Ukitaka kujua ni kwa kiasi watu wanawaamini Makamba na Tanesco angalia hii picha!

Synthesizer

Platinum Member
Feb 15, 2010
11,293
19,130
1669372363929.png
 
Leo maskani walikata umeme saa 12 asubuhi nikalipuka kwa furaha maana jana saa5 usiku nilipata machale nikanyoosha nguo za kazini!!
Mi ndo kiboko ya huyo Mh Maropu (rope = kamba) na Tanesco! hawaniwezi!
 
Waendelee kumsingizia marehemu amehujumu mabwawa ya kuzalisha umeme, ameharibu miundombinu ya gesi ya kuzalishia umeme.
Ukweli haufichiki bali hujitenga na uongo ni suala la muda tu.
 
Ndio maana nikasema watu wanawaamini sana Makamba na Tanesco Mkuu, unakuwa na uhakika umeme hauji kama walivyosema!
Huoni kama wanaokoa maisha ya wengine,fikiria kama huyo tungekuwa tunasema RIP,mwanajf mwenzetu😄
 
Back
Top Bottom