samia 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poppy Hatonn

    Siyo kosa kama mtu anataka kumuondoa Samia 2025

    Kweli upo wa CCM kuhusu jambo hilo, lakini hakuna sababu ya kugombana na watu wanaoutaka urais. Achilles heel ya Rais Samia ni kwamba anakopa sana hela, watu wanaishi beyond their means. Hizi hela zote zinazokopwa, utafika wakati wa malipo. Hiki ndicho chanzo cha vita. Pesa zote zinamilikiwa...
  2. Mzalendo Uchwara

    Kuzorota kwa mambo nchini, ni uwezo mdogo wa kuongoza au anatengenezewa mlango wa kutokea 2025?

    Kwakweli inastaajabisha namna tunavyopiga hatua kurudi nyuma kila kukicha, matatizo tuliyonayo leo tulikwisha anza kuyasahau wakati wa awamu ya Magufuli. 1. Umeme umeshindwa kupatiwa ufumbuzi, kila siku ni excuse zisizo na kichwa wala miguu. Na hilo bwawa linalotegemewa kuleta unafuu...
  3. J

    2025 Hashim Rungwe na Samia wakigobea Urais huenda Rungwe akashinda

    Kwa jinsi Wananchi wanavyomlalamikia Bi mkubwa kwenye suala la mfumuko wa bei hususan vyakula mzee wa ubwabwa akija na hizo sera zake atashinda.
  4. Sildenafil Citrate

    Mussa Zungu: Rasmi sasa tumeanza Ajenda ya Samia 2025

    Rasmi tunaanza Ajenda ya Samia 2025 leo katika Jimbo letu la Ilala. Hatutazimwa na mtu wala hatutawashwa na mtu, tumeamua kumbeba na kumtetea kiongozi anayesimamia umoja katika taifa letu. Musa Azan Zungu Mbunge, Ilala (CCM) ============ For English Audience Only============= "We officially...
  5. P

    Uzi maalum kwa taarifa zote kwa wanaomuunga mkono Rais Samia 2025

    Wakuu mko vyede, Kukutana na manyuzi kibao kusema zinaunga mkono juhudi za mama inakata stimu, halafu unakuta ka uzi kenyewe kana mistari mitatu iliyojaa kusifia mwanzo mwisho. Nyuki wa mama naomba wote mtumie uzi uzii kuweka mapambio yenu ya kuunga juhudi za mama, yoyote anayetaka kujua nani...
  6. kevylameck

    CCM imtumie Chalamila kufanikiwa kwa Samia

    Na Kevin Lameck Tanzania itaingia katika chaguzi mbili muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla. Ni uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Kwa mara ya kwanza tutamshuhudia Samia Suluhu Hassan akipambana kwenye majukwaa ya kampeni ili...
  7. Allen Kilewella

    Tetesi: CCM inataka Dotto Biteko awe Mgombea Mwenza kwa Samia 2025

    Inasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo. CCM bwana!!!
  8. The Boss

    CHADEMA, zoezi la kumzuia Rais Samia 2025 likipita na zoezi la katiba litasimama hadi 2035

    Kila mtu anajua kuwa wanachokitaka wapinzani sio katiba mpya bora sana ya kuongoza nchi, ila wanataka katiba mpya ambayo italeta Tume ya uchaguzi tofauti na ya sasa wakiamini Tume nyingine ya Uchaguzi itawaingiza Ikulu na kuwapa wabunge Wengi sana kirahisi, hisia za wapinzani ni kuwa hawashindi...
  9. M

    Nimefedheheka sana na kuamua kuzima Runinga. Yaani walimu wanatumika kisiasa kumpigia kampeni Rais Samia 2025! Huku wamejaa dhiki

    Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda. Eti tayari wameshampitisha Samia 2025. This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
  10. Pascal Mayalla

    Wajua, kuna 2 Types of Leaders. Born Leaders na Manmade Leaders?. Je, Wajua tutamfaidi zaidi Rais Samia kipindi cha 2025-2030 kuliko sasa If Only..?

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, leo makala yangu ni makala ya dhana dhanifu, kuhusu Tanzania ya 2025 -2030. Makala ya leo kwanza inafundisha kujua types mbili za leaders, kuna born leaders, na made leaders, na kwenye made leaders kuna manmade leaders na...
  11. K

    Serikali ya Rais Samia kutoa mbolea ya ruzuku mpaka 2025

    Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Dk Stephan Ngailo amesema serikali itatoa mbolea kwa miaka mitatu mfululizo kuanzia mwaka 2022/2023 hadi 2024/2025 ili kuwapunguzia wakulima gharama za kilimo. Serikali imeanza maandalizi ya kutoa ruzuku ya mbolea kwa msimu...
  12. N

    Kishindo cha Rais Samia 2025

    Uongozi wa Rais Samia Suluhu ambao umeimarisha utawala bora, utengamano wa kisiasa na utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo, umezidi kumpa mvuto kwa watanzania wa kada tofauti, ambao wengi wao wamesema anatosha kukalia tena kiti hicho katika uchaguzi mkuu a 2025. Pia wamempongeza kwa...
  13. Suley2019

    Rais Samia: Kwa sura nazoziona hapa (CHADEMA) hamna dhamira ya kushika dola 2025, mnajua mama yupo

    Rais Samia akiwa katika Maadhimisho amezungumza mambo mbalimbali. Akiwa anajibu hoja ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAWACHA kuhusu nia yao ya kushika dola 2025 Rais Samia amesema: "Ndugu zangu siasa ni mchezo wa kulumbana kwa hoja Wote tukiwa na lengo la kushika dola kama alivyosema...
  14. Abdalah Abdulrahman

    Kinachouangusha upinzani Tanzania ni nidhamu

    Nidhamu ndio msingi wa maendeleo ya kila kitu duniani, ukitaka kuwa tajiri ni lazima uwe na nidhamu ya fedha, ukitaka kuishi vema kwenye ndoa yako ni lazima uwe na nidhamu katika mahusiano yako, ukitaka kuwa na chama chenye ushawishi mkubwa na chenye uwezo wa kukamata dola ni lazima viongozi na...
  15. I

    SoC02 One Year of Tanzanian President Hassan: What’s Changed

    March 19, 2022, marks the one-year anniversary of Tanzanian president Samia Suluhu Hassan’s inauguration. As the country’s former vice president, Hassan became the constitutionally mandated successor of late president John Magufuli after he allegedly died from Covid-19 in early March 2021. Her...
  16. Rashda Zunde

    Rais Samia 2025 ana nafasi kubwa ya kushinda

    2025 Mama atashinda hilo halina ubishi kwani Haijawai tokea kwakweli. Rais anapendwa na watu namna hii. Ameonyesha nia yake ya kupenda, kujali na kutekeleza yale yote aliyoyaahidi. Haki✅ Usawa✅ Mishahara✅ Posho✅ Anayebisha aje na facts.
  17. chuki

    Kuna Genge ndani ya CCM linajiandaa kumuondoa Samia 2025 kwa Mlango wa Nyuma

    Rais SSH amekuwa rais wa viwango tangu aingie madarakani 2021, Bahati mbaya ameangukia kwenye kundi lenye uroho wa Madaraka na Wapiga dili wa tangu kale. Bahati mbaya SSH amekuwa akiamini ndio kundi lenye kumshauri vizuri,kumbe ni kundi lenye Maslahi binafsi haliamini Kama Samia anaweza...
  18. kavulata

    Vyama vya upinzani mwacheni Rais Samia 2025 apite bila kupingwa ili awanyooshe mapito yenu 2030

    Kwa namna tume ya uchaguzi, Katiba na kanuni za uchaguzi zilivyo sasa hivi itakuwa kazi bure kama vyama vya upinzani vitashiriki chaguzi bila kufanyiwa mabadiliko muhimu ya kidemokrasia, ni kweli au uongo? Rais Samia ana exposure kubwa sana katika katika duru za kimataifa kuliko Rais yeyote...
  19. Ferruccio Lamborghini

    Mjue 'mfalme' Zumaridi kiundani zaidi

    Kwa miaka kadhaa sasa, ‘Mfalme Zumaridi’ ambaye jina lake halisi ni Diana Bundala, ni miongoni mwa wahubiri wa dini wanaovuma ndani na nje ya Jiji la Mwanza. ‘Mfalme Zumaridi’ (39) ambaye pia hujiita mungu wa duniani amesikika akitoa huduma ya maombezi, mahubiri na hata tiba kwa magonjwa kadhaa...
Back
Top Bottom