Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,101
- 2,345
CHADEMA kuweni wepesi wa kunusa na kujua ishu rahisi ambazo ni kero kwa wananchi na mzitumie ipasavyo ku - instigate hasira kwa wananchi ili waichukie na waingushe serikali hii haramu kupitia maandamano yanayoendelea nchi nzima..
Umeme kwa sasa ndiyo kero namba moja kubwa Kwa sasa inayomwathiri kila mwananchi awe wa mjini au wa kijijini..
Hii pekee mkiibeba kwenye maandamano haya yanayoendelea na kulihusuanisha na ugumu wa maisha, kupanda sukari na bidhaa zingine muhimu linaweza kuiangusha serikali hii kesho asubuhi tu..!!
Tatizo la umeme limeshaumiza na linaendelea kuumiza uchumi wa watu wote..
Umeme uliopo hautoshi na hivyo kutolewa kwa mgawo. Hata huo wa mgawo bado ni wa kuwaka na kukatika hovyo hovyo..
Kwa kifupi ni kuwa nchi hii kwa sasa ni kama haina nishati ya umeme kabisa. Iko gizani kwa takribani mwaka sasa!!
Serikali hii kwa sasa ni wazi kuwa haifanyi chochote.
Hakuna mkakati wa pamoja serikalini kuondoa shida na kero si kesho wala kesho kutwa..!
Ushahidi wa hili ni kauli za viongozi wa serikali moja zinazokinzana utadhani ni viongozi wa serikali mbili au tatu tofauti..
Rais Samia Suluhu Hassan yuko kimya. Anakula bata tu na kuendelea kuvimba mashavu akipewa taarifa za uongo. Hajui kabisa kilichopo field. Hajui kabisa kuwa wananchi waajiri wake wanataabika..
Na nchi yetu Kwa sasa ni kama haina Rais kabisa. Kila mtu huko CCM ni Rais kwa sasa..!!
Tunawashauri kuwa tatizo la umeme ndilo liwe ujumbe mkuu kwenye maandamano yanayoendelea na lina uhusiano wa moja kwa moja na ugumu wa maisha ya watu na kupanda Kwa bidhaa muhimu..
John Heche anaweza kulielezea vizuri sana hili. Hayo mengine ya Katiba mpya na miswaada mibovu ya sheria za uchaguzi yatajibiwa na hili hili la umeme..!!
Ujumbe mkuu wa maandamano kwenye mabango uwe "TUNATAKA UMEME HARAKA" au "RAIS SAMIA ONDOKA, UMESHINDWA KUONGOZA NCHI.."