Ifahamu miamba ya siasa za bongo kulingana na kanda

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,590
4,601
Siasa za nchi zilileta ushindani mkubwa kutokana na uwepo wa watu waliokubalika vilivyo kwenye kanda zao kiasi Cha kufikia kuitwa miamba. Ni kipindi cha kusisimua tulichopata kushuhudia kwenye siasa zetu miamba hii na bila shaka mwanzo wa mwisho wa kipindi hiko umefika.

Na hii ndio miamba katika siasa Kwa kanda mbalimbali

1. Mwamba wa kaskazini katika siasa ni Edward Lowassa- RIP
2. Mwamba wa kanda ya ziwa ni John Magufuli-RIP
3. Mwamba wa kusini ni Benard Membe-RIP
4.Mwamba wa Mashariki ni Jakaya Kikwete
5. Mwamba wa nyanda za juu Kusini ni Prof.Mwandosya
6. Mwamba wa kanda ya kati ni mzee Malecela.

Miamba iliyobaki Sasa imebaki kuwa ni washauri na sio washindani hakika kilikuwa ni kipindi chenye siasa za upinzani kwelikweli
 
Kibajaji Lusunde Livingston na Dr. Kasheku Joseph Msukuma umewaruka au umeoverlook 🐒
 
Siasa za nchi zilileta ushindani mkubwa kutokana na uwepo wa watu waliokubalika vilivyo kwenye kanda zao kiasi Cha kufikia kuitwa miamba. Ni kipindi cha kusisimua tulichopata kushuhudia kwenye siasa zetu miamba hii na bila shaka mwanzo wa mwisho wa kipindi hiko umefika.

Na hii ndio miamba katika siasa Kwa kanda mbalimbali

2. Mwamba wa kanda ya ziwa ni John Magufuli-RIP

Miamba iliyobaki Sasa imebaki kuwa ni washauri na sio washindani hakika kilikuwa ni kipindi chenye siasa za upinzani kwelikweli

Yaani Magufuli awe mwamba kumzidi Nyerere? Vipi kuhusu Steven Wassira?
 
Back
Top Bottom