mbao

  1. Guru Master

    INAUZWA Milango ya Mbao na Frame kwa Mbao za Mninga, Mkongo, Mbanda Kwa bei rahisi sana

    Tunachukua order za kutengeneza Milango ya Mbao,Imara na Misafi toka Urambo Tabora. Mbao Maarufu za Mninga ,Mkongo na Mbanda. Inapatikana. Kwa order kuanzia milango 5 na kuEndelea. Karibuni Kwa order na mawasiliano zaidi. Huo ambao haujawa polished Tsh. 300,000. Pure Mninga. Ule wenye vibox...
  2. Sky Eclat

    Nyumba ya mbao na saruji inapendeza

    Ukifanikiwa kujenga nyumba hii hakikisha au muombe Mungu usiwe na marafiki wanaonunua petrol mkigombana.
  3. wajingawatu

    Idadi ya ya mabati na mbao

    Ninaomba wenye utaalamu wa kukadiria vifaa/gharama za ujenzi anisaidie kupata idadi ya bati kwa hali yenye ukubwa wa 15.3 x 13.5. Paa nne
  4. Guru Master

    Natafuta tender za kutengeneza Milango ya Mbao za Mkongo

    Nimekuwa nikifanya biashara ya kutengeneza Milango ya mbao za Mkongo toka Mkoani Tabora. Kama unahitaji wewe Binafsi au unaweza niunganisha na Makampuni ya Ujenzi naomba tuwasiliane tuongee biashara. Mbao ni za Mkongo. Haziliwi na wadudu na Haziozi nadhani kwa wajuzi wa mbao wanazifahamu hbr...
  5. M

    Karibu tuvune magogo na mbao ya Mninga na Mkulungu

    Nina shamba ekari 50 lina miti ya Asili mingi ikiwemo mninga na mkulungu, yeyote aliyetayari aje inbox tuzungumze tushirikiane. Serikali imeanza kutoa vibali vya uvunaji. Karibun sana
  6. Sky Eclat

    Wakoloni walibeba magogo na mbao zetu

    Mbao ngumu kutoka Afrika
  7. Sky Eclat

    Mti wa Mvule au "Milicia exelecia" ni mti wa mbao

    Jina lingine ni iroko. Ni mti wenye mbao imara ambazo pia hard wood. Unapatikana Afrika kwenye misitu ya mwambao wa bahari kutoka Benin mpaka Angola, Msumbiji Lamu Madagascar. Inasadikika miti hii inafuga mashetani, kule Benini sadaka hutolewa chini ya mti huu hasa kwa wenye matatizo ya...
  8. A

    INAUZWA We sell Plastic timber and poles

    We are ecoacts, we produce plastic timber and poles, our timber are not rotten, terminate resistant, not get fungus, environmental friendly, durable and strong, also our plastic timber are suitable for furniture making, fencing making , gardens making, and decking, For more info contact us...
  9. R

    NAOMBA USHAURI: Hizi mbao zilizoko sokoni hapa Dar ni zipi zafaa kwa kupaulia nyumba ya kuishi? naziona kama nyepesi sana

    Habari za hapa kwa wataalam. Ninampango wa kuezeka nyumba ya kuishi wiki ijayo. Mimi sina uzoefu sana ktk mambo ya building industry hasa roofing. nimepita hapa na pale kupelelez mbao zinazouzwa maeneo mbali mbali hapa Dar nimekutana na aina mbali mbali. 1. pine (misonobali) 2. Cyprus 3. padoo...
  10. L

    INAUZWA Mbao zinauzwa kwa bei nafuu

    Mbao kutoka shambani, zinepandwa 1.1.2000 zinauzwa kuanzia shs 70,000 ziko mbao 103 size mbalimbali 9x2, na 7x2 . 0765004347 au 0622303759 Zinapatikana Mvule 103
  11. yongpal

    Gharama za kununua mashamba ya miti ya mbao

    Habari za mchana ndugu wana JF Nilikuwa napenda kuuliza kuhusiana na gharama za mashamba ya miti ya mbao kwa mikoa ya Iringa na Njomba hekari moja yenye miti yenye umri wa miaka mitatu mpaka minne kwa hivi sasa inaweza ikawa imefikia shilingi ngapi?
  12. IrDA

    Teknolojia ya kuprint picha na kubandika kwenye photo frame za mbao

    Habari wakuu, Nimekuwa interested na kujifunza teknolojia ya kuprint picha na kuziweka kwenye photo frame za mbao kama inavyoonekana hapo pichani. Nimejaribu kuomba kufundishwa na watu mbalimbali wanaofanya biashara hii mitandaoni bila mafanikio. Naomba msaada wa maelekezo, kama kuna online...
  13. N

    Natafuta mashine ya kupasua mbao

    Wakuu, naomba kuelekezwa pahala ambapo naweza kununua mashine ya kupasua mbao. Hii iwe ni ya kuhamisha na kwa vyovyote vile isiwe inatumia umeme. Isiwe chainsaw maana inaharibu mbao.
  14. C

    Je, ni Mbao gani nzuri kwa ajili ya kuchongesha kitanda?

    Wakuu kwa wale wataalamu wa furniture, hivi ni mbao gani nzuri kwa ajili ya kuchongesha kitanda. Maana kuna kitanda fulani nilinunua, sasa kile kitanda kishaanza kuliwa na wadudu. Yaani kishaanza kumwaga unga unga fulani hivi. Sasa, kwa mwenye experience na hivi vitu labda anaweza kushare...
  15. Kanungila Karim

    Kitambulisho cha Mbao za mawe kimeokotwa

    Kitambulisho hicho
  16. E

    Jinsi ya kujua idadi ya mbao zinazohitajika kwaajili ya kuezeka nyumba

    Hi guys, Hello everyone, I'm Ellyskywilly. As I told you previously that I'll be designing different kinds of houses and I'll be posting each thing which'na be doing. So for that case, I'm still continuing with my project of house design. And today I've come with the project which I've...
  17. M

    Nauza mashine ya kuranda na kuchana mbao ipo Magomeni Mwembechai lida brand kutoka China, inch 12

    Hallow wana jamvi nimewaletea mashine nyingine ya kuranda na kuchana mbao yenye uwezo mkubwa baada ya ile nyingine kununuliwa bei ni sh. 2,800,000 karibu tuwasiliane bei ni rahisi sana tofauti na ukiagiza nje, pia haina shida yoyote kama unavyoiona kwenye picha ipo kazini. inauzwa kwa kuwa haina...
  18. jitombashisho

    Njombe: Viongozi wa CHADEMA pamoja na dalali wa mbao wakamatwa kwa kuhusishwa na mauaji ya Kada wa CCM Emmanuel Mlelwa

    Ni mauaji ya yule kijana wa CCM kule Njombe. Wagombea udiwani wawili na Katibu mwenezi wa kata wote wa CHADEMA na dalali wa mbao wamekamatwa kwa kuhusishwa na mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu na kada wa CCM yaliyotokea huko Njombe. Pamoja na wao pia gari la mtuhumiwa mmojawapo limekamatwa na...
  19. A

    Tunatoa huduma ya kuzalisha ya miche ya miti ya mbao na kupanda mashambani

    PANDA MITI YA MBAO NA NGUZO UNUFAIKE BAADAE. Kilimo cha miti kimepata umaarufu wa ghafla miaka ya hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ongezeko la mahitaji ya mazao ya miti na Katika Tanzania mikoa ya Njombe ni moja ya mikoa maarufu inayoongoza kwa misitu mikubwa ya kupandwa...
  20. albab

    Msaada majiko yanayotumia pumba za mpunga au maranda ya mbao

    Waungwa nawasalimu. Ningependa kuulizia haya majiko yanayotumia pumba za mpunga/maranda ya mbao ambayo hutumiwa sana na wachoma chips hasa maeneo ya DAR... Niliyaona mwaka 2017 Ila kwa bahati mbaya huku mkoani nilipo sijayaona kabisa na gharama za mkaa ni kubwa kidogo.. Ningependa kujuzwa ...
Back
Top Bottom