Sekretarieti ya Ajira au Sekeseke la Ajira - Wanasiasa bhana!

Lyambalyetu

JF-Expert Member
Apr 6, 2021
265
240
Yaani hadi Shirika la Posta limewagomea halitaki hii Taasisi iwatafutie wafanyakazi ujue siasa zimetawala.

Toka aondoeke Daudi Xevier yaani hii Taasisi imekuwa ya kisiasa kabisa. Nimefuatilia kwa kina ajira wanapewa hata wale ambao hawakushiriki kabisa kwenye usaili - sababu ni eti ni mtoto wa mkubwa.

Wapo - tena wengi tu. Hebu nenda pale TCRA na hata REA - watoto wa vibosile ambao tulikuwa nao class wakiwa vibone ile mbaya kwa sasa shavu shavu na hata usaili hawakushirki kamwe!
 
Kuna interview imefanyika na majina yaliongezwa siku moja kabla ya usaili wakati wengine waliitwa wiki moja kabla ya usaili, sasa tunawavizia waliongezwa one day before interview na wakipata hii kazi najuwa kabisa walipangwa kwanini majina yaongezwe one day before na wafaulu interview? na wakati hawakupata muda mrefu wa kujiandaa na usaili?
 
Kuna interview imefanyika na majina yaliongezwa siku moja kabla ya usaili wakati wengine waliitwa wiki moja kabla ya usaili, sasa tunawavizia waliongezwa one day before interview na wakipata hii kazi najuwa kabisa walipangwa kwanini majina yaongezwe one day before na wafaulu interview?? na wakati hawakupata muda mrefu wa kujiandaa na usaili??.
Inshu sio kujiandaa au kupewa taarifa mapema. Supreme ya ajira ni kuipata basi
 
Back
Top Bottom