Benjamin Netanyau kuzungumza na waandishi wa habari usiku huu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Wadau hamjamboni nyote
Benjamin Netanyau ataongea na waandishi habari Leo saa 2:30 usiku

Prime Minister Benjamin Netanyahu will give a press conference this evening at 7.30 p.m.

The address, in which he will answer questions from journalists, comes amid an apparent deadlock in talks for a hostage deal and mounting international pressure on Israel to hold off launching an offensive in the southern Gaza town of Rafah.
 
Hezbollar days are numbered..!!
 
Hana jipya huyo nchi imeshamshinda aachie ngazi IDF imepoteza askari zaidi ya elfu 2 na hakuna dalili za hamas kuacha kuendelea kuwamaliza wao waendelee kupiga wanawake na watoto.
 
ngoja kwanza tuwafukuzilie mbali hamas halafu tuingie kwa hesbollah tukawafumue huko huko lebanon

Hakuna cha ngoja, hii ni multiple fighting, piga wote at once, Iran tayari kapigwa jana vibaya, gas pipes from Tehran to major cities zimewaka balaa, Israel itachakaza hizi nchi zote, hizi vita chanzo ni Iran, sasa huyo ndio wa kupiga, Iran Leader kakimbia kasri kujificha
 
kama iran ndio mfadhili wa magaidi hayo ashughulikiwe, anyukwe kisawasa kuondoa kitisho cha usalama wa israel. Iran wamemvumilia mno, ifike muda apewe kifinyo cha haja kubwa
 
Kama wayahudi waliweza kumua mungu wenu yesu kisha kumtundika msalabani na kumvisha taji la miba na kumchoma na mkuki ubavuni watakuwa hamas
 
Back
Top Bottom