Kiukweli Kanumba alikuwa ana mvuto wa kipekee

KIBUGAmk

Member
Jan 22, 2024
83
130
Habari zenu wana JF, Tukirudi kipnd cha nyuma miaka ya 2010 soko la bongo muv lilikuwa lilikuw juu sana kuliko hata muziki lkn baada ya Kanumba kufariki soko kimeyumba mpaka sasa

Japo kidogo, Ramata anajitahidi kurudisha ule umakini wa zamani kupitia tamthilia kama 'jua kali'.

Lakini kiukweli Kanumba alikuwa ana mvuto wa kipekee ana kipaji cha kuvumbua vipaji vya watu wengine, na ndio maana aliweza kuleta watu wengi kwenye sanaa kama akina Patrick, Jennifer, Irene Uwoya, patcho nk.

Kinacho nishangaza zaidi na kunifanya nichanganyikiwe kuhusu umaarufu wa huyu jamaa ni kwamba, kila mtoto ambaye amezaliwa mwaka 2013 akibahatika kuona muvi ya Kanumba ni lazima ampende na kutamani hat kumuona.

Kuna mtotowa jirani alizaliwa mwaka 2017 ana umri wa miaka 6, siku leo mama yake amemuwekea filamu mbili za Kanumba ile ya "This is it" pamoja na "uncle jj" ,, dogo amefurahi sana na akadai kwamba anatamani siku moja akutane na Kanumba

Mama yake amemsanua dogo na kumwambia kwamba Kanumba alishaanza fariki tangu zamani kabla hata hujazaliwa 😥😥basi dogo amenuna amegoma hata kula..KWELI HUYU MWAMBA (R.I.P.Kanumba) ALIKUWA ANA NYOTA KALI..
 
Sasa movies zenyewe ziko wapi? Wakina Patrick Swayze wamekufa lakini mpaka leo movies zao zinauza.
 
Japokua mimi Sijawahi kua shabiki wa "bongo movie" hata kidogo lakini yule jamaa alikua ana nyota ya umaarufu Sana, yani humfatilii lakini habari zake zinakufuata huko huko uliko tofauti na sasa hivi hakuna "mbongo movie" ninaekuta taarifa zake kwenye mitandao ni kama jamaa alikufa na "bongo movie" yake
 
Lakini kiukweli Kanumba alikuwa ana mvuto wa kipekee ana kipaji cha kuvumbua vipaji vya watu wengine, na ndio maana aliweza kuleta watu wengi kwenye sanaa kama akina Patrick, Jennifer, Irene Uwoya, patcho nk.
KWELI HUYU MWAMBA (R.I.P.Kanumba) ALIKUWA ANA NYOTA KALI..
Naunga mkono hoja

P
 
Habari zenu wana JF, Tukirudi kipnd cha nyuma miaka ya 2010 soko la bongo muv lilikuwa lilikuw juu sana kuliko hata muziki lkn baada ya Kanumba kufariki soko kimeyumba mpaka sasa

Japo kidogo, Ramata anajitahidi kurudisha ule umakini wa zamani kupitia tamthilia kama 'jua kali'.

Lakini kiukweli Kanumba alikuwa ana mvuto wa kipekee ana kipaji cha kuvumbua vipaji vya watu wengine, na ndio maana aliweza kuleta watu wengi kwenye sanaa kama akina Patrick, Jennifer, Irene Uwoya, patcho nk.

Kinacho nishangaza zaidi na kunifanya nichanganyikiwe kuhusu umaarufu wa huyu jamaa ni kwamba, kila mtoto ambaye amezaliwa mwaka 2013 akibahatika kuona muvi ya Kanumba ni lazima ampende na kutamani hat kumuona.

Kuna mtotowa jirani alizaliwa mwaka 2017 ana umri wa miaka 6, siku leo mama yake amemuwekea filamu mbili za Kanumba ile ya "This is it" pamoja na "uncle jj" ,, dogo amefurahi sana na akadai kwamba anatamani siku moja akutane na Kanumba

Mama yake amemsanua dogo na kumwambia kwamba Kanumba alishaanza fariki tangu zamani kabla hata hujazaliwa 😥😥basi dogo amenuna amegoma hata kula..KWELI HUYU MWAMBA (R.I.P.Kanumba) ALIKUWA ANA NYOTA KALI..
Bongo Movie hamna kitu kabisa tena. We want our Kanumba Back.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom