Mtera Dam is a hydroelectric dam in Tanzania. The dam is located midway between Iringa and Dodoma on the border between the Iringa Region and the Dodoma Region. The travel time from Dodoma is about two hours on a tarmac road.
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI TANZANIA
TAARIFA KWA UMMA
HATUA ZINAZOCHUKULIWA NA TAWA KATIKA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA MAMBA NA BOKO KATIKA BWAWA LA MTERA
Hivi karibuni kumekuwepo na ongezeko la matukio ya wanyamapori wakali na waharibifu wakiwemo mamba na boko kujeruhi na wakati...
Haiwezekani TANESCO mkatuambia kwamba hizi mvua zote zinazoharibu mashamba ya miwa kufanya sukari iuzwe 5000 kilo eti haziingii kwenye bwawa la kuzalisha umeme, kweli?
Hivi mnatuonaje? Marehemu Magufuli alisema mliwahi kuchepusha maji yasiingoe Bwawani si ajabu tena mmerudia huo mchezo maana...
Uzembe na utendaji mbovu ukiandamana sambamba na hujuma na ufisadi, katika wizara ya Nishati.Ndio hasa imekuwa chanzo cha sakata la kuadimika kwa nishati ya umeme nchini kwa sasa.
Wakati hali ikiwa hivi ilivyo. Kuna tetesi hizi hapa ya kwamba, nanukuu.
KIPARA na Maharage mwezi Machi 2023...
Za chinichini zinasema maji ya Bwawa la Mtera yalifunguliwa kumwagika mwezi machi 2023 ili Bwawa lisibomoko, pamoja na ushauri wa wataalamu kuwa yasifunguliwe, inasemekana wakubwa walisisitiza yafunguliwe yamwagike. Je haya ni kweli? Kama ni kweli nini lengo la wahusika? Na kwanini wasishitakiwe...
Kina cha maji cha Bwawa la Mtera, Mkoani Iringa kimepungua na hivyo kupunguza Uzalishaji wa umeme kutoka megawati 80 mpaka 72.
Hayo yamebainika leo Septemba 9, 2023 baada ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kutembelea bwawa hilo ili kuona uzalishaji wa umeme.
Mwenyekiti wa Kamati...
Awamu ya baba wa taifa na ile ya mzee ruhusa hakukuwa na changamoto la katika katika kwa umeme maeneo ambayo huduma hii ilikuwa imeyafikia. Ni kweli kwamba maeneo hayo yalikuwa hasa kwenye miji mikubwa ya nchi. Shughuli za kiuchumi wa viwanda hazikuwa nyingi kama ilivyo sasa ambapo tumesambaza...
Salamu kwako Lemutu Baharia.
Nakushauri 2025 chukua fomu ya ubunge kwa chama utakachoamua katika jimbo la Mtera.
Asubuhi na mapema kabla jua halijachomoza, utakuwa umempiga chini Lusinde.
Uonyeshe njia na koneksheni vijana wa Mtera waende USA.
Endeleza legacy ya Mzee Malecela alipoishia.
Huyu mbunge wa Mtera bwana Livingston Lusinde ana kiherehere sana. Ila analiwa timing. Asidhani Kinana, Mkwere, Nape, Makamba sr &jr pamoja na Membe wamemsahau. Enzi za Jiwe aliwatukana sana kwa kujipendekeza jinsi anavyojipendekeza sasa hivi kumtukana Bashiru.
Ana kiherehere na kujipendekeza...
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limethibitisha kutokea kwa hitilafu hiyo kwenye moja ya mitambo ya kuzalisha umeme ya Bwawa la Mtera na kusababisha upungufu wa Umeme.
Mikoa 14 itakayokosa Umeme kwa muda usiofahamika ni pamoja na Ruvuma, Mbeya, Mwanza, Iringa, Manyara, Singida, Geita, Arusha...
Kwanini bwawa la Mtera ni kubwa kuliko Kidatu lakini production yake ni 80MW wakati Kidatu ambalo ni dogo kuliko Mtera linatoa 200MW
Mtera Dam
Kidatu Dam
Wakuu habarini, naomba kujuzwa tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa contractor gani.
Supply and Installation of 220/33 kV, 2 x 10 MVA substation Extension in Mtera. Tender hii ilitangazwa mwaka 2013 kama sijakosea.
Natangauliza shukrani.
“Kwa kina hiki cha mita 5.76 tunaweza kuzalishha umeme kwa kiwango cha juu cha megawatts 80 kwa miezi saba ijayo hata kama tone moja la mvua halitaingia kwenye bwawa la Mtera”
- Meneja wa Kituo cha kuzalisha umeme Mtera, Elias Mwalupilo
Wavuvi 12 wamepoteza maisha na wengine 15 kujeruhiwa katika kipindi cha mwezi wa pili 2020 hadi mwezi wa nane 2021 kufuatia matukio ya kuvamiwa na mnyama kiboko wakiwa ndani ya Bwawa hilo katika shughuli zao za uvuvi.
Hayo yamezungumzwa katika Ziara Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.