bwawa la mtera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Kukabiliana na Wanyama waharibifu, TAWA yaua Mamba 3 na Boko 2 Bwawa la Mtera

    MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI TANZANIA TAARIFA KWA UMMA HATUA ZINAZOCHUKULIWA NA TAWA KATIKA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA MAMBA NA BOKO KATIKA BWAWA LA MTERA Hivi karibuni kumekuwepo na ongezeko la matukio ya wanyamapori wakali na waharibifu wakiwemo mamba na boko kujeruhi na wakati...
  2. voicer

    Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?

    Uzembe na utendaji mbovu ukiandamana sambamba na hujuma na ufisadi, katika wizara ya Nishati.Ndio hasa imekuwa chanzo cha sakata la kuadimika kwa nishati ya umeme nchini kwa sasa. Wakati hali ikiwa hivi ilivyo. Kuna tetesi hizi hapa ya kwamba, nanukuu. KIPARA na Maharage mwezi Machi 2023...
  3. M

    Je ni kweli upungufu wa umeme ni kutokana na kumwagwa kwa maji kwenye Bwawa la Mtera?

    Za chinichini zinasema maji ya Bwawa la Mtera yalifunguliwa kumwagika mwezi machi 2023 ili Bwawa lisibomoko, pamoja na ushauri wa wataalamu kuwa yasifunguliwe, inasemekana wakubwa walisisitiza yafunguliwe yamwagike. Je haya ni kweli? Kama ni kweli nini lengo la wahusika? Na kwanini wasishitakiwe...
  4. BARD AI

    Iringa: Kina cha Maji Bwawa la Mtera chapungua na kuathiri uzalishaji Umeme

    Kina cha maji cha Bwawa la Mtera, Mkoani Iringa kimepungua na hivyo kupunguza Uzalishaji wa umeme kutoka megawati 80 mpaka 72. Hayo yamebainika leo Septemba 9, 2023 baada ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kutembelea bwawa hilo ili kuona uzalishaji wa umeme. Mwenyekiti wa Kamati...
  5. BARD AI

    Mitambo ya Bwawa la Mtera yapata hitilafu, mikoa 14 kukosa umeme

    Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limethibitisha kutokea kwa hitilafu hiyo kwenye moja ya mitambo ya kuzalisha umeme ya Bwawa la Mtera na kusababisha upungufu wa Umeme. Mikoa 14 itakayokosa Umeme kwa muda usiofahamika ni pamoja na Ruvuma, Mbeya, Mwanza, Iringa, Manyara, Singida, Geita, Arusha...
  6. Emmanuel180

    Je, wajua haya kuhusu bwawa la Mtera?

    Je, Wajua? Mara ya mwisho Bwawa la Mtera kufunguliwa ili kuruhusu maji yapungue ilikuwa 21/3/2020 na haikuwahi kufanyika hivyo toka mvua za El Nino mwaka 1997/98 Je, Wajua? Ujenzi wa bwawa la Mtera ulianza enzi za Nyerere, mwaka 1970 na lina ukubwa wa 'catchment' kilomita za mraba 68000 Je...
  7. Kinuju

    Meneja wa bwawa la Mtera akanusha bwawa hilo kupungua maji

    Meneja wa bwawa la Mtera akihojiwa na mwananchi digital amekanusha kuwa bwawa hilo lenye uwezo wa kuzalisha megawatt 80 limepungua maji hivyo kupelekea mgao wa umeme nchini. Meneja huyo amesema bwawa hilo bado lina maji mengi kiasi kwamba hata mvua isiponyesha kwa miezi saba ijayo bado...
  8. Analogia Malenga

    Mtera: Wavuvi 12 wauawa na viboko kwa kipindi cha kuanzia Februari 2020 hadi Agosti 2021

    Wavuvi 12 wamepoteza maisha na wengine 15 kujeruhiwa katika kipindi cha mwezi wa pili 2020 hadi mwezi wa nane 2021 kufuatia matukio ya kuvamiwa na mnyama kiboko wakiwa ndani ya Bwawa hilo katika shughuli zao za uvuvi. Hayo yamezungumzwa katika Ziara Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo...
Back
Top Bottom