mkakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Godbless Lema asimulia alivyopanga mkakati kutoroka - (2)

    Jana katika simulizi ya kukimbia nchini baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2020, tuliona Mbunge wa zamani wa Arusha Godbless Lema, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na aliyekuwa Meya wa Ubungo, Jacob Boniface walivyokamatwa kwa tuhuma za kuhamasisha wananchi wafanye vurugu, kuharibu mali na kudhuru...
  2. O

    Godbless Lema asimulia alivyopanga mkakati kutoroka (1)

    Wakati maandalizi ya kumpokea mbunge wa zamani wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema anayetarajia kuwasili nchini Machi 1 mwaka huu, akitokea nchini Canada alikokimbilia baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, mwanasiasa huyo ameeleza Canada haikuwa miongoni mwa nchi alizotaka kwenda...
  3. B

    TCDC yawakaribia wadau Sekta ya Ushirika kujadili na kuweka mikakati ya kukuza Sekta hiyo

    Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) kwa kushirikiana na Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) wameandaa mkutano maalum wa wadau wa sekta ya ushirika unaotarajiwa kufanyika Februari 27, 2023, katika ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya Benki ya CRDB. Taarifa hiyo imetolewa na...
  4. Mama Amon

    CHADEMA waja na mpango mkakati ‘kupindua meza’

    Freean Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa BAADA ya zuio lisilokuwa la kikatiba wala kisheria, la mikutano ya hadhara kwa muda mrefu, sasa ni wazi kwamba, Chadema wamezindua mikutano yao ya hadhara wakiwa na lengo kubwa la kueleza wapi serikali “imekwama” kukomboa wananchi na janga la ufukara...
  5. R

    Waliopata Ubunge Bila kupingwa(kupitia uchaguzi) wachukizwa na Mkakati WA chadema kuelekea 2025

    Makada wa CCM wasio na ushawisho Kwa wananchi wameanza kuona Giza mbele ya siasa baada ya chadema kurejea Kwa kishindo. Wengi wametokea kuwa washauri WA chadema wakitaka chadema isikubali maridhiano na ccm badala yake chadema uendelee na kupambana na dola. Wanaelewa kwamba katika dola kuna...
  6. chiembe

    Chongolo, Anza mkakati wa scouting, andaa mkakati maalum wa Siri wa kutafuta vijana wenye vipaji vya Siasa,wapate mafunzo maalum ya chama

    Chama kina vijana wengi tu ila hawajapata mtu wa kuwaona, kuanzia vijijini, mijini, vyuoni, Ofisi za umma. Nashauri Chongolo awe na mkakati maalum wa kuwa na mijadala na vijana, yeye au maafisa wake, Kila Mkoa akienda atenge siku moja ya kuongea na vijana wa chama. Huko ndio ataibua vipaji...
  7. Mr Dudumizi

    Mkakati wa mama mwenye nyumba kushinda uchaguzi mkuu wa 2025 kwa 95% huu hapa umeshawiva tayari

    Habari zenu wana JF wenzangu, bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada husika ili kuwarahisishia wasomaji wasiopenda kusoma maandishi mengi. Ni hivi... baada ya mama mwenye nyumba kufanikiwa kukitia chama chake mwenyewe mfukoni, na kuwadhibiti wale wote waliokuwa na ndoto ya kutaka kupimana...
  8. sammosses

    Tatizo la maji DSM na Pwani ni mkakati wa kudhoofisha nguvu za Rais Samia, au ni tatizo la kiufundi?

    Nchi hii kuna mambo ya ajabu sana,katika moja ya kampeni za mh. Samia rais wa JMT katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo,moja ya kauli mbiu yake katika miradi ya maji ni kumtua mama ndoo kichwanai. Lakini ajabu na kweli kwenye miji iliyo pembezoni mwa vyanzo vya maji ndiyo inayo ongoza kwa...
  9. D

    Kama Wizara ya Maliasili na Serikali hawana mkakati wa kutokomeza kunguru weusi, tuwape tenda wachina

    Kama nchi ningeshauri tujifunze kushughulika na kero hata kama hazina madhara ya moja kwa moja! Huko ulaya wenzetu huwa wanafanya oparesheni ya kuondoa paka, mbwa na ndege wasio natija! Hata hapa kwetu sioni kama inashindikana kuwaondoa kitaalam hawa kunguru weusi! Historia inasemekana wazo la...
  10. P

    Royal Tour ni sumaku ya kisiasa Mkakati wa Kenya una changamoto chanya kwa Tanzania

    Video ya Rais William Ruto akiongea na wakenya waishio ughaibuni (diaspora) siku za karibuni, imejaa kila aina ya somo jema kwa uhai wa miaka mingi wa Tanzania yetu. Ruto kawa muwazi kwa wakenya kwamba anabariki jitihada zao za kutafuta maisha huko ughaibuni, kwamba wanachokipata huko...
  11. jerrytz

    Operesheni ThunderBolt: Mkakati wa Kuokoa Mateka wa Israel Entebe - Uganda

    Ni Juni 27, mwaka 1976 majira ya saa 12.30 jioni; ndege ya Airbus A300 inayomilikiwa na shirika la ndege la Ufaransa (Air France) ndege namba AF139 ilipaa kutoka uwanja ndege wa Athens. Ndege hii ilitua katika uwanja Athens ikiwa safarini kutoka Tel Aviv Israel kuelekea Paris Ufaransa. Mpaka...
  12. Fahami Matsawili

    Mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita kuifungua mikoa ya Pembezoni Kiuchumi

    Mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita kuifungua mikoa ya Pembezoni Kiuchumi. Mikoa ya pembezoni ina geography nzuri ya kibiashara, fursa nzuri ya kuvutia uwekezaji hasa hasa Kwa Viwanda vya Kilimo (agricultural industry) Kwa sababu Wananchi wa Maeneo haya wanafanya manunuzi ya bidhaa muhimu na...
  13. Mkongwe Mzoefu

    CCM Mwanza na Mkakati wa Kumpa Makonda Uenyekiti (M) ni Aibu ya Karne

    Hii ni aibu kubwa. Eti CCM mkoa Mwanza kuna mkakati unafanywa wakisaidiwa na wapambe toka HQ kuhakikisha uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa anakuwa Makonda iwe isiwe kwani eti yuko karibu na mama jambo ambalo sio kweli na mama mwenyekiti taifa hawezi kuagiza mtu kama Makonda mwenye kashfa kibao kama...
  14. S

    MWANZA: Hivi RC Adam Malima kaletwa kwa kuwa ana uwezo au mkakati tu wa kisiasa?

    Nasema hivo kwa kuwa tokea aingie kinachofaanyika ni ujuaji na kubishana tu na watendaji wenzake! Mosi! Mfano mzuri ni ujenzi wa jengo la uwanja wa ndege MWANZA maana mkuu wa mkoa amesikika akibishana na TAA ambayo imepanga kuanza ujenzi wa jengo kubwa ambayo itaaccomodate abiaria wa...
  15. MakinikiA

    Hebu tumjue vizuri Jenerali aliyetoa mapigo mkakati dhidi ya Ukraine

    Sergei Surovikin: Mfahamu jenerali mpya wa Urusi maarufu kwa ukatili wake Rais wa Urusi Vladmir Putin alimpatia kazi mmojawapo ya watu wake maarufu katika mstari wa mbele wa vita nchini Ukraine wikendi hii. Jenerali wa jeshi la nchi kavu Sergei Surovikin aliteuliwa siku ya Jumamosi kuwa...
  16. The Sheriff

    Ni Muhimu kwa Kila Kampuni na Shirika Kuwa na Mkakati wa Kustahimili Changamoto za Teknolojia ya Digitali

    Tunaishi katika ulimwengu wa kidigitali unaozidi kukua kwa kasi, lakini makampuni na mashirika mengi bado hayafahamu ni kwa kiwango gani yanategemea teknolojia ya digitali na changamoto ambazo wanaweza kukumbana nazo. Tunapoelekea katika siku zijazo ambazo tunazidi kuwa tegemezi kwa teknolojia...
  17. H

    SoC02 Mkakati wa kutoka katika kilimo cha asili kwenda kilimo Cha kisasa Cha umwagiliaji

    Kwanza natoa shukurani zangu nyingi sana kwa kupata nafursa ya kutoa mawazo yangu kuhusu kilimo Tanzania. Wakulima wamelima kwa muda mrefu sana kwa lengo la kuuza mazao yao na kupata chakula na ziada kidogo ya mazao inayopatikana huuzwa kwa kupata fedha za matumizi ya kilasiku. Uhalisia ni...
  18. Merci

    Mkakati wa kuwa na Bima ya Afya kwa wote na kuikuza NHIF

    Mheshimiwa Rais, naomba upokee maoni haya kuhusu NHIF. Ili kufikia lengo la afya kwa wote na pia kuwa na NHIF stable, ni vema kila raia wa Tanzania mwenye NIDA hadi watoto wasajiliwe na kuwa wanachama wa NHIF. Michango ya NHIF iwekwe kwenye mfumo wa TOZO kwenye bidhaa kama umeme, maji na mizigo...
  19. B

    SoC02 Mkakati wa Kukuza na Kuendeleza Sekta ya Kilimo

    Kilimo ni sayansi inayohusisha kulima mimea na mifugo. Kilimo ni moja kati ya shughuli za kwanza kabisa kufanywa na binadamu katika harakati za kujitafutia chakula. Mazao ya kilimo yanaweza kugawanywa katika makundi ya vyakula, nyuzinyuzi, mafuta na malighafi kwa ajili ya shughuli za viwanda...
Back
Top Bottom