Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,328
- 8,243
Kwako waziri wa Ajira Yah: Matatizo katika mfumo wa Sekretarieti ya Ajira.
Kwako Waziri wa Ajira,
Natumai unaendelea vyema na shughuli zako za kila siku.
Mh. waziri Lengo la kukuandikia barua hii ya wazi ni kukueleza changamoto zinazowakumba Watanzania wanaojaribu kufanya maombi ya kazi katika mfumo wa Sekretarieti ya Ajira.
Swala hili limekua ni kero ambapo watanzania wamekuwa wakizuiwa kufanya maombi ya nafasi ambazo wanavigezo.
Baada ya kuweza kufanya maombi kwa muda, mrefu katika mfumo huo nimeweza kubaini matatizo yafuatayo ya kiufundi.
1. Mfumo hauruhusu mwenye degree kuapply kazi zinazohitaji diploma hata akiwa na cheti cha diploma, pia hauruhusu mwenye masters kuapply kazi zinazohitaji degree hata akiwa na degree.
2. Mfumo hauruhusu mtu kufuta kama akikosea kujaza taarifa, hauruhusu kabisa. Tofauti na mifumo mingine ya ajira.
3. Mfumo hauna uwezo wa kutambua kozi zinazofanana.
Mh. Waziri mimi nahisi matatizo haya yanatokana pengine na utaalamu unaotumika kuendesha mfumo una madhaifu na kwa maana hiyo unahitaji marekebisho ili uweze kufanya kazi vizuri.
Mh. Waziri hivyo lengo kuu kabisa la barua hii ni tunaiomba serikali iweke watu wenye uwezo ili kurahisha utumaji wa maombi na kutatua changamoto hizo.
Ahsante.