Band of Brothers: Hakuna series wala movie ya kivita kali kama hii.

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,238
12,751
Series hii inahusu harakati za askari wa miamvuli wakati wa WWII. Hakuna series wala movie ya kivita kali kama hii.

images (2).jpeg
 
Saving private Ryan unaijua? Kiufupi movie nzuri zinazofanana na hiyo ni nyingi na hakuna hata moja utaishusha kiwango.
Nimeiona. Na Tom Hanks aliyeigiza SPR ndiye aliyeongoza Band of Brothers akiwa na nguli Spielberg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom