Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,013
- 156,442
Nakumbuka nilisha wahi kupata demu mzuri kwelikweli, siku hiyo anakuja ghetto kavaa raba zake za Andy1 kali sana, Unyakyusa mwingi, basi mambo yameenda vizuri sana kasheshe likaja alipozivua.
Gentleman mimi nilikuwa na Mycota powder nikanyunyiza, kisha nikaenda kuzianika juani. Demu aliona aibu sana, akawa anaomba msamaha kwa kuchafua hali ya hewa.
Nikachemsha maji kwenye birika la umeme, nika dilute na ya baridi likapatokana joto fulani hivi muruwa sana lenye uwezo wa kuamsha na kuchochea moto wa mapenzi fasta.
Nikachukua shower gel yangu ya Piere Cardin, nikaidumbukiza miguu yake kwenye beseni lililokuwa na yale maji matamu. Nikaweka unyunyu mle wa Kiitaliano, chumba kizima harufu nzuri ikatawala.
Nikaanza kumuosha miguu huku nikim massage na kum tantalise, mara nimeshika hapa mara pale, demu anapiga tu kelele za maraha na mahaba tele.
Nikaendelea kumchezea na kumtomasa huku nikimwambia, hii hali ya harufu miguuni isikufanye ujihisi mnyonge, wewe sio mchafu, ila tu leo ni bahati mbaya, hata mimi hali hii imeshawahi kunitokea mara nyingi sana, ila inatibika kabisa.
Nikamwambia Mycota itakusaidia, nikamweleza namna ya kuitumia. Tukafurahia vizuri kabisa siku yetu pamoja.
Ni umbali ndio ulio tutenganisha, leo angekuwa ndio shemeji ndugu zangu na WiFi wa dada zangu
Ukitaka mwanamke akuheshimu, mfanyie wema kwenye madhaifu na mapungufu yake
By Kiranja Mkuu