GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,155
- 3,399
Itapendeza sana kama TIC wataitisha na kuendesha mdahalo kuhusu hili jambo la DP WORLD. Na mdahalo huo uwe live kwenye television zote nchini.
Mdahalo huwo uwakutanishe watu wanaopinga mkataba wa DP WORLD na wale wanaounga mkono mkataba huo wa DP WORLD.
Yaani kuwe na room ya makundi haya kukutana uso uso na kila kundi litoe hoja zake kuhusu mkataba huu wa DP WORLD uso kwa uso.
Kundi la Baba levo, Mwijaku, Zembwela, Maulid Kitende, Kibajaji, Musukuma, Steve Nyerere, Hando likiongozwa la Tulia Akson likutane uso uso na kundi la Prof. Tibaijuka, Lissu, Lema likiongozwa na Prof. Shivji wakutane kwenye mdahalo wa DP WORLD.
Kwa maendeleo mapana ya taifa TIC itisheni mdahalo na uwe live kwenye television zote nchini.
TIC fanyeni hivyo tafadhali.