Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

Mzee Abaya

JF-Expert Member
Nov 20, 2023
700
1,826
Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku.

Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na mapigano (Karate na judo)

Mkuu wa Wilaya ha Longido amefanya hilo leo baada ya kamati ya usalama kupata taarifa juu ya mafunzo yanayofanywa kwenye chuo hiko kisichosajiliwa.

Kimsingi vyuo hivi vipo sehemu mbalimbali nchini na ni hatari kwa usalama wa nchi kwani vijana hawa huchukuliwa sehemu mbalimbali kwa lengo la kuja kufundishwa dini na itikadi mbali.
 
Nigeria walipuuzia hayo mafunzo. Yamekuja kuwatesa sana mbeleni. Boko haram ilianza kama utani.

Hao vijana kiislam wanaitwa المُهَاجِرْ "al-Muhājir,"

Wanachukuliwa kutoka kwa wazazi wao toka wadogo wanapelekwa mbali na nyumbani kwao kambini na kuanza kufundishwa uislamu tu wenye siasa kali.. hawatakiwi kusoma elimu dunia maana itawafanya wajanjaruke.

Hao ndio wanatumika kwenye kujitoa muhanga. Maana uislam unakuwa ume wa brain wash wamefanyiwa indocrinations. Hawaogopi kufa hao. Wao jukumu lao ni kupigania dini

Nigeria boko haram ndio inatumia hao vijan waliopitia mafunzo ya al-Muhājir .. wanawekwa kambini mbali na nyumbani kwao wanafundishwa siasa kali za uislam.

Wikipedia imeandika muanzilishi wa Boko haram Sheikh Muhammad Yusuf was a graduate of the Almajiri Madrassa who did not had the opportunity to attend the formal education.

Wazazi wa hao vijana ni wale waislamu maskini.. wasio na exposure. Na unajua waislamu wanazaliana sana sababu ya ndoa zao za mitala na kupeana talaka na kuoa upya kila mara. Hivyo unakuta baba ana watoto 20 ila kuwahudumia wala kuwasomesha hawezi.. hivyo huyo mzee anafosi watoto wapelekwe kambi za المُهَاجِرْ "al-Muhājir," wakafundishwe uislamu huku wanakula chakula cha bure.

Huwezi kukuta mtoto wa muislamu mwenye maisha huko. Mfano kikwete ama bakhressa watoto wake hawajui hata maana ya al-Muhājir ni nini japo ni waislamu
 
Hawa ndio watu mzee wetu Mohamed Said anatuambia walikua wameelimika kabla ya kuja wamissionary, hili nalo anaweza kusema ni mfumo kristo ndio unawazuia vijana kujifua kwenye misikiti na kufundishana itikadi kali. Sema wahuni huzeeka pia.
 
Madogo wenyewe wanaonekana tayari wameharibiwa akili. Wana nyuso za kikatili. Huyo mwalimu wao wa mazoezi naye anaonekana wazi ni gaidi mpevu. Serikali ifanye uchunguzi wa kina kwa hizi taasisi za dini kurundika watoto bila shughuli za kueleweka. Wahalifu wanaficha uhalifu wao kwa mgongo wa dini
 
Ndani kuna gym moja matata kwa ajili ya watoto. Na watoto wanasema walikuwa wanafanya mazoezi ya hatari. Mwenye kituo anaongea kwa kujiamini anasema hajui kosa lake. Watoto wanaacha shule nchi nzima, wanaenda kujichimbia kufanya hayo mazoezi magumu.
Eti ndio Wanapata ilimu

Aisee ni noma mno. Nasubiria waje kujitetea.
 
Katika kitu nilichomkubali kikwete ni hiki, akiona mbali sana,licha ya yeye kua muislam lakini kipindi kile aliona akicheka na nyani atavuna mabua, ma sheikh wa uamsho Kule Zanzibar na bara wakawekwa kizuizini

Mpaka lini nasema angefanya haya rais mkristo ingekua nongwa kweli, lakini Hali ilikua mbaya mpaka mwenzao akaona haivumiliki

Kwa Mzee magu, walianza chokochoko kibiti, Mzee Magu ujinga ndo hua hataki hata kidogo, Kuna operation ilifanyika kule Yani hata ukihisiwa umeenda.... Wakaona huyu Msukuma sio wa kucheza nae wakaacha huo ujinga

Kaja sasa kiguu na njia, panya wanatoka mashimoni Kila mtu ni kujitawala tu
 
1707846183596.png
 
Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku.

Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na mapigano (Karate na judo)

Mkuu wa Wilaya ha Longido amefanya hilo leo baada ya kamati ya usalama kupata taarifa juu ya mafunzo yanayofanywa kwenye chuo hiko kisichosajiliwa.

Kimsingi vyuo hivi vipo sehemu mbalimbali nchini na ni hatari kwa usalama wa nchi kwani vijana hawa huchukuliwa sehemu mbalimbali kwa lengo la kuja kufundishwa dini na itikadi mbali.
Duh!...
 
Namanga Islamic Centre ni kituo cha mafunzo ya siasa kali na mafunzo ya mapigano(KARATE, Judo, Taekwando n.k) kilichokuwa chini ya Dini ya Kiislam katika Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha.

Kituo hiki ni cha pili kufungwa baada ya kile cha Dodoma ambapo mabinti wasiopungua 150 walikuwa wamefungiwa kituoni na kupewa mafunzo mbalimbali ya kidini.

Vituo vyote viwili vimefungwa rasmi na kamati za ukinzi na usalama za Mikoa na Wilaya husika kwani vipo kinyume na utaratibu na vinatishia usalama wa nchi.

Hali kama hii ilikuwa nchini Nigeria ambapo serikali iliacha pale ilipokuwa ikipewa taarifa kuhusu mafunzo yanayotolewa na Boko haram kwa vijana wa nchi hiyo. Madhara yake ni kuanzishwa kwa kundi la kigaidi la Boko Haram lililosumbua na kuharibu usalama wa nchi ya Nigeria.

Hapa Nchini, kulitokea vuguvugu za itikadi kali na ugaidi kule Pwani pamoja na Mtwara. Sisi kama watanzania, tuna wajibu wa kutoa taarifa kuhusu vyuo au vituo hivi vinavyotoa mafunzo ya mapigano na itikadi kali.

Mimi kama Mtanzania, ninaanza kukitaja kituo cha mafunzo ya mapigano na itikadi kali kilichopo kwenye Msikiti wa Ipogolo pale Iringa Manispaa pamoja na Msikiti uliopo kwenye Kijiji cha Kitayawa njia panda ya Nyabula Wilaya ya Iringa Mkoa wa Iringa.

Misikiti/Vituo hivi hufundisha vijana wa kiislam itikadi kali na mapigano na mara nyingi kama unaenda kule Nyabula toka Iringa Mjini, utakuta vikundi vya vijana hao waliovaa kanzu na viremba kichwani wakitembea kwa miguu na wakifanya mazoezi.

Naamini JF ni Platform kubwa nchi hii, kutaja kwako vituo hivi vitasaidia kulinda usalama na amani ya nchi yetu. Ewe mwana JF, funguka kwa ajili ya Mama yetu Tanzania.

Mungu ibariki Tanzania, Eeehh Mungu ilinde na itetee Mama yetu Tanzania.
 
Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku.

Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na mapigano (Karate na judo)

Mkuu wa Wilaya ha Longido amefanya hilo leo baada ya kamati ya usalama kupata taarifa juu ya mafunzo yanayofanywa kwenye chuo hiko kisichosajiliwa.

Kimsingi vyuo hivi vipo sehemu mbalimbali nchini na ni hatari kwa usalama wa nchi kwani vijana hawa huchukuliwa sehemu mbalimbali kwa lengo la kuja kufundishwa dini na itikadi mbali.
Tuweke udini pembeni

Je Watanzania hawapaswi kujifunza karate na judo? Je mbinu za kujilinda ni kinyume na sheria za nchi? Hizi tahariko tunazobabatizwa nazo kila mara kwa jina la ulinzi na usalama, kwa nini serikali isipeleke mamluki wake hapo nao wakajifunza hayo mafunzo ili kuyachuja kama ni hatari kwa jamii? Naona badala yake ni hizi Kamati za Ulinzi na Usalama zimejikita kwenye kupambania taharuki kuliko kutumia weledi na akili kudeal na haya mambo
 
Ndani kuna gym moja matata kwa ajili ya watoto. Na watoto wanasema walikuwa wanafanya mazoezi ya hatari. Mwenye kituo anaongea kwa kujiamini anasema hajui kosa lake. Watoto wanaacha shule nchi nzima, wanaenda kujichimbia kufanya hayo mazoezi magumu.
Eti ndio Wanapata ilimu

Aisee ni noma mno. Nasubiria waje kujitetea.
Kulegalega kwa ulinzi na usalama wa. nchi hupelekea hizi taharuki kuwa nyingi sana
 
Hawa ndio watu mzee wetu Mohamed Said anatuambia walikua wameelimika kabla ya kuja wamissionary, hili nalo anaweza kusema ni mfumo kristo ndio unawazui vijana kujifua kwenye misikiti na kufundishana itikadi kali. Sema wahuni huzeeka pia.
Masta...
Mimi sina taarifa kamili ya hicho walichokuwa wanafundishwa hao vijana 70 wa Kiislam ambacho walioamua kufungia chuo chao wamekiona.

Ningefahamu hayo masomo yaliyoonekana ni itikadi kali ningeweza kujaribu kuchangia.
 
Back
Top Bottom