job ndugai

Mr. Job Yustino Ndugai (born 21 January 1960) is a Tanzanian politician who has been Speaker of the National Assembly of Tanzania since November 2015. Previously he was Deputy Speaker from 2010 to 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Makonda kupata teuzi wakati wowote kutoka sasa

    Kwa hali inayoendelea na kwa uzoefu wa mambo ya bongo yetu soon makonda atakula teuzi, naona kabisa kuna upande unamuhitaji kwa kudhani anaweza kuwa msaada kwao, haihitaji kuwa kwenye system kuijua bongo yetu.
  2. M

    Je, Spika mstaafu Job Ndugai, ana sifa ya kugombea kuwa Rais wa Tanzania 2025?

    Nimejaribu kufuatilia msimamo wa Job Ndugai ni kama wa JPM, ni mzalendo na hapendi Nchi kuombaomba misaada au kukopa sana kutoka nje, badala anapenda kujitegemea. Natafakari kama CCM itampitisha kugombea Urais 2025, je ana sifa ya kuwa Rais wa Tanzania?
  3. voicer

    Ndugai aliona mbali sana, Mungu ampe afya

    Nimeisikiliza hii clip ya Mheshimiwa Ndugai (mb). Imenitia simanizi sana nikikumbuka jinsi alivyoondolewa u-spika na chama chake kwa kejeli ya hali ya udhalilishaji mkubwa. Kumbe walikuwa na agenda yao mfukoni. CCM mna laana ya mwalimu.
  4. The Burning Spear

    Ukiistaajabu ya Job Ndugai utayaona ya TEC

    Watanzania tumekuwa wagumu sana wa kujifunza kutokana na historia, nakumbuka namna job ndugai alivyokodishiwa wahuni kumtukana na mpaka kujiuzulu kisa kasema nchi inauzwa, tumekuja kugundua badae sana maana ya kauli yake. Hata huku kusakamwa kwa TEC wala sishangai ni akili za watanzania za...
  5. Kaveli

    Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

    "....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani" -Kaveli-
  6. Mwande na Mndewa

    Mwanasheria Dkt. Nshala Rugemeleza: Mkataba wa bandari ni wa kiuhaini, Umevunja katiba ya nchi na utakwenda kuvunja sheria za nchi

    "Mkataba uliosainiwa ni "Binding Agreement" hakuna namna ya kujitoa, kuna propaganda zinasema eti tungoje HGA, this is nonsense, itategemea vipi HGA wakati IGA unasema hauna namna ya kujitoa na ukitaka kujitoa uende katika mahakamani za kimataifa, angalia ibara ya 10, 18 na 27 ya mkataba huo...
  7. Msanii

    Tulimsuta Ndugai akaomba radhi na kulazimishwa kujiuzulu. Leo mnalia nini?

    Leo ni michano Kuna watanzania ni machiriku wa kuongea. Wanaongea bila hata kujua maana ya wanachokiongea. Desemba 28 2021 Spika wa Bunge Ndugai alikosoa kasi ya ukopaji inayofanywa na serikali akitoa tahadhari kuwa kuna siku nchi itakuja kuuzwa. Wakali wa verse wakalipuka kuwa anaisaliti na...
  8. Peramiho yetu

    Nisamehe sana Job Ndugai, sikujua kama jicho lako ni la mwewe

    Hakika uliona mbali kitega uchumi kikuu Cha nchi kinauzwa kukodisha bandari kwa miaka 100 ni sawa na kuuza mali hiyo ya nchi Miaka 100 si Samia wala mimi atakayekuwepo duniani Hakika Magufuli aliposema makaburi yetu yatacharazwa bakora na wajukuu zetu wala hakukosea TISS kazi yenu...
  9. mdukuzi

    Uhasama wa Mbowe na Ndugai ulianzia Kibaha Secondary

    Hawa miamba walijuana Kibaha Secondary. Enzi hizo baba yake Freeman akiwa tycoon mkubwa sana nchini, alikuwa na mahotel Dar, Moshi na Arusha na alikuwa na ukaribu sana na baba wa Taifa mwalimu JK Nyerere. Job Ndugai alitokea familia fukara kama watanzania wengi ila kichwani zilikwemo. Kuna...
  10. JanguKamaJangu

    Job Ndugai: Anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye

    Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu mbalimbali wanazozionesha katika taifa hasa katika sekta ya biashara, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa Chakula katika Taarafa ya Pandambili Iliyopo njia Kuu ya Kutoka Dodoma...
  11. kimsboy

    Kwahiyo Ndugai na Chamuriho ndio mliutaka Urais miaka 2 iliyopita?

    Miaka miwili iliyopita siku kama hizi hawa mabwana wawili Chamuriho na Ndugai waliutaka Urais kwa udi na Uvumba. Ndugai alikuwa ashajiandaa kabisa kuwa Rais na kukaa Ikulu Chamuriho naye aliahidiwa Uwaziri Mkuu, lakini Mungu siyo Bashiru wala John Pombe waliotaka hayakuwa leo hii Rais ni Samia...
  12. Sir robby

    Hayati Magufuli na Job Ndugai walivunja Katiba kuwaruhusu Wabunge 19 wasio na chama kuendelea kuwa Bungeni, mahakama inatupiwa zigo

    Wadau ni ukweli usiopingika kwani katiba iliyopo ipo wazi juu ya mbunge kupotexa ubunge wake na moja ya sababu ni kufukuzwa ktk chama chake. Suala la kuutetea uanachama wake ni jukumu lake lakini anautetea uanachama wake akiwa tayari kaondolewa bungeni. Kitendo cha Hayati Magufuli na Spika...
  13. JanguKamaJangu

    Job Ndugai: Wananchi waache kulalamika badala yake wafanye kazi kwa bidii na kujiletea maendeleo

    Mbunge wa Kongwa na Spika wa zamani wa Bunge, Job Ndugai amewataka wananchi kufanya kazi kwa bidii na kujiletea maendeleo badala ya kutumia muda mwingi kulalamika. Akizungumza wakati wa mkutano wa baraza la madiwani kujadili bajeti ya Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (Tarura), Wilaya ya...
  14. saidoo25

    Hando aungana na Ndugai kupinga Serikali inavyokopa kopa ovyo

    MTANGAZAJI maarufu na Mchambuzi maarufu wa Siasa za Tanzania, Gerald Hando ameweka wazi msimamo wake kutokubaliana na utaratibu wa Serikali inavyokopa poka hovyo na kusisitiza kuwa uamuzi wa Job Ndugai kuzungumzia mikopo haukuwa mbaya na hakupaswa kujiuzulu. "Hakuna kibaya alichokisema Ndugai...
  15. Sir robby

    Baada ya Hayati Magufuli kuvunja Katiba, sasa ni zamu ya Job Ndugai

    Wadau baada ya suala la CAG kuthibitika kuwa Rais Magufuli alivunja katiba ya nchi. Sasa nataka na hili la Halima Mdee na genge lake nilifikishe mahakamani ili mahakama itamke kuwa Spika Ndugai alivunja katiba na anionyeshe kifungu cha Katiba kilichompa nguvu ya kuwaapisha kina Halima Mdee na...
  16. A

    Ndugai na Dkt. Bashiru wamethibitisha kuwa Tanzania hakuna Demokrasia wala uhuru wa kutoa maoni

    Ukweli mchungu, Tanzania hakuna demokrasia wala uhuru wa kutoa maoni haupo huu ndio ukweli. Ndugai na Bashiru uwe mfano hai na mjiulize kama viongozi wanatoa maoni kama hayo na sio kwamba ni kosa lakini wanaandamwa na kutweza itakuaje kwa mwananchi wa kawaida maoni yake yataheshimika kweli...
  17. Jidu La Mabambasi

    Job Ndugai: Wabunge watarajiwa wapimwe afya ya akili

    "Ndugai: Kuna wanaotoa maoni wabunge wapimwe afya ya akili Spika wa zamani wa Bunge, Job Ndugai amesema kumekuwa na maoni wabunge wapimwe afya ya akili kabla ya kwenda kuomba ridhaa ya kuwawakilisha wananchi bungeni akieleza kuwa jambo hilo ni la kuwaachia wananchi ili kuona kama lina...
  18. DodomaTZ

    Job Ndugai akwama kongwa Wanaccm wawabwaga yeye na wagombea wake aondoka ukumbini bila kuaga, awatishia UWT kukosa mikopo

    Spika Mstaafu wa Bunge la 11, Job Ndugai amejikuta katika aibu kubwa baada ya wanachama wa CCM Wilaya Kongwa katika JUMUIA YA WAZAZI NA UVCCM kuameamua kujiondoa katika mfumo wa ubabe, kupelekeshwa, amri za hapa na pale za nani achaguliwe katika uongozi wa CCM Wilaya Kongwa. Katika chaguzi...
  19. S

    Job Ndugai anahudhuria vikao vya Bunge vinavyoendelea Bungeni Dodoma?

    Mbunge huyu tangu ajiuzulu uspika, amekuwa haonekani Bungeni na kama nitakuwa sahihi, hajaonekana hata mara moja. Swali langu ni je, katika vikao via Bunge vinavyoendelea hivi, sasa, amehudhuria hata mara moja? Kama hajahudhuria mpaka leo, hastahili kuvuliwa ubunge? Kama alikwenda Israel...
  20. JanguKamaJangu

    Job Ndugai yamemkuta, Wabunge kumpeleka Mahakamani

    Jina la Mbunge na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai limeonekana katika Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, leo Agosti 13, 2022.
Back
Top Bottom