbow kujengwa Tanzania

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus akizungumza na Waandishi wa Habari leo tarehe 12 Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/dTZZ4o97U3A?si=HNAVFRFRzHn0H5y5 Akizungumza kwenye Mkutano na waandishi wa Habari ulioandaliwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Waziri...
  11. N

    Imefichuliwa: CBC Inawataka Waandishi wa Habari Kutowaita (Terrorist)magaidi wa Hamas, Tahadhari dhidi ya Kusema 2005 Iliondoka ukanda wa Gaza

    Imefichuliwa: CBC Inawataka Waandishi wa Habari Kutowaita (Terrorist)magaidi wa Hamas, Tahadhari dhidi ya Kusema 2005 Iliondoka ukanda wa Gaza nada. Imefichuliwa: CBC Inawataka Waandishi wa Habari Kutowaita (Terrorist)magaidi wa Hamas, Tahadhari dhidi ya Kusema 2005 Iliondoka ukanda wa Gaza...
  12. Miss Zomboko

    Uwazi ni kanuni ya msingi kwa Waandishi wa Habari wakitarajiwa kutoa Taarifa kwa Umma ili Wananchi waweze kufanya maamuzi sahihi

    Waandishi wa habari mara nyingi huandika matukio ya kisiasa na matendo ya wanasiasa, na wanasiasa hutegemea utangazaji wa vyombo vya habari kuwasiliana na umma. Hata hivyo, kudumisha tofauti ya wazi ya majukumu ya waandishi wa habari ni muhimu kwa utendaji wa demokrasia yenye afya, ambapo...
  13. R

    Maafisa Polisi wawanyanyasa Waandishi wa Habari waliokuwa wakiripoti maandamano katika makaburi ya Langata

    Tukio hilo limetokea wakati waandishi wa habari wakirekodi tukio la wafanyakazi wa makaburi ya Langata kugoma wakilalamika kucheleweshewa mishahara yao, ambapo polisi waliwataka waandishi wa habari waondoke kutoka eneo la tukio. Shughuli za mazishi zilisitishwa katika makaburi hayo, baada...
  14. BARD AI

    Waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara MTPC wapewa mafunzo ya Usalama Mtandaoni

    JamiiForums imeendesha mafunzo ya Usalama Mtandaoni kwa Waandishi wa Habari 25 wanaowakilisha Vyombo mbalimbali vya Habari Mkoani Mtwara kwa kushirikiana na Chama cha waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara MTPC Mafunzo hayo yanalenga kuongeza ufanisi kwa Waandishi katika kazi zao kwa kuzingatia...
  15. Sildenafil Citrate

    Dkt. Slaa: Nchi yetu inaongozwa kishamba, pamoja na IGA sasa tutadai pia Katiba Mpya ya wananchi

    Fuatilia yanayojiri kwenye mkutano wa waandishi wa habari unaoendelea muda huu ambapo Dkt. Slaa, Mwabukusi na Mbatia wanazungumza. https://www.youtube.com/live/CpVkVel-IRM?si=kRb-q_tl6RKvlnne === Wakili Mwabukusi anazungumza Juzi walitaka kubadilisha makubaliano ya Mkataba huu kati ya Taifa...
  16. J

    Tanzania hatuna Wanahabari bali tunao tu Waandishi/ Watangazaji wa Habari zilizokamilika ndio sababu ni rahisi sana kuwadhibiti

    Ninakumbuka enzi za chama kimoja palikuwepo Gazeti la Jumuiya ya Wafanyakazi likiitwa Mfanyakazi. Niseme lile Gazeti lilikuwa Huru sana katika kutuhabarisha na hapajatokea tena Gazeti kama lile. Kwa sasa Vyombo Vyote vinatoa Habari za kupelekewa Ndio sababu Vichwa vya habari kwenye magazeti...
  17. K

    Mbunge wa Ngorongoro bado anashikiliwa na Polisi. Anahojiwa kuhusu Waandishi wa habari kupigwa

    Habari kutoka Ngorongoro ni kwamba Mbunge wa Jimbo hilo, Emanuel Ole Shangai amechukuliwa na wasiojulikana. Habari ni kwamba amepakiwa kwenye gari jeusi na kutokomea naye kusiko julikana. Vyanzo vya habari zinasema alikuwa akitokea mjini arusha alivyofika karibia na mji wa karatu eneo la rhotia...
  18. R

    Kama Serikali imekosa maelezo ya onyo, imekosa sauti; waandishi wa habari wamekataa kuwa mashahidi; Shahidi gani amebaki kesi ya akina Dk. Slaa?

    Tumesikia hawa watuhumiwa wamekataa kutoa vielelezo vifuatavyo kama ushahidi. 1. Maelezo yao ya onyo 2. Wamekataa kurekodiwa sauti 3. Waandishi wa habari online na live hakuna aliyehojiwa Serikali inapeleka ushahidi upi mahakamani?
  19. Engager

    Kuna muda waandishi wa habari hii mikong'oto inawastahili kabisa

    Jana kupitia taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku, ilirushwa taarifa ya wakazi wa Ngorongoro kuandamana 'kupinga wanao washawishi wasihame' katika maeneo yao kwenda huko Tanga waliko andaliwa makazi mapya. Habari imewekwa wekwa ionekane kana kwamba wanahitaji sana kuhama kule, ila kuna watu...
  20. F

    Waandishi washambuliwa Ngorongoro huku Mbunge akihusishwa katika tukio hilo

    Mkurugenzi wa Gazeti la Jamvi la Habari Habibu Mchange na waandishi wa habari wapatao sita wamevamiwa na kundi la Vijana wa kimasai na kujeruhiwa vibaya walipokuwa wakifanya mahojiano na wananchi wanaotaka kuhama kwa hiyari kutoka ndani ya hifadhi ya Ngorongoro. Baadhi ya waandishi wa habari...
Back
Top Bottom