sekretarieti ya ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Sekretarieti ya Ajira au Sekeseke la Ajira - Wanasiasa bhana!

    Yaani hadi Shirika la Posta limewagomea halitaki hii Taasisi iwatafutie wafanyakazi ujue siasa zimetawala. Toka aondoeke Daudi Xevier yaani hii Taasisi imekuwa ya kisiasa kabisa. Nimefuatilia kwa kina ajira wanapewa hata wale ambao hawakushiriki kabisa kwenye usaili - sababu ni eti ni mtoto wa...
  2. Brightly

    Miaka Zaidi ya 15 nikiwa darasani.

    Habari Wanajf nawasalimu kwa jina la jamhuri wa muungano wa Tanzania?.Bila kupoteza muda nimekuja kwenu ndugu zangu najua humu jf nitapata ushaurii utakaonisaidia maake naamini jf ni kisima Cha maarifa na pia inawezekana nikapata msaada...
  3. M

    Kero ya kuripoti kazini baada ya kupangiwa ajira na sekretarieti ya ajira, halafu unaambiwa urudi nyumbani mpaka upigiwe simu kuitwa!

    Inawezekanaje watu wapange utaratibu ambao siyo rafiki kwa waajiriwa wapya? Iko hivi: Ukipangiwa ajira na sekretarieti ya ajira kwa maana ya kufaulu usaili, unapewa barua ya kuripoti kazini ndani ya siku 14 vinginevyo nafasi yako atapewa mwingine! Hii inamfanya mwajiriwa atafute nauli hata kwa...
  4. H

    PSRS iendelee kuajiri au turudi kwa mashirika yaajiri tena kama ilivyokuwa awali?

    Leo mkuu wa nchi ambae ni Rais ameagiza na kuruhusu mashirika kuajiri watumishi wa umma moja kwa moja. Hii ina maana sasa hayo mashirika mfano TRA, TANESCO na mengine yaliokuwa yatumia PSRS sasa yamepewa ruhusa kuajiri tena bila kupitia PSRS. Maoni yangu hii haitokuwa vizuri. Sababu mwanzoni...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Mwenye maswali yanayoulizwa kwenye paper ya written ya Assistant Tax Management officer huko sekretarieti ya Ajira yaweke hapa tujadilieni

    Mwenye maswali yanayoulizwa kwenye paper ya written ya Assistant Tax Management officer huko sekretarieti ya Ajira yaweke hapa tujadiliane.
  6. Meneja Wa Makampuni

    Sekretarieti ya ajira ondoeni kigezo cha cheti cha ERB kwa kozi za mafuta na gesi (petroleum) wekeni kigezo cha COMMON QUALIFICATION SYSTEM

    Kazi yoyote inayohusu mafuta na gesi (petroleum) watangazieni wote waliosomea mafuta na gesi na mwaite wote wafanye usaili atakayepita ndio huyohuyo. Kazi hizi ni: Production, Reservoir, Drilling, Petroleum, Exploration, Processing, Oil and Gas Operation, Quality Assurance and Control. Hizo...
  7. S

    Ifahamu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na Majukumu yake

    Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imeanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 29(1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298 (iliyorejewa 2019) kwa ajili ya kushughulikia mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma na kuanzishwa rasmi tarehe 1 Machi, 2010. Majukumu ya...
  8. Meneja Wa Makampuni

    Ukifanya Oral Interview sekretarieti ya ajira wanachukua muda gani kuibadilisha status ya account yako?

    Naombeni kuuliza kuna ndugu yangu anataka kujua: Ukifanya oral interview sekretarieti ya ajira wanachukua muda gani kuibadilisha status ya account yako.
  9. K

    Sekretarieti ya ajira inawanyima haki watanzania kushiriki usaili wa ajira

    Ndugu wanajamvi pazeni hili jambo ratiba za usaili wa NAOT na bodi ya mikopo(Heslb) sio rafiki kwa wasailiwa na inakatisha tamaa kushiriki hatimae vijana wengi wanaotafuta ajira hushindwa kuhudhuria nafasi hizo za usaili. Usaili wa written ufanyike Dodoma Kisha practical ufanyike dar es salaam...
  10. K

    Sekretarieti ya ajira inawanyima haki wasailiwa kushiriki usaili

    Ndugu wanajamvi pazeni hili jambo ratiba za usaili wa NAOT na bodi ya mikopo(Heslb) sio rafiki kwa wasailiwa na inakatisha tamaa kushiriki hatimae vijana wengi wanaotafuta ajira hushindwa kuhudhuria nafasi hizo za usaili. Usaili wa written ufanyike Dodoma Kisha practical ufanyike dar es salaam...
  11. maiyanga1

    Sekretarieti ya Ajira, mnayajua haya?

    Nimesikitika sana baada ya kusikia kwamba pamoja na ajira zote za umma, ukiacha waalimu, kusimamiwa na tume ya ajira, eti kuna taasisi za umma ambazo usaili ukifanywa na tume ya ajira, bado nazo zinakuwa na vigezo vyake kuwachukua waliopita katika usaili wa tume ya ajira. Hili likoje? Mtu...
  12. Chief Ortambo Ikumenye

    Takukuru na sekretarieti ya ajira chunguzeni haraka kinachotokea DUCE, ni aibu

    Wakuu nimetimba hapa Duce aisee ni aibu. Kuna mazingira yote ya urasimu unaendelea kwenye interview zilizofanyika jana. Tulitegemea matokeo yawekwe kwenye sekretarieti ya ajira lakini haikuwa hivo. Nimefika hapa asubuhi naambiwa eti waliofaulu walipigiwa simu. Mpaka sasa hatujui waliopiga...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Kwako Waziri wa Ajira: Matatizo katika mfumo wa Sekretarieti ya Ajira

    Kwako waziri wa Ajira Yah: Matatizo katika mfumo wa Sekretarieti ya Ajira. Kwako Waziri wa Ajira, Natumai unaendelea vyema na shughuli zako za kila siku. Mh. waziri Lengo la kukuandikia barua hii ya wazi ni kukueleza changamoto zinazowakumba Watanzania wanaojaribu kufanya maombi ya kazi...
  14. Samba

    Sekretarieti ya Ajira , Kazi za UDOM tangazo la 21/06/2022 angalieni post ya Assistant Librarian Trainee, kuna shida kwenye qualification & experience

    Angalieni hii post ya Assistant Librarian Trainee katika chuo cha UDOM, jamani Hivi qualification ya Librarian kwa level yoyote anaweza kuwa na qualification ya Doctor of Medicine? Pharmacy? Law ? Physics kama inavyoonekana kwenye tangazo na Portal? Hebu tuweni serious watu wanahitaji kuomba...
  15. Samba

    Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuna shida sana kwenye mfumo; mfumo hauruhusu watu kuomba kazi pamoja na kuwa na vigezo

    Sekretarieti ya Ajira, hivi hamna mtu wa quality assuarance? ili akague adverts zenu kabla ya kuwekwa kwa portal na kwenye webiste? hivi hamnuoni kwamba kuna kazi nyingi zina makosa? Unakuta kazi ipo kwenye category yako na programme yako iko listed lakini huwezi kuomba kazi unaambiwa programe...
  16. Meneja Wa Makampuni

    Sekretarieti ya ajira tupeni ufafanuzi kw hizo ajira za PURA wasipewe watu waliosomea Petroleum Geology, Petroleum Engineering na Petroleum Chemistry?

    Sekretarieti ya ajira tupeni ufafanuzi kwanini hizo ajira za PURA wasipewe watu waliosomea Petroleum Geology, Petroleum Engineering na Petroleum Chemistry? Serikali ilipokua inaanzisha hizi kozi ililenga watu hawa waajiriwe kwenye taasisi zilizojikita zaidi kwenye mambo ya mafuta na gesi. Sasa...
  17. luangalila

    Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma hampo makini katika recruitment system yenu

    Wadau kwema, niwapongeze kwa kufanikiwa kuiona siku mpya hakika Tumepata kibali cha siku mpya. Katika pita pita zangu ktk.mfumo wa fursa za ajira utumishi wa umma, nimekutana na kitu ambacho kimenifanya niwaze na kutilia shaka uweledi wa sekretarieti. Nimeambatanisha picha za moja ya nafasi za...
  18. Meneja Wa Makampuni

    Hivi unaweza kuitwa kwenye interview Sekretarieti ya Ajira bila 'ku-certify' vyeti?

    Habari wakuu, Kwa mliowahi kutuma maombi ajira portal ya sekretarieti ya ajira. Hivi unaweza kuitwa interview sekretarieti ya ajira bila kusatifai vyeti.
  19. Clark boots

    Barua za Serikali za Mitaa zinazokubalika Sekretarieti ya Ajira kama utambulisho

    Wadau, Kutokana na huyu rafiki angu kutokuwa na Kitambulish cha aina yoyote nimeamua kumshauri aangalie na option ya kuomba barua kutoka Serikali yake ya mtaa anayoishi. Sasa wakuu naomba mwongozo kwa mtu aliyewahi kutumia hii option inakuwaje hyo barua na ni kweli utumishi wanakubali bila...
  20. B

    WAHUKUMIWA MIEZI SITA BAADA YA KUFANYIANA USAILI WA KUANDIKA UNAORATIBIWA NA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

    Mar 22, 2022 Mahakama ya Wilaya ya Dodoma imewatia hatiani waombaji kazi wawili Mabula Edward Kanga pamoja na Joel Johnson Kimatare baada ya kufanya udanganyifu wakati wa zoezi la usaili kwa nafasi za Uhandisi Ujenzi uliofanyika tarehe 08 Mei, 2021 katika Ukumbi Wa Chuo Kikuu cha UDOM...
Back
Top Bottom