Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania waungana na Wanahabari wa Simiyu kumpinga DC Simalenga

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987
DOC-20240221-WA0010._page-0001.jpg

DOC-20240221-WA0010._page-0002.jpg
CHAMA Cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) kinaungana na Chama cha Waandishi wa Habari mkoa Simiyu (SMPC), kulaani tukio la Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga kuwadhalilisha wanahabari.

Kwa mujibu wa taarifa ya SMPC, Simalenga ambaye amewahi kufanyakazi katika chombo kimoja cha habari alitoa anadaiwa kutoa maagizo ya kufukuzwa wanahabari katika kikao cha Ushauri cha Wilaya Bariadi (DCC).
WAANDISHI_WATANGAZA_KUTOFANYA_KAZI_NA_MKUU_WA_WILAYA_YA_BARIADI.jpg
Tumaamini Mkuu huyu wa wilaya hata kama alikuwa na sababu kutotaka vyombo vya habari katika kikao hicho, angetumia ustaarabu kuwaomba na baada ya kikao angeweza kutoa taarifa za kikao.

Hata hivyo kitendo cha kuwafukuza na kuangiza milango kufungwa si cha kiungwana hasa kwa kuwa kikao hicho sio cha siri na ajenda zake ni kujadiliana mambo ya maendeleo.

Hivyo JOWUTA inaungana na SMPC kukemea na kulaani matukio kama hayo, lakini pia uamuzi wa klabu hiyo kutoandika habari za mkuu huyo wa wilaya zinapaswa kuungwa mkono na wadau wote wa habari, ili kuikomesha tabia za viongozi wa aina ya Simalenga.

JOWUTA inamtaka Mkuu huyu wa wilaya kujitokeza hadharani kuomba radhi kwa tukio hili.

JOWUTA inawaomba viongozi wa juu wa Serikali kukemea vitendo vya udhalilishaji wanahabari ambavyo vimekuwa vikifanywa na viongozi mbalimbali.

JOWUTA inaamini kunyamazia hali hiyo kunapelekea kuwagombanisha wanahabari na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, ambayo tangu imeingia madarakani imekuwa na mahusiano mazuri na wanahabari.

JOWUTA itaendelea kufanyakazi na viongozi wote ambao wanaheshimu taaluma ya habari na uhuru wa vyombo vya habari ambao unatokana na Katiba ya Tanzania.

Imetolewa na Mwenyekiti wa JOWUTA Taifa.
Mussa Juma

Pia soma: Waandishi wa Habari Simiyu watangaza kutofanya kazi na DC Bariadi
 
Waandishi wa Habari au Vishok wa Habari. Mna taaluma ya habari nyie au ndio wale mnakuja na simu za Itel kurekodi matukio.
Kiko cha DCC lazima upewe mwaliko, mlialikwa?
Waandishi wa habari mmezidi sana kususa mna tabia za kike sana pimbi nyie.
 
Simalenga nilisoma naye. Jamaa hanaga makuu bali atakuwa ameteleza japo ana uarrogant flan hvi.

Wanahabari wenzangu tuempe onyo linatosha.

Ni mtu ambaye hana upande. Hana usamia hana ubara wala ukanda.

Tukifanya hivi atapoteza kibarua na kurekea tena itakuwa ishu. Mama usiku wa manane atampiga za uso bure
 
Ndio akawaombe radhi alio wakosea! wanadai si mara ya kwanza!
 
Waang
CHAMA Cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) kinaungana na Chama cha Waandishi wa Habari mkoa Simiyu (SMPC), kulaani tukio la Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga kuwadhalilisha wanahabari.

Kwa mujibu wa taarifa ya SMPC, Simalenga ambaye amewahi kufanyakazi katika chombo kimoja cha habari alitoa anadaiwa kutoa maagizo ya kufukuzwa wanahabari katika kikao cha Ushauri cha Wilaya Bariadi (DCC).
Tumaamini Mkuu huyu wa wilaya hata kama alikuwa na sababu kutotaka vyombo vya habari katika kikao hicho, angetumia ustaarabu kuwaomba na baada ya kikao angeweza kutoa taarifa za kikao.

Hata hivyo kitendo cha kuwafukuza na kuangiza milango kufungwa si cha kiungwana hasa kwa kuwa kikao hicho sio cha siri na ajenda zake ni kujadiliana mambo ya maendeleo.

Hivyo JOWUTA inaungana na SMPC kukemea na kulaani matukio kama hayo, lakini pia uamuzi wa klabu hiyo kutoandika habari za mkuu huyo wa wilaya zinapaswa kuungwa mkono na wadau wote wa habari, ili kuikomesha tabia za viongozi wa aina ya Simalenga.

JOWUTA inamtaka Mkuu huyu wa wilaya kujitokeza hadharani kuomba radhi kwa tukio hili.

JOWUTA inawaomba viongozi wa juu wa Serikali kukemea vitendo vya udhalilishaji wanahabari ambavyo vimekuwa vikifanywa na viongozi mbalimbali.

JOWUTA inaamini kunyamazia hali hiyo kunapelekea kuwagombanisha wanahabari na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, ambayo tangu imeingia madarakani imekuwa na mahusiano mazuri na wanahabari.

JOWUTA itaendelea kufanyakazi na viongozi wote ambao wanaheshimu taaluma ya habari na uhuru wa vyombo vya habari ambao unatokana na Katiba ya Tanzania.

Imetolewa na Mwenyekiti wa JOWUTA Taifa.
Mussa Juma

Pia soma: Waandishi wa Habari Simiyu watangaza kutofanya kazi na DC Bariadidi
Waandishi njaa na wapendwa rushwa wamekutana na anaewajua vizuri
 
JOWUTA inamtaka Mkuu huyu wa wilaya kujitokeza hadharani kuomba radhi kwa tukio hili.
Mmeanza kumbembeleza ina maana kuna jambo mnanufaika naye

Hivi mwanamke ameondoka nyumbani kwako amekimbilia kwa wazazi wake, amekaa huko manbo hayaendi baadaye anakuandikia kukutaka umuombe msamaha ili arudi, hapo mwenye shida na mwenzake nani? Si yeye ndiyo aombe msamaha?
 
JOWUTA inaamini kunyamazia hali hiyo kunapelekea kuwagombanisha wanahabari na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, ambayo tangu imeingia madarakani imekuwa na mahusiano mazuri na wanahabari.
Maneno mengi ya nini ninyi zimeni camera na microphone akiwahitaji awatafute enzi za kubembelezana zilishapita
 
Hii inatukumbusha Yale yaliyompata Omari Ramadhan Mapuri. Enzi zile waandishi wa habari walikuwa bado wanaheshimu taaluma yao. Sio sasa hivi. Kanjanja wamejaa . Ni mwendo wa kuvizia bahasha tu.Ovyo.
 
CHAMA Cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) kinaungana na Chama cha Waandishi wa Habari mkoa Simiyu (SMPC), kulaani tukio la Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga kuwadhalilisha wanahabari.

Kwa mujibu wa taarifa ya SMPC, Simalenga ambaye amewahi kufanyakazi katika chombo kimoja cha habari alitoa anadaiwa kutoa maagizo ya kufukuzwa wanahabari katika kikao cha Ushauri cha Wilaya Bariadi (DCC).
Tumaamini Mkuu huyu wa wilaya hata kama alikuwa na sababu kutotaka vyombo vya habari katika kikao hicho, angetumia ustaarabu kuwaomba na baada ya kikao angeweza kutoa taarifa za kikao.

Hata hivyo kitendo cha kuwafukuza na kuangiza milango kufungwa si cha kiungwana hasa kwa kuwa kikao hicho sio cha siri na ajenda zake ni kujadiliana mambo ya maendeleo.

Hivyo JOWUTA inaungana na SMPC kukemea na kulaani matukio kama hayo, lakini pia uamuzi wa klabu hiyo kutoandika habari za mkuu huyo wa wilaya zinapaswa kuungwa mkono na wadau wote wa habari, ili kuikomesha tabia za viongozi wa aina ya Simalenga.

JOWUTA inamtaka Mkuu huyu wa wilaya kujitokeza hadharani kuomba radhi kwa tukio hili.

JOWUTA inawaomba viongozi wa juu wa Serikali kukemea vitendo vya udhalilishaji wanahabari ambavyo vimekuwa vikifanywa na viongozi mbalimbali.

JOWUTA inaamini kunyamazia hali hiyo kunapelekea kuwagombanisha wanahabari na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, ambayo tangu imeingia madarakani imekuwa na mahusiano mazuri na wanahabari.

JOWUTA itaendelea kufanyakazi na viongozi wote ambao wanaheshimu taaluma ya habari na uhuru wa vyombo vya habari ambao unatokana na Katiba ya Tanzania.

Imetolewa na Mwenyekiti wa JOWUTA Taifa.
Mussa Juma

Pia soma: Waandishi wa Habari Simiyu watangaza kutofanya kazi na DC Bariadi
Tatizo lenu wahandishi njaa na uchawa mwingi
 
Hapa Bariadi kila mwandishi wa habari amewekwa mfukoni na wanasiasa, tena kwa kulipwa ujira mdogo sana Jambo linalozalilisha taaluma yao. Halafu mbaya Zaidi hawanaga siri kwani hata kwenye magroup yao wenyewe hawaaminiani.

Siku ya kikao cha DCC tayari wote hao 7 walishachagua upande na walilipwa na Mbunge. Kiongozi wao anaitwa Sitta Tumma huyu ndio kiongozi wao na hanaga msimamo hata kidogo. Mchana yupo CCM usiku yupo Chadema. Ndio kibaraka mkubwa wa Kiongozi wa chama na Mbunge. Lakini akija Mbowe anakuwa naye usiku na mchana. Yeye kwa huruka zake aliandika tangazo la kufukuzwa tarehe 18 wakati tukio lilikuwa la tarehe 19.

Hata kwenye group la Media with Eng. Kundo yeye ndiye kiongozi Mkuu. Yaani waandishi wamejipambanua waziwazi kuwa ni watu mtu fulani hii ni aibu kubwa sana kwao.

DC Simalenga aliwaomba kutoka ukumbini kama vikao vingine vya maamuzi hawapaswi kusikia mjadala jambo ambalo ni la kawaida lakini wakalikuza kama jambo la ajabu.

Hawa waandishi wa Habari walishawahi kumlalamikia Simalenga kwa kuleta waandishi wa habari kutoka nje ya mkoa. Likawa jambo kubwa linalowasumbua. Wakaumia sana, kwa sababu Wengi wao hawapo creative. Unawalipa pesa hawatowi habari tena kwa maelekezo ya wakubwa wao.

Simiyu kuna waandishi wa habari ambao hata uwaalike na uwalipe pesa lakini hawatowi habari hadi ikahaririwe na viongozi wa kisiasa. Hawa jamaa wanakera sana.

Simalenga anawajua fika kuwa wengi wao ni makanjanja hata hapo mwanzo sijawahi kuona kazi ya Simalenga ilipostiwa na waandishi hawa. Kwahiyo kugomea sasa hakuna impact na zamani ambapo pia walikuwa hawatowi habari.

Sitta Tuma na wenzako acheni kutumika vibaya na wanasiasa acheni viongozi wa serikali wafanye kazi. Pia mbunge wa Bariadi nakushauri acha tabia ya kugombana na kila mtu hao unaogombana nao leo Kesho ndio watakufaa. Umegombana na RC, DC, Wakurugenzi wote Wawili wa Bariadi TC na DC, umegombana na Wenyeviti wote wa Bariadi DC na DC pamoja na wakuu wa Idara zote. Hili jambo halina afya kwako wanakushangaa. Ipo siku utakuja kukumbuka huu ushauri wangu. Kwa taarifa yako hakuna kiongozi yeyote anayekufurahia na hamsini zako utaona mwakani. Ishi na viongozi wenzako vizuri, kwani hao unaowatukana leo ndiyo walikupitisha kwa goal la mkono 2020. Tunajua hata kwenu Nkololo hukushinda lakini tulipambana na wewe.

Mwana Nzengo kutoka, Ihusi, Bariadi.
 
Back
Top Bottom