Miche ya matunda, viungo, mbao na mingine mingi inapatikana

Mar 21, 2024
9
4
Wapendwa wanna JF popote mlipo Tanzania karibuni mjipatie miche mbali mbali kutoka mkoani Morogoro na tuna kusafilishia popote ulipo Tanzania miche ipo ya kila aina na iko ya muda mfupi na ya muda mrefu pia
  • Miembe aina zote.
  • Parachichi aina zote za biashara na nyumbani.
  • Mipera iko yakutosha.
  • Passion kubwa na ndogo.
  • Minazi ya kisasa na ya kienyeji.
  • Maua ya ana tofauti tofauti.
  • Miti ya mbao.
Na miche mingine aina tofauti tofauti bei yetu ni ya chini kabisa karibuni tunasafirisha Tanzania nzima kutokea Morogoro wasiliana nami mmoja wapo wa wenye bustani kupitia simu namba 0676373833.
 
Je, miche ya blood oranges inapatikana?
Screenshot_20240323-112723_Google.jpg
 
Back
Top Bottom