Ushauri kuhusu mbao nzuri za kujengea makabati ya jikoni ukutani

MEGATRONE

JF-Expert Member
Feb 22, 2014
966
1,809
Habari za humu?
Nilikuwa naomba kujuzwa mbao gani ni nzuri kwa kujengea makabati ya ukitani na pia Jikoni.
Natanguliza Shukurani
 
Mbao zinazodumu zaidi ni mbao ngumu ingawa hizi mbao za siku hizi zinapendeza sana kwa muonekano. Binafsi niliweka mbao ngumu ila kwa kuwa napenda kwenda na wakati, nilibadilisha na kuweka mbao za MDF na kampuni moja ya wakenya. Jiko limenoga utadhani nyumba za Hollywood
 
Naomba kama hutojali unipe gharama ya kuweka makabati matatu ya milango miwili na gharama ya jikoni ! Na waliokuwekea ni hao wakenya wenyewe??
 
Mpaka waje kupima na kuona unataka kufanya nini. Mimi sio mtaalam wa hayo mambo ya ukadiriaji ujenzi
 
Back
Top Bottom