Kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 jimbo la Moshi vijijini lilimpata mbunge wake,Profesa Patrick Ndakidemi kupitia chama cha mapinduzi(CCM)baada ya kuwashinda wapizani wake akiwamo mpinzani wake mkubwa kwenye kura za maoni,Morris Makoi.
Falsafa ya chama cha mapinduzi ni kwamba,baada ya...
Wakuu,
Haya ni baadhi ya majibu kutoka kwenye uzi huu;
Kwanini hupigi kura licha ya kuwa una sifa zinazokuruhusu kufanya hivyo?
Majibu haya yanaakisi majibu ya wengi juu ya zoezi la kupiga kura na kuwachagua viongozi bora kwa maendeleo ya nchi.
Kama haya ndio majibu ya wengi wetu, ina...
Trump alikuwa na slogan yake ya Make America Great Again(MAGA). Baadaye wafuasi wake wakaanza kuitwa MAGA. Hawa jamaa huwaambii kitu kuhusu Trump. Kwao Trump ni kama Malaika au demigod. Kwao Trump hakosei(licha ya kukabiliwa na kesi kama 91). Hawa ndiyo mwezi wa kwanza mwaka 2021 walivamia...
Mo, Lowassa, Rostam wote waliingia kwenye siasa kulinda uwekezaji wao na mapenzi ya vyama ni fake. Ndiyo maana wameingia na kutoka. Hata Lowassa iko siku atatoka.
Ukiangalia vizuri marafiki zao wa kweli sio makada na vyama bali watu. Chini chini Mbowe ni rafiki wa wote hao kwasababu ya...
Poleni na misiba mikubwa ya kitaifa.
Nikiri kwamba kila siku naendelea kujifunza kuhusu siasa za taifa changa la Tanzania. Mambo makubwa ambayo mpaka sasa nikiri nimeshuhudia yakitokea bila chenga ni kwamba APANDACHO MTU NDICHO HUVUNA, na MWANADAMU HAWEZI KULINGANA NA MUNGU. Nitaelezea mtazamo...
Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku.
Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na...
Habari zenu wanaJF wenzangu
Kwanza natoa pole kwa familia ya mzee wetu hayati Edward Lowasa kwa kuondokewa na kipenzi chao, natoa pole pia kwa watanzania wenzangu kwa kuondokewa na aliewahi kuwa waziri mkuu wetu hayati Edward Lowasa.
Ki ukweli huu msiba umewashtua wengi wakiwemo ndugu zake...
Poleni kwa Msiba Wakuu!
Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu.
Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka.
Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi.
Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni...
Nape aliweza kwenda Ikulu kumwomba radhi Magufuli kwa lengo la kupata madaraka. Lakini alishindwa kwenda kumwomba radhi Lowassa baada ya kumdhalilisha na kumtakia kifo kwenye mkutano wa adhara 2015.
Alitamka maneno ambayo katika hali ya kawaida huwezi kusema yametoka kinywani kwa mwanadamu...
Siasa za nchi zilileta ushindani mkubwa kutokana na uwepo wa watu waliokubalika vilivyo kwenye kanda zao kiasi Cha kufikia kuitwa miamba. Ni kipindi cha kusisimua tulichopata kushuhudia kwenye siasa zetu miamba hii na bila shaka mwanzo wa mwisho wa kipindi hiko umefika.
Na hii ndio miamba...
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa Kamati ya Siasa na Diplomasia (Inter-State Politics and Diplomacy Committee — ISPDC) ya SADC uliofanyika kwa njia ya mtandao tarehe 09 Februari...
(1) Freeman Mbowe
Yule wa mwaka 2005-2015, alikuwa mpinzani kweli kweli, chuma hasa hasa! Alikuwa mhimili sio tu kwa chadema Bali kwa vyama vyote vya upinzani.
Kwa sasa amekata pumzi anapigania mkate na huruma ya watawala!
(2) Maalim Seif
Huyu hatuna mfano wake amekufa akiwa shujaa...
Na Bwanku M Bwanku.
Jumamosi Januari 27, 2024 Rais wa Awamu ya 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alitimiza miaka 64 toka kuzaliwa kwake akihudumu nyadhifa ya juu kabisa nchini toka achukue mikoba hiyo Machi 19, 2021 baada ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya 5...
Umasikini ni hali ya ukosefu au kushindwa kupata mahitaji muhimu katika wakati sahihi unapohitaji kununua nguo fulani ukaikosa ndiyo msamiati umasikini unapodhihirika this is just nadharia inatumika kuwadhoofisha watu na kuendelea kuwatawala.
Demokrasia imetengeneza mfumo wa kisiasa ambao...
Siasa haziondoi utu wetu. Hivi karibuni Mbowe aliwaalika wabunge hao maarufu sana katila hafla ya kuchangia ujenzi wa kanisa.
---
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, leo Januari 31, 2024 amemtembelea na kumjulia hali, Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa...
Kwa wale wote wanao shangaa maigizo ya makonda kukaripia viongozi wa kiserikali wanapaswa kufuatilia na kujifunza asili ya siasa zetu.
Baada ya ziara ya Mwalimu Nyerere uchina na Tanzania kupitia mabadiliko makubwa ya kisiasa na kuanza kufuata siasa za kijamaa.
Katika mabadiliko hayo nguvu ya...
Salaam ndugu zangu,
Matokeo ya Kidato cha nne yametoka leo. Kama ilivyo kawaida kila mwaka, pia takwimu za masomo ya Mwaka huu zinaonesha ufaulu unaongezeka.
Kwa upande wangu nimetazama nilikuwa interested na somo la Civics ambapo pia nimeona ufaulu umeongezeka kwa mwaka huu 2023...
Ndugu watanzania, tuamke kumekucha! Tuamke tupiganie haki yetu ya msingi ya kupewa elimu bora na sio bora elimu. Leo wakati katibu mtendaji wa NECTA anawasilisha matokeo nimemsikiliza kwa makini sana. Amedai eti ufaulu wa mwaka 2023 umepanda kwa 0.87% ukilinganisha na ufaulu wa mwaka 2022...
Chama cha siasa ni muhimili katika mfumo wa kisiasa wa nchi yoyote, na utendaji wake unaweza kuathiri maendeleo na mwelekeo wa jamii. Hata hivyo, swali linalojitokeza ni jinsi gani tunavyoweza kupima utendaji wa chama chetu cha siasa. Je, tuamini kila wanachotuambia, tukikubaliana na kila hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.