Nyerere aliipaisha Tanzania Afrika Mashariki, Mwinyi akaporomosha; Mkapa akaipaisha tena, Kikwete akaiporomosha tena

ndo ukweli wenyewe

kipimo chake ni mchungu we utaona mapovu yatakayokuja sijui ya OMMO au kifafa.
 
Tanzania ilikuwa kinara wa uchumi Afrika Mashariki. Mwalimu na Mzee Mkapa waliipa heshima nchi.

View attachment 2258304
Wacha unafiki Nyerere aliipaisha nchi kiuchumi? Kakwambia nani najuwa wewe ulikuwa bado hujazaliwa lakini nikuutaarfu wakati wa utawala wa Nyerere hii nchi ilikuwa inanuka njaa, vyakula vilipatikana kwa shida na kwa mgao tulikuwa tunaitegemea Kenya kwa kila kitu kuanzia vyakula, madawa, mafuta ya kupikia, viatu na usafiri kwa sababu barabara zote za tanganyika zilikuwa mbovu.
 
Back
Top Bottom