ukitaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MIXOLOGIST

    Mwanamke bora kuliko wote duniani ni Bikira Maria, ukitaka ndiyo hivyo, usipotaka ndiyo hivyo

    Lk 1:46-50 SUV Mariamu akasema, Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, Na roho yangu imemfurahia Mungu, Mwokozi wangu; Kwa kuwa ameutazama Unyonge wa mjakazi wake. Kwa maana, tazama, tokea sasa Vizazi vyote wataniita mbarikiwa; Kwa kuwa Mwenye nguvu amenitendea makuu, Na jina lake ni takatifu. Na...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ukitaka mwanamke akuheshimu, usitoe siri za mapungufu yake, usimkebehi wala kumnyanyasa, Bali uwe chombo cha kumtia moyo na kumfariji

    Nakumbuka nilisha wahi kupata demu mzuri kwelikweli, siku hiyo anakuja ghetto kavaa raba zake za Andy1 kali sana, Unyakyusa mwingi, basi mambo yameenda vizuri sana kasheshe likaja alipozivua. Gentleman mimi nilikuwa na Mycota powder nikanyunyiza, kisha nikaenda kuzianika juani. Demu aliona...
  3. Superbug

    Ukitaka kujua nguvu na ushawishi wa Urusi waangalie Wagner Group

    Russia kwà maana ya Urusi ni dude kubwa duniani very powerful and influencial tunadanganywa sana na western media kwà kuidogosha Urusi. Hebu waangalie Wagner. Wanatoa kichapo Ukraine wanatoa kichapo afrika magharibi wanatoa kichapo Kongo DRC. Huo ni mkono wa kushoto wa Putin kwà maana ya urusi...
  4. sifi leo

    Ukitaka kuelewa ukweli wa Rais Samia njoo Marangu Mtoni mkoani Kilimanjaro, kati ya bodaboda 5, wanne au watu ni mashoga

    Rais akiwa anazungumza na Viongozi wa Wanafunzikutoka Zanzibar na Bara j,ana aliwataka waache kuiga uzungu. Rais anawataka wanafunzi kuzingatia mila na desturi zetu kinyume chake kizazi chetu kitakwenda kombo. Kuna pahala waweza usielewe kauli hii, ila kiukweli hali ni mbaya hasa mikoani, wimbi...
  5. S

    Ukitaka kujua umepata mwenza ama umepatikana fanya hivi

    Mwambie :- 1. Umepata kansa au kisukari au ukimwi.....ukiona anaanza kukukwepa vunja uchumba haraka sana. 2. Mwambie umepoteza kazi au biashara yako imekufa. Hata Kama anaijua biashara yako ilipo mpige saundi kwamba imechukuliwa na inaendeshwa na waliochukua. Ukiona anapoozesha mapenzi vunja...
  6. Z

    Ukitaka wafanyabiashara wasikuhujumu washirikishe katika Mipango yako ya Maendeleo ya kitaifa

    Wafanyabiasha ni watu mhumu katika kukuza uchumi wa taifa .lakini pia ni watu hatari wakitaka kukuhujumu kama hutawasikikiza ,kuwashirikisha mipango ya maendeleo .mfano kama Kuna matajiri Wana basi Yao harafu wewe unataka kujenga reli lazima watapambana na wewe kuona hufanikiwi kiurahisi...
  7. Mamujay

    Usile Chakula cha Msibani au kwenye Sherehe bila kuomba

    Haloo habari ya saizi Kama mada tajwa hapo juu Kama umepata nafasi kuhudhuria maharusi, msiba hakikisha unaomba kabla hujala utanishukuru baadae
  8. C

    Kuanzia sasa Christiano Ronaldo akikuzingua tu na ukitaka umnyamazishe kilazima awe mpole muoneshe picha ya Messi!

    Tafuta tu popote pale Picha ya Lionel Cognizant Messi akiwa ameshika Tuzo yake ya Golden Ball na ile ameshika Kombe la Dunia alizoshinda zote leo kisha muonyeshee tena kwa Kumringishia kabisa Christiano Ronaldo utaona atakavyokuwa Mpole na hata Kukuamkia Shikamoo kama ambavyo sasa anamuamkia...
  9. AbuuMaryam

    Ukitaka habari za michezo zilizojaa uvumi na uchambuzi uliyoshiba basi sikiliza U-Live ya UFM saa 10 jioni

    Leo nimesikiliza EFM, Wasafi na Clouds, hakuna cha maana nimesikiliza na kukielewa na kutosheka zaidi ya KAMARI ZAO TU na zile tutarejea tutarejea zao. Hivi vipindi vya hizo redio vimefika mwisho.
  10. JF Member

    Ukitaka kujua Rushwa inafanyaje kazi, angalia Nape na Makamba wanavyochaguliwa huko Dodoma

    Licha ya Nape kushindwa kabisa kwenye bando na anwani za makazi, na January kufeli kabisa kwenye umeme, uashangaa wanavyoenda kuchaguliwa huko kamati kuu! Rushwa ni mbaya ila inawaneemesha hawa vijana.
  11. T

    Je, ukiwa unaomba ama ukitaka kuomba, Mungu anakua anajua unachotaka kuomba ama hajui hadi uombe akusikie?

    Biblia inasema Mungu anajua kila kitu, all knowing, alpha na Omega, mwanzo na mwisho, mjuzi wa vyote. Sasa nakua najiuliza, kabla ya kuomba ama wakati unaanza kuomba, je mungu anakua anajua in advance unachotaka kuomba ama anakua hajui hadi uombe kwanza? Na kama anakua anajua utakachokiomba...
  12. Replica

    Nape: Bando ni huduma ya ziada, ukitaka lisiishe tumia salio la kawaida. Mbunge ataka liwe kisheria

    Waziri wa habari, Nape Nnauye amewataka wabunge kuacha kutuhumu wizi kwenye mitandao ya simu kwa ujumla. Nape amesema bando ni huduma ya ziada ambayo ina masharti ya muda, mtu akitaka lisiishe uko utaratibu wa kutumia 'Main Tarrif' akitolea mfano tiketi za kusafiria za mwezi ambayo hauwezi...
  13. MTV MBONGO

    Amini, usiamini. Ukitaka kuwa tajiri miaka 10 ijayo, fanya hili. Usidhani ni mbali sana, Utanikumbuka

    Nunua ardhi ya bei nafuu Leo katika eneo ambalo baadae litakuwwa dili sana na sasa linapuuzwa. Mfano: 1. Eneo LA Makurunge kule Bagamoyo njia ya Saadani. Ile barabara inaandaliwa kujengwa kwa kiwango cha lami itokezee Pangani, itakuwa shortcut kwenda Tanga hivyo magari mengi yatapita. Mbele yake...
  14. GENTAMYCINE

    Ukitaka ujue kwanini jana Refa Florentina Zablon alijichanganya vile na kuwapa penati jibu ni hili hapa

    Naweka hapa nukuu niliyoambiwa na mmoja wa mjumbe wa kamati yao maalum ya unyangindo (uchawi) juu ya kupendelewa kwoo jana na Mwamuzi (Referee) hadi kushinda kwa janja janja sana. "GENTAMYCINE baada ya watu kutushtukia kuwa tulikuwa na tuhonga wachezaji au benchi zima la ufundi, hivi sasa...
  15. T

    Nani aliiunganisha CWT na Serikali? Badala ya kutetea Walimu kinawakandamiza, ukitaka kuanzisha cha kupigania Walimu unashughulikiwa mpaka ukome

    Kwa mtazamo wangu naona kuna tatizo kubwa kati ya waalimu cwt na serikali. Ninachoelewa mimi ni kwamba cwt ni chama cha waalimu Tanzania, yaani chama cha kutetea maslahi waalimu. Cwt haifanyi hiyo kazi kabisa. Wapowapo tu. Waalimu wa nchi hii wanaonewa na kunyonywa na kudharauliwa na kila...
  16. R

    Ukitaka usiumizwe na mapenzi lazima uwe malaya? Discuss

    Habar wadau!!! Mapenzi ni kitu cha ajabu sana hii inadhihirika hata kwenye vitabu vya dini SAMSON alikuwa na uwezo wa kutandika askar 3000 na akapigwa KO na delila ebu waza hili samson aliulizwa mara nying sana siri ya nguvu zake akusema ila kwa delila alisema yote shida ipo wapi shida ni...
  17. P

    Ukitaka uchukiwe na jamii ya wapumbavu, ni kuwaambia ukweli. Hayati Magufuli alichukiwa kwa sababu ya kuwaambia ukweli

    Nasema hivyo Kwa sababu, Vilaza na wafoji vyeti, mpaka Leo bado wanamachungu na hayati JPM Mpaka sasa bado wanalisakama jina lake, licha kwamba aliwasaidia ili warudi shule kuongeza marifa Bado wangali wanahasira naye, na hatuelewi tuwasadie nini ili waondokana na upumbavu walionao Mpaka Leo...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Tanzania ukitaka kutajirika wekeza kwa wajinga na masikini

    TANZANIA UKITAKA KUTAJIRIKA WEKEZA KWA WAJINGA NA MASIKINI. Anaandika Robert Heriel, Mtibeli. Taikon Leo sina mengi maneno. Leo ni Kwa wale wanaopenda kuwa na pesa lakini hawaelewi wazipataje. Taikon sio mchoyo wa maarifa hilo hata ninyi ni mashahidi. Haya nilisema sina maneno mengi, turudi...
  19. Unique Flower

    Ukitaka mwanaume sasa hivi ili akukubali lazima utoe kiingilio

    Wanaume wa Dar kwa hali ngumu atakupenda mtapiga story halafu muda kidogo utasikia babe nataka nijue kama unanipenda kweli naomba elfu 35 ili na wewe nikianza kutoa zangu ujue ni za kudumu. Nitakutunza mpaka ufurahi. So ukitaka mpenzi Dar lazima ujitoe kipesa atakuambia good day.
Back
Top Bottom