uspika wa bunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    Dkt. Tulia Ackson alamba kura zote asilimia 100, aapishwa kuwa Spika wa Bunge

    Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameshinda uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 376 kati ya 376 zilizopigwa sawa na asilimia 100. Hii inamaanisha na wabunge 19 wa chama cha CHADEMA waliohudhuria leo kura zao zimo kwenye...
  2. GENTAMYCINE

    Sasa nimeamini kuwa wana CCM wa sasa ni kielelezo tosha cha tabia ya Unafiki iliyopo CCM na huenda hata kwa Watanzania wote

    Dada yangu Spika Mtarajiwa (na mwana Simba SC Kindakindaki Mwenzangu) Dkt. Tulia Ackson tambua ya kwamba Umezugukwa na Wabunge na wana CCM wengi Wanafiki ambao 85% yao hawakukutaka sema tu Rais na Mwenyekiti CCM Taifa Samia anakukubali, Mwanamke mwemzako na ana imani nawe. Kwa mshangao kabisa...
  3. Zanzibar-ASP

    Magufuli alipofariki dunia tu, Samia akachukua Urais. Ndugai alipoanguka tu, Tulia akawa Spika. Wanawake wa CCM wamejipanga!

    Linapokuja suala la mali au madaraka huenda kundi la wanawake ndio kinara wa kuvuna kirahisi sana, iwe kwa haki au kwa hila, wanawake ni wavunaji tu. Wakati watawala wa CCM walipokuwa wanawapanga wanawake kwenye safu mbalimbali za uongozi kama alama ya ujanja ujanja ya kuwatumia ili kuimarisha...
  4. Cannabis

    James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia amesema atakwenda Mahakamani kuzuia mchakato wa kumpata Spika mpya wa Bunge kwa sababu Mhe.Job Ndugai hakufuata taratibu za kisheria na kikatiba kujiuzulu nafasi ya Spika wa Bunge.
  5. GENTAMYCINE

    Nitashangaa sana kuwaona wale 'Natural Failures' 70 waliokosa 'Uteuzi' wa 'Uspika' wakigeukia tena kutaka Kugombea 'Unaibu Uspika' wa Bunge

    Hivi 'logically' tu kama dhamira na dhamiri yako Kuu ilikuwa ni kuwa Spika wa Bunge inawezekana ukabadilika na sasa Kuutaka Unaibu Uspika ambao haukuwa Chaguo lako la Moyoni? Ushauri wangu wa bure tu GENTAMYCINE Kwenu nyie 'Natural Failures' mpatao 70 ambao Dada na mwana Simba SC Mwenzangu Dk...
  6. Roving Journalist

    Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Akiongea na wanahabari, msemaji wa Chama cha Mapinduzi, Shaka Hamdu Shaka amesema chama kimeptisha Tulia Acksoni kuwa mgombea wa kiti cha uspika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia soma: Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania PERSONAL DETAILS...
  7. Ng'wanamangilingili

    Uspika: Dr. Kashilila anakuwa overlooked sana kwenye nafasi hiyo

    CCM wanaweza kuushangaza umma kama enzi za 2015GE, watu wakapigana mapembe na kambi zao then JPM akawapita katikati yao kama maandiko ya Jesus alivyowapita wanafunzi wake kati kati yao. Mi naona kwa sasa anatafutwa spika wa ku cool temperature kuelekea lango la 2025 marathon, na si spika wa...
  8. The Khoisan

    CCM wakimpitisha Chenge kuwania Uspika, nitaamini kuwa Watanzania hatuko serious

    Kuna minong'ono kwenye jukwaa letu kuwa jina Mtemi Chenge ndilo liko likely kupendekezwa na chama. Kama hii itatokea kwa kweli nitaamini kuwa kama Taifa hatuko serious. Change ana tuhuma kadhaa huko nyuma za ubadhirifu na ufisadi. Ilifikia mpaka kwa kiburi najeuri kudai wazi wazi kuwa zile pesa...
  9. ESCORT 1

    Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Kufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
  10. Mgeni wa Jiji

    Binafsi nadhani Tulia Ackson asingechukua fomu ya kuwania uspika kwa sasa

    Waungwana salamu [emoji1538] Nisipoteze muda mwingi niende moja kwa moja kwenye mada. Kujiuzuru uspika kwa Mhe. Ndugai kumezidi kuonesha ni kwa namna gani kama Taifa bado hatufahamu mambo mengi ya kisiasa, kiutawala, uraia na kiutendaji. Wapo waliombeza Mhe. Ndugai wapo walioshitushwa na wapo...
  11. sajo

    Uspika wa Bunge 2022: Sababu za Kisheria na Kikatiba Dkt. Tulia kukosa sifa za kugombea

    Mjadala umeibuka nchini baada ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT iliyoachwa wazi baada ya Ndugai kujiuzulu. Hoja bishaniwa imekuwa ni iwapo Dk. Tulia ana sifa au la za kugombea nafasi hiyo. Kwa mujibu wa Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka...
  12. Erythrocyte

    Andrew Chenge achukua fomu ya kugombea Uspika. Fahamu kuhusu wasifu wake

    Habari ndio kama mnavyoisikia ndugu zangu, mzee wa vijisenti ambaye inasemekana ana akili nyingi kuliko wagombea wengine wote waliokwishachukua fomu, leo tarehe 12/01/2022 amejitosa kwenye kinyang'anyiro hicho. WASIFU KUZALIWA - Mbobezi wa Sheria Barani Afrika na "Alumni" wa Chuo kikuu bora...
  13. Analogia Malenga

    Wana-CCM wajitokeza kuchukua fomu ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la JMT. Yupo Dkt. Tulia na Masele

    Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick...
  14. Ngamanya Kitangalala

    Kwanini Job Ndugai amejiuzulu Uspika?

    KWA NINI MHESHIMIWA NDUGAI AMEJIUZURU Katika siku za karibuni nchi yetu imepatwa na moja ya tukio kubwa kabisa katika medani za uongozi wa kisiasa, tukio hilo ni ile hatua ya aliyekuwa Spika wa Bunge la 12 la jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Job Yustino Ndugai kujiuzuru nafasi...
Back
Top Bottom