Salahan
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,942
- 3,609
Habari Wakuu!
Je wewe ni mdau wa movie na series?
Zilizotafsiriwa ama Zisizotafsiriwa
Basi Tupo Kukuhudumia
Huduma tunatoa online na ofisini kwa bei poa
ZILIZOTAFSIRIWA
Movie moja Tsh.500/=
Kuuploadiwa (special request) Movie moja Tsh.1000/=
Sizoni Kila Episode Tsh.100/= Zikiwa zaidi ya 50 utapewa yote (mpaka ilipoishia) kwa Tsh.5000/=
ZISIZOTAFSIRIWA
Movie moja Tsh.500/=
Kuuploadiwa (special request) Movie moja Tsh.1000/=
Series Kila season moja Tsh.1000/= Zikiwa zaidi ya 5 utapewa yote (mpaka ilipoishia) kwa Tsh.5000/=
Tofauti na kununua kwa mojamoja pia unaweza kujiunga kwa kulipia mwezi au miezi ukabaki kujipakulia tu uwezavyo.
Zilizotafsiriwa 10000 kwa mwezi
Zisizotafsiriwa 5000 kwa mwezi
Kwa kujiunga kwako utaweza kupata mpya HD kila zitokapo mtandaoni kila siku.Miendelezo ya madj mbalimbali kila wiki.
Unaweza kujione baadhi ya tulizonazo kupitia website yetu tzflix dot com
Movie na Sizoni zetu zipo hifadhi ya google drive zikiwa na ujazo wa zaidi ya 30TB
WhatsApp +255759727895
Mtandaoni unahudumiwa popote ulipo
Ofisini
Morogoro Mjini
Mtaa wa Konga
Jirani na Aika lodge