Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,333
- 8,252
Sekretarieti ya ajira tupeni ufafanuzi kwanini hizo ajira za PURA wasipewe watu waliosomea Petroleum Geology, Petroleum Engineering na Petroleum Chemistry?
Serikali ilipokua inaanzisha hizi kozi ililenga watu hawa waajiriwe kwenye taasisi zilizojikita zaidi kwenye mambo ya mafuta na gesi.
Sasa kuna haja gani nafasi waliozosomea hawa watu wa petroleum tena kwa miaka mingi mnawaita hadi watu ambao kozi zao hazijajikita kwenye mambo ya mafuta na gesi?
Kikawaida nafasi walizotangaza PURA mbona kama zimejikita sana kwenye mambo ya mafuta na gesi?
Ushauri: Taifa letu linaingia kwenye uchumi wa gesi hivyo linahitaji wataalamu waliobobea kwenye mafuta na gesi.
Serikali inabidi iliangalie hili ili iweze kupata matokeo chanya kwenye sekta hii.
Mimi naona taasisi zinazohusika na mafuta na gesi zichukue wataalamu waliosomea mafuta na gesi pekee waendelee kujijenga na kupata uzoefu ili wasaidie taifa letu.
Mafuta na gesi yanahitaji kutumia sayansi ya kweli ukikosea kidogo tu mnapoteana wote mnakwama kuendelea mbele.