tic

  1. Bexb

    Naomba msaada kwa aliyewahi kusajili Mradi TIC

    Habari ya jumapili wakuu. Naomba msaada wa maelekezo toka kwa mtu aliyewahi kusajili mradi chini ya Tanzania Investment Centre (TIC). Ninahitaji kujifunza jambo kwa uhalisia wake hasa katika maandalizi ya nyaraka zinazohitajika.
  2. N

    TIC vipi tena waahirisha Interview hadi watakapo toa taarifa nyingine

    TIC walitangaza nafasi kuajiri wakaitwa watu kwa usaili ambao umeahirishwa hadi watakapotoa taarifa nyingine Kuna nn imetokea?au ndio bas tena baba jane bye bye Nimepata taarifa hizi kwa rafiki yangu mmoja ya walioitwa usaili
  3. B

    Nimemsikiliza Mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC) na mipango ya kuinua uwekezaji hakika nimefarijika sana

    Leo nilikuwa nafuatilia mahojiano katika channel ya Zamaradi TV kati ya mtangazaji na Mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji Tanzania ndg Gilead Teri. Katika mahojiano hayo, Mkurugenzi alijikita zaidi katika kuangazia mageuzi makubwa yanayofanywa na kituo hicho na zaidi namna wanavyotembea kwenye...
  4. Jamii Opportunities

    Zonal Manager (2 Posts) at Tanzania Investment Centre (TIC) October, 2023

    Position: Zonal Manager (2 Posts) Employer: Tanzania Investment Centre (TIC) Remuneration: TICS 11 Job Summary Identify, promote and facilitate investment opportunities in liaise with respective Regional Public and Private Sector Institutions through Regional Business Council (RBC) and...
  5. Jamii Opportunities

    Manager Of Legal Affairs at Tanzania Investment Centre (TIC) October, 2023

    Position: Manager Of Legal Affairs Employer: Tanzania Investment Centre (TIC) Remuneration: TICS 11 Duties and Responsibilities i. To receive, peruse and advise on submitted applications of strategic investment projects; ii. To provide advice to the applicants on proper submission of...
  6. Jamii Opportunities

    Manager Of Investment Promotion (Foreign) at Tanzania Investment Centre (TIC) October, 2023

    Position: Manager Of Investment Promotion (Foreign) Employer: Tanzania Investment Centre (TIC) Remuneration: TICS 11 Job Summary To promote investment opportunities with collaborations with diplomatic missions/ embassies and other stakeholders. Duties and Responsibilities i. To prepare...
  7. Pascal Mayalla

    Live on TBC: Revo wa TIC Azungumzia Uzinduzi wa Kituo cha Pamoja, TeIW Utakaofanywa na Waziri Mkuu Majaliwa 25 Sept. Mlimani City

    Watch TBC live ! https://www.youtube.com/live/WG68iDTH28I?si=g2NmH5hKoui5ZSRX Anayezungumza ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wawekezaji wa TIC, Bw. Revocatus Arbogast Rasheli. Kwa vile sio wote wenye access na TBC saa hizi, nitawaletea kwa uchache yale ya muhimu aliyozungumza. Mkurugenzi...
  8. Pascal Mayalla

    5 Days to Go!, Before PM. Kasim Majaliwa launches TIC'S Tanzania Electronic Investment Window (TeIW) on 25 Sept. 2023 at Mlimani City, DSM

    Wanabodi OVERVIEW The Tanzania Investment Centre (TIC) was established in 1997 by the Tanzania Investment Act to be the primary agency of the government to coordinate, encourage, promote and facilitate investment in Tanzania and to advise the government on investment policy and related...
  9. M

    SoC03 Mfumo wa kukutanisha wawekezaji na wabunifu kupitia kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC)

    Bila shaka unawafahamu marafiki zako wengi wenye mawazo makubwa ambayo hawajafanikiwa kuyafanyia kazi kutokana na sababu mbalimbali. Hebu fikiri tena jinsi mawazo yao yalivyo mazuri na muhimu lakini yamelala, wala hayatambuliki duniani, na unaweza kudhani hayapo kabisa. Sababu zinazopelekea...
  10. GRAMAA

    TIC itisheni mdahalo kuhusu hili suala la DP WORLD na uwe live kwenye televisheni zote nchini

    Itapendeza sana kama TIC wataitisha na kuendesha mdahalo kuhusu hili jambo la DP WORLD. Na mdahalo huo uwe live kwenye television zote nchini. Mdahalo huwo uwakutanishe watu wanaopinga mkataba wa DP WORLD na wale wanaounga mkono mkataba huo wa DP WORLD. Yaani kuwe na room ya makundi haya...
  11. ChoiceVariable

    Serikali kupitia TIC yaingia mikataba ya Tsh Trilioni 4.2 na kampuni binafsi za wazawa kuzalisha bidhaa ndani

    My Take: Hongera Serikali,hii ni hatua nzuri Ili kuacha kuagiza bidhaa ambazo tunaweza uzalishaji ndani ya Nchi. ========= Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), kimesaini mikataba 10 yenye thamani ya zaidi ya Sh4 trilioni ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wa kitaifa wa uwekezaji kwa...
  12. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Akitaka Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC) Kusimamia Mikataba ya Wawekezaji

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI AKITAKA KITUO CHA UWEKEZAJI (TIC) KUSIMAMIA MIKATABA YA WAWEKEZAJI Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akitaka Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kusimamia mikataba ya wawekezaji mahiri na wa kimkakati ili kujenga uchumi imara wa nchi...
  13. benzemah

    TIC yasajili miradi ya trilioni 3 ndani ya miezi mitatu, kuzalisha ajira 16,440

    Kituo cha Uwekezaji kimesema kimesajili miradi 93 yenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 1.2 sawa na Sh trilioni 2.814 za Tanzania katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka huu wa fedha. Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Gilead Teri ameeleza hayo katika ripoti ya uwekezaji ya kila mwezi ya TIC kwa...
  14. Wadiz

    Hongera Rais Hassan kwa uteuzi wenye ubora wa kimataifa wa Gilead Terri kuongoza TIC

    Hello hello JF Ikulu kuna watu na search committee inafanya kazi Mungu wa ajabu sana huyu Dogo Terri ni mnyama sana kichwani nimemuwazia sana na sikujua yuko wapi tangu enzi za TPSF akiwa na Simbeye na Shamte. I have been praying for him to be remembered to serve this country at some point...
  15. BARD AI

    Rais Samia ateua Wakurugenzi wapya EWURA, TTB, TIC na Wenyeviti wa Taasisi mbalimbali

    Janet Z. Mbene ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), James A. Mwainyekule ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). Rashid K. Mchatta ameteuliwa kuwa Skauti wa Mkuu Tanzania, Gilead J. Teri...
  16. peno hasegawa

    TIC inatengeza data kudanganya umma au ni ukweli?

    Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kimesajili jumla ya miradi 132 yenye thamani ya dola za Marekani 3.16 bilioni (takribani Sh7 trilioni) katika kipindi cha Julai hadi Novemba 2022. Tunaomba hii miradi iliyosajiliwa Kwa kipindi hicho TIC iweke kwenye website’s ya TIC Ili watanzania waione na...
  17. M

    Nafasi ya mkurugenzi TIC na Maliasili kuondolewa kwenye Ajira Portal

    Kufuatia maelekezo wa Waziri wa Fedha, nafasi za wakurugenzi wakuu wa taasisi hizo mbili zilitangazwa kwenye Ajira Portal ya Utumishi. Ghafla nafasi hizo ziliondolewa na hata leo hii ukizitafuta kupata rejea zake hazipo. Kama kuna anaejua kwanini zimeondolewa atufahamishe
  18. MIMI BABA YENU

    Mafanikio ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) ndani ya robo tatu ya mwaka 2022

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeweza kupata mafanikio makubwa katika robo tatu ya mwaka inayoanzia Januari mpaka Machi, 2022 kutokana na ongezeko la usajili wa miradi na kuimarika kwa shughuli za uratibu na utoaji wa huduma kwa wawekezaji kupitia utoaji wa huduma mahala pamoja ndani ya...
  19. mama D

    Serikali, Wizara, Halmashauri, Agencies za umma (TRA, BRELA, BOT, TRA, TIC) mkiendelea na kazi kwa mazoea mtaendelea kuwa wahujumu uchumi namba 1

    Nchi yetu imepita kwenye mabadiliko makubwa sana ndani ya miaka sita. Kumekua na mageuzi makubwa sana kiutawala na kiuchumi tangu 2015. Kukataa kwamba mfumo uliokuwepo kabla ya 2015 ulishavunjwa na hauwezi kurudishwa ni kujidanganya, kinachotakiwa ni sasa ni kutembea na mabadiliko kwa serikali...
  20. mama D

    Rais, Mawaziri, Wakurugenzi bado kuna shida kubwa kwenye mchakato wa uwekezaji nchini

    Baada ya kuisoma ilani ya chama tawala CCM na kusikiliza hotuba ya rais alipokua anafungua bunge watanzania wengi tuliiona nia ya dhati ya serikali yetu kuboresha uchumi kwa kiasi kikubwa haswa kwa kuhakikisha wawekezaji wanapewa support na serikali kwa kujengewa mazingira mazuri na rafiki ya...
Back
Top Bottom