mbao

  1. Muxt

    Biashara ya mbao

    Wakuu kwema!! Leo naomba ushauri humu jukwaani Nipo interested sana na biashara ya kuchana mbao na kuziuza. Kama Kuna mwanajamii yeyote anataarifa kuhusu hii biashara naomba asheee hapa Vitu muhimu navyotaka kujua 1. Bei ya chainsaw 2. Bei za miti 3. Bei za wachananji/fundi 4.Bei za mbao...
  2. The Puncher

    Shamba ekari 60 linauzwa Mufindi, linafaa kwa Parachichi au Miti ya mbao

    Habari wakuu, Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi. Kwa aliyekuwa anahitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha parachichi, sasa jibu limepatikana. Kuna shamba la ekari 60 Mufindi linauzwa kwa bei nzuri. Shamba halijatumika kwa miaka mingi, kwa hiyo lina rutuba na linafaa kwa kilimo cha parachichi na...
  3. N

    Mashamba ya miti ya mbao yanauzwa

    Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana. Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa. La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10. La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa...
  4. N

    Wawekezaji karibuni shamba la miti ya mbao liko sokoni

    Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10. La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa...
  5. Edward Mwesongo

    Miche ya matunda, viungo, mbao na mingine mingi inapatikana

    Wapendwa wanna JF popote mlipo Tanzania karibuni mjipatie miche mbali mbali kutoka mkoani Morogoro na tuna kusafilishia popote ulipo Tanzania miche ipo ya kila aina na iko ya muda mfupi na ya muda mrefu pia Miembe aina zote. Parachichi aina zote za biashara na nyumbani. Mipera iko...
  6. MIXOLOGIST

    Dawa ya wadudu wanaokula mbao ni ipi?

    Habari wana JF Nimetoka kumtembelea ndugu yangu kwa bahati mbaya dari lake lina shambuliwa na mdudu ambaye anapiga kelele kama msumeno. Nilishtuka kidogo na huyo mdudu naambiwa anachoronga mbao within short time unakuta unga unga hivi. Je dawa ya huyo mdudu ni ipi, tafadhali hili ni jambo la...
  7. abdulqadirj

    Msaada kutengeneza picha mbao.

    Wakuu habari.... nimekuja kwenu kuomba msaada kwa mwenye ufahamu na ujuzi wa kutengeneza picha mbao anipe tips, potential info na utaalam juu ya hii issue
  8. MEGATRONE

    Ushauri kuhusu mbao nzuri za kujengea makabati ya jikoni ukutani

    Habari za humu? Nilikuwa naomba kujuzwa mbao gani ni nzuri kwa kujengea makabati ya ukitani na pia Jikoni. Natanguliza Shukurani
  9. Tanki

    Msaada: Wapi nitapata zile mbao za kujengea kibanda Cha biashara ( Nipo Tabata DSM )

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nitashukuru zaidi kama nitapewa na bei zake. Natanguliza shukrani. Ubarikiwe
  10. Yesu Anakuja

    Duka gani nitapata original Tanalith C kwa ajili ya mbao?

    Kwa mwenye kujua, ni duka gani naweza kupata hii dawa original? tafadhali.
  11. M

    Tunatengeneza furniture za epoxy na mbao

    Wadau habari, Karibuni kwa biashara Sisi ni mafundi wa furniture ambazo zinatumia material za epoxy/resin zikichanganyika kitaalam na mbao na kuleta mvuto . Tunapatikana maeneo ya makumbusho. Naweka mfano wa baadhi ya furniture mniunge mkono. Karibuni kwa dm tupeane mawasiliano na taarifa...
  12. LA7

    Ni kitanda gani kizuri; mbao, chuma au sofa?

    Ni kitanda gani kizuri na sifa zake nikanunue Hatimaye kama nilivyonuia kwamba mwezi wa tisa hautaisha bila kuwa na kitanda ni karibia mwaka Sasa mimi na mama mtoto wangu tunatupa godoro yetu chini asanteni Wote mlionipa matumaini tokea siku ya kwanza nilipolalia mabox MUNGU ASIFIWEEEE
  13. Ester505

    Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mbao banzi

    Naomba mwenye uzoefu na hii Biashara jamani anieleze A-Z. Nataka kuianza
  14. P

    Serikali iangalie Watoza Ushuru wa Mbeya wanatunyanyasa Wafanyabiashara wa mbao

    Sisi Wafanyabiashara wa mbao tuliopo Mbalizi, Mbeya Vijijini tuna malalamika kuhusu Watoza Ushuru wanaosimama kwenye mageti. Wanatengeneza mazingira ya rushwa kwa kutaka kutupiga faini na kututaka tukate ushuru wa TP (Transportation Permit) mara mbilimbili. Utaratibu uliopo tunaopewa na Wakala...
  15. THE BIG SHOW

    Hayati Magufuli aliona bora awavalie miwani ya mbao afanye kazi, wapinzani wakamuita ni dikteta, Rais Samia piga kazi tusizidi kuchelewa

    Friends and Enemies, JPM Marehem, alikuwa ana Msemo wake pendwa ''Turichereweshwa Sana'' na hawa wanaojiita wanademokrasia na watetezi wa Haki za binadamu,nakumbuka pia katika suala la mradi wa bwawa la Nyerere alizungumza pia kuwananga wale waliokawa wanampinga katika mradi ule Kwa hoja ya...
  16. BARD AI

    Umepiga ‘Kenchi’ kweli, au Umepigwa? Hivi ndivyo Wateja wa Mbao wanavyotapeliwa Mitaani

    Natembea kuelekea Buguruni, eneo linaloitwa Binti Madenge. Mahala hapa kuna utitiri wa wafanyabiashara wanaouza mbao, huku wengine wakifanya kazi ya kuingiza mbao kwenye mapipa. Ninavutiwa na hao wanaoingiza mbao kweye mapipa marefu yenye maji maji ya rangi ya kijani. Najiuliza kwa nini...
  17. Azniv Protingas

    Wapaka mbao rangi kuhadaa wateja

    Natembea kuelekea Buguruni eneo la Binti Madenge. Hapa nakutana na wafanyabiashara wanaouza mbao na wengine wakifanya kazi ya kuingiza mbao ndani ya mapipa. Navutiwa na kazi ile, nikitaka kujua ni kwa nini wanatumbukiza mbao ndani ya yale mapipa marefu yenye maji ya rangi ya kijani. Nikasogea...
  18. Munch wa annabelletz47

    Ajiua na kumtaka bosi wake akamzike Musoma badala ya Moshi

    Kijana Kepteni Warioba (23) amejiua kwa kujikata na mashine ya kupasua mbao leo Juni 16, 2023, Moshi mkoani Kilimanjaro, huku akiacha ujumbe wa kumtaka bosi wake aende kumzika mkoani Mara na asipofanya hivyo atakuwa anamuona na kumsumbua mara kwa mara. Tukio hilo limetokea leo Juni 16, 2023...
  19. K

    Milango ya mbao na frame Mwanza

    Natafuta mafundi wazuri wa kutengeza milango ya mbao na frame zake MWANZA wanajamvi kwa yoyote anayejua wanakopatikana anielekeze. Asanteni.
  20. T

    SoC03 Teknolojia ya mbao na bidhaa zisizo na asili ya mbao kwa uchumi endelevu, ustawi jamii na mazingira bora

    Fursa za uwekezaji Teknolojia ya mbao na bidhaa zisizo za mbao zinatupa fursa nyingi za uwekezaji kama Taifa. Mianzi nchini kwetu ni kitu cha kawaida lakini ni malighafi inayotumika kuongeza minyororo wa thamani wa bidhaa za mbao na kukuza uchumi kwenye mataifa yaliyoendelea kama china...
Back
Top Bottom