movie

Movie Movie is a 1978 American double bill directed by Stanley Donen. It consists of two films, Dynamite Hands, a boxing ring morality play, and Baxter's Beauties of 1933, a musical comedy, both starring the husband-and-wife team of George C. Scott and Trish Van Devere. A fake trailer for a flying-ace movie set in World War I entitled Zero Hour (also starring Scott) is shown between the double feature.
Barry Bostwick, Red Buttons, Art Carney and Eli Wallach also appear in both segments, with Harry Hamlin, Barbara Harris and Ann Reinking featured in one each. The script was written by Larry Gelbart and Sheldon Keller.

View More On Wikipedia.org
  1. MK254

    Video: Mateka 250 waokolewa, HAMAS 60 wauawa na 26 kukamatwa

    Mkiambiwa makomando wa Israel ni moto wa kuotea mbali, yaani hapa kama movie, jamaa wameicheza kiaina aki ya nani nimefurahi hadi naumwa, hii itaandikwa kwenye vitabu na movie zitakua shot nyingi, makamu wa magaidi pia amekamatwa hai Abu A'ali the Deputy Commander of the Hamas. The Flotilla 13...
  2. Fifteen

    Kwa wapenda movie za aliens Series ya invasion ni series Bora kabisa

    Habari jukwaani kwa wawafatiliaji wa movie za aliens sizani kama Kuna movie Bora kuizidi invasion ambayo iko season two episode ya 7 week hii ubora wake ni 1. kwanza Aliens hawajavamia america tu ni world wide. 2. Aliens hawaongei kingereza Wala hawafati linguistics yetu. 3. Mapambano...
  3. F

    Wazazi kamwe msiwaruhusu watoto wenu kuangalia filamu za kutisha (zombie & violent movies), kuna mkakati hatari wa shetani kwenye movie hizi!

    Same. Mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Majengo wilayani Same, mkoani Kilimanjaro Brian Elisha Godson (12) amejiua kwa kujinyonga akitaka kuigiza kama filamu ya kujinyonga aliyoipenda kuiangalia akiamini hatakufa. Godson anadaiwa kufanya jaribio hilo kwa kujinyonga na shuka saa 12...
  4. L

    Naomba mwenye kufahamu hii movie

    https://www.instagram.com/reel/Cxuu2Oesp7c/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ== Anayefahamu hii movie yenye hiki kipande kwenye link naomba anitajie nipakue
  5. benzemah

    Staa wa "Movie" Kutoka India, Sanjay Dutt atua nchini Kufanya Royal Tour kuitangaza Tanzania

    Msanii maarufu duniani kwenye eneo la filamu kutoka nchini ambaye ana zaidi ya wafuasi milioni mia mbili katika mitandao yake, Sanjay Dutt leo Septemba 18, 2023 ametua kuanza Royal Tour hapa nchini. Mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere na kupokewa na...
  6. DR Mambo Jambo

    Kwa Ulinzi wa Dotto Biteko, Serikali itunge sheria kudhibiti matumizi mabaya ya Ofisi

    Naona sasa ni muda muafaka Serkali itunge sheria kudhibiti Haya matumizi mabaya ya Ofisi maana... Leo hii nimeona video moja ikimuonyesha Naibu waziri Mkuu Mh Dotto Bitteko akiwa kajimilikisha Majeshi yetu na hasa Usalama wa Taifa na Kulindwa na jeshi kubwa Huku akiona sifa kama Anaigiza Muvi...
  7. W

    Nashauri BASATA ipitie pia hizi movie zinazotafsiriwa na hawa maDJ wa mitaani, nyingine zinapotoshwa kimaudhui

    Nimetoka kuangalia movie inayoitwa 'Tears of the sun' ya Bruce Willis iliyotafsiriwa na huyu DJ Mac wa Acheche Production, hakika tafsiri yake ya udini ameitia chumvi mno. Yaani kila baada ya maneno matano sita, anataja ugomvi wa kidini kitu ambacho hata movie yenyewe haisemi hivyo; anaongopa...
  8. Dcxkobe

    Yamenikuta Kama ya kwenye movie

    Mwaka 2019 nilikua na msichana mpenzi wangu mwaka huo huo nkaondoka kwenda kuitafuta maisha nkamwambia acha nikasake noti nikizipata nitakuja nikuoe mwaka huu mwezi uliopita ndio nimerudi nimemkuta ameshaolewa na ana watoto wa 2 dah yamenikuta ya kwenye dhadkan ya sunnly shety
  9. Willy T

    Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

    Wapendwa kimtazamo ni movie gani ambayo ilikuvutia sana au ilikukugusa kwa namna moja hadi nyingine Mfano. Kuna bongo movie moja inaitwa vivia ukiangalia unaweza kulia Pia kuna Captain Philips bonge la movie Death race Kuna moja mauwaji ya #Rebel
  10. Mad Max

    Hii movie: The Channel, 2023

    Kuna hii movie ya 2023, inaitwa The Channel. Ni simple tu, kwamba mshikaji (ex marine) anaenda na wenzie kama wanne hivi (nao ni ex marine) akiwemo kaka yake mmoja kupora bank. Mission ilikua simple, in and out ndani ya dakika chache. Ila kuna mtu aliwauza, wanatoka wanakuta polisi...
  11. Dcxkobe

    Mnaikubuka hii movie?

    Mnaikubuka hii movie ya Ajay davigan inaitwa Vijay path aise Kuna song umo demu alikua anawaza baada ya mshikaji kumualika kunywa chai aise vya kale zahabu zile alaaa zinavyopigwa Yan madogo wa ckuiz wanazngua. Ule uhalisia wa bollywood hakuna Tena nachi inaimbwa Kama amapiano
  12. hermanthegreat

    Mara yako ya mwisho kuangalia movie za kihindi ilikuwa lini?

    Me mara yangu ya mwisho kuangalia movie za kihindi ni mwaka 2017 ilikuwa movie moja hivi inaitwa 'Shanklaj' Kwenye hii movie bana starling alipiga teke tembo, hadi tembo ikapaa, nikasema sitokaa tena niangalie Hindi movies. wewe kwa upande wako ilikuwa lini? au bado unatazama.
  13. Analogia Malenga

    Let it shine: Movie ninayoweza kuitazama hata mara kumi

    FILAMU NILIYOITAZAMA ZAIDI YA MARA KUMI. LET IT SHINE (2012) Tyler James Williams, mtoto wa mchungaji, ndiye mhusika mkuu kwenye simulizi hii akiwa sambamba na Coco Jones. Nilianza kumfahamu Tyler kwenye EVERYBODY HATES CHRISS na kufurahia uhusika wake. Uchambuzi huu unamwangazia zaidi yeye...
  14. Marashaaa95

    Natafuta audio/soundtrack ya kwenye movie ya my darling

    WAKUU Nilikua natafuta SOUNDTRACK ya movie ya MY DARLING ya Mussa Banzi ndani ya ile movie kaimba yule KIPOFU aliitwa TAFU Eeebwana eeeh lile Beat sijui alinyonga P FUNK MAJANI Maana ni balaa nikikumbuka. Beat kali,Ujumbe mkali na muimbaji aliimba kwa hisia sana . YouTube hii movie haipo ,nahisi...
  15. Majighu2015

    Movie ya EONII hakuna kitu

    Nimeingalia movie ya EONII lakini haijanifurahisha kabisaaa. Advertisement waliyofanya AZAM ni kubwa sana lakini movie sifuri. Teknolojia iliyotumika ni kubwa kuliko movie yenyewe. Characters waliocheza movie wamemezeshwa maneno ya kuongea hata mzuka haupo. Angalau Azam wangetafuta professional...
  16. F

    African movie

    Black emanuelle
  17. Urban Edmund

    Tuliowahi, tunaoendelea na tunaotamani kuifatilia movie ya THE WALKING DEAD tukutane hapa

    Katika kujaribujaribu kuangalia Movie ili kupata burudani, elimu au kupitisha wakati nimekuwa nikiziangalia movie tofautitofauti lakini nilikuja kukutana na hii The Walking Dead Nimeipenda na nimejikuta natamani kujua kinachoendelea kila wakati maana ipo kiEpisodes na Seasons sasa mependa...
  18. Expensive life

    Hivi kuna movie yeyote tamu na kali inayoizidi Apocalypto?

    Ndugu zangu nimetizama movie nyingi sana kali, ila hii Apocalypto 2006 ni bonge la movie.
  19. Intelligent businessman

    Ufahamu uhalisia wa behind the scenes, ya movie mbalimbali

    Najua kila mmoja ana hobby azipendazo, I we kuangalia mpira, kusikiliza Nyimbo, kuSoma vitabu na hata kupika. 👉Ila Mimi ni mmoja ya watu ambao mapenzi yangu makubwa yapo katika movie na series. Nimekuwa nikipenda uigizaji, uandishi na utayarishaji was movie na tamthilia mbali mbali, hivyo leo...
Back
Top Bottom