masikini

Elisabeth Finant (9 November 1954 – 28 September 1994), known professionally as Abeti Masikini, was a singer from the Belgian Congo who was active in France from 1971 until her death in 1994 at the age of 39. Her music pulled from a variety of genres, including soukous, Congolese rumba, folk music, and the blues. She recorded 21 albums during her career for a variety of record labels including RCA Records and Polygram Records among others.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwizukulu mgikuru

    Masikini sio mtu wa kumuonea huruma leo ndio nimejifunza zaidi

    Kuna mdau humu aliwahi kuliongelea hili na leo ndio nimepata funzo zaidi. Masikini ukiishi kwa unyenyekevu bila kumuonesha dharau ya aina yoyote kwa akili zake atamuhisi umemuogopa, masikini wengi wenye umasikini uliopitiliza (absolutely poverty) pia huwa na sifa ya kuwa wapumbavu, na ndio hawa...
  2. Mhafidhina07

    Abadani afrika itaendelea kuwa mtumwa na masikini mpaka kiama

    Kwenu wana jamvi leo nimekalia jamvi siti ya mbele kuongelea msiba mkubwa wa nchi za kiafrika kurudi nyuma karne moja iliyokwishapita,si aghalabu ila naona imekifu sasa licha kuanza kwa harakati za kujikumboa kwa mtu mweusi kipindi cha utumwa ambapo ilitumika nguvu nyingi kupinga biashara ya...
  3. matunduizi

    Mkristo kuwa Masikini ni matokeo ya Shambulizi la Kiroho

    Mungu alimuumba mwanadamu tajiri na mwenye vingi. Adamu alikuwa ni mtu aliyepungukiwa kitu kimoja tu dunia nzima. katazo la ulaji wa mti wa mema na mabaya. Baada ya shambulizi la kiroho ndio manadamu akaanza kuwa na mapungufu na masikini wa vitu. Kwa mkristo kuishiwa, kupungukiwa isichukuliwe...
  4. Morning_star

    Hivi mwisho wa siku masikini wataishi wapi?

    Eneo lolote likianza kuwa na maendeleo masikini hatakiwi kuonekana! Sheria hutungwa na vigezo huwekwa kumlazimisha masikini akimbie! Mfano jinsi miji inavyokuwa kuna nyumba zinawekewa sheria ya kwamba ukitaka kuikarabati lazima uombe kibali na watakuambia mtaa huu kama unatakakujenga, jenga...
  5. B

    Masikini Djuma Shabani

    Anaonekana amekonda full stress full mawazo. On top of that he look so defeated. Yanga na Simba sio timu za kuziletea jeuri hata kidogo. Mashabiki wa mpira wa.miguu ni kama malaya. Malaya wanakupenda tu ukiwa unawapa kile wanacho kihitaji kutoka kwako. Uki stop tu kuwapa na wao wana stop...
  6. Kijakazi

    Christian Countries hakuna masikini, kwanini?

    Kuna anayejua sababu kwa nini hakuna nchi ambayo ilikuwa na dola ya kikristu kwa maana ilifwata ukristu ambayo ni masikini? Kuna nchi nyingi zilizofwata Hinduims lkn masikini, zilizofwata Budhism zipo masikini na zilizofwata Uislamu pia nyingi zipo masikini na hata kwetu afrika ambako hatukuwa...
  7. matunduizi

    Mkristo anayekiri kuishiwa na kujiona masikini anaikosea heshima hii aya

    Ukristo no taasisi ya imani sio ya kisayansi. Mambo ya kisayansi yanahitaji ushahidi wa kugusika. Ila mambo ya imani yanahitaji uamini kauli za Mungu bila kujali uhalisia. Sasa hii kauli ya Maandiko ukiishika na kuiamini itakupa ujasiri wa kuoata chochote popote wakati wowote. Itakupa nguvu ya...
  8. matunduizi

    Jambo la kwanza unalopaswa kujua unapomkubali Mungu: Mungu ni tajiri na shetani ni masikini

    Mungu alipumba binadamu wa kwanza alikuwa tajiri sana. Walipewa dunia nzima kama shamba. Na alimuwekea hazina ya dhahabu safi bustanini eden ya thamani ya matrillion mara trillion. Adam na eva walikuwa matrillionea. Umasikini uliingia kwa sababu ya dhambi. Hapakuwa na binadamu masikini kabla...
  9. Kiplayer

    Masikini kuwaza kujenga nyumba ya kuishi ni umasikini pia

    Mtu unajibana wee Ili ujenge nyumba ya kuishi, ukimaliza unaanza kuishi kwenye hiyo nyumba kwa tabu nyingi. Ingekuwa na maana kama kungekuwa na maisha bila kifo, umasikini uliouchochea kwa kujenga ungepambana nao kwa kuwa muda upo tu. Kama we masikini pambana uweze kipato cha uhakika ambacho...
  10. matunduizi

    Migogoro mingi ya kijamii na kitaifa ni matokeo ya migogoro ya familia (mke na mume)

    Niliwahi kukaa katika taasisi moja. Kulikuwa na mazali kila siku. Chuki kutuhumiana, kuviziana na kila namna ya fyokofyoko kati ya wahusika. Nilipozama kutafiti nikagundua chazo ni nyumbani hawa jamaa wanapotokea. Hawana amani, familia zimejaa magomvi, kufumaniana, mivurugano na taabu za kila...
  11. mdukuzi

    Kama unasafiri Kilometa zaidi ya 800 kwa basi wewe ni masikini tafuta hela

    Ni mfano wa route za Dar kwenda mikoa ifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Ruvuma Kama huwa unatumia usafiri wa basi kwa mikoa tajwa badi ujue wewe bado unajitafuta, endelea kujitafuta. Binadamu hatakiwi kusafiri zaidi ya Km 500 kwa basi, ndio maana Simba na Yanga wakienda...
  12. Kiplayer

    Kiafya masikini wana muda wa kupumzisha akili kuliko matajiri!

    Tajiri sehemu kubwa ya maisha yake anawaza kutafuta na kulinda alichonacho. Masikini hana cha kulinda anawaza kutafuta chakula na kulala. Ukiachana na nature masikini yu salama sana wakati tajiri usalama wake umejaa mashaka, ndio maana ulinzi ni wa kutosha.
  13. Morning_star

    Utajiri wako na hali nzuri ya maisha unayojisifu nayo si lolote kama jamii inayokuhusu ni masikini na fukara

    Fikiria huko sehemu na jamaa zako mkila bata alafu jamaa fulani amnong'oneze mwenzake "unamuona huyo jamaa! kwao ni masikini wa kutupwa". Au umekaa sehemu za ushuani kama "masaki" ukiwa na marafiki na wewe unaishi mbagara japo umejenga mjengo wa maana mbagara (ghorofa) alafu wakati...
  14. M

    Ukweli usiowekwa wazi: Hayati Nyerere aliacha taifa letu likiwa masikini sana kiuchumi pamoja na kutoa msaada kwa nchi za jirani

    Alisaidia na kukomaa mataifa ya jirani yapate uhuru akasahau kabisa kuendeleza taifa letu. Kauli mbiu ya kuwa sisi kuwa huru huku majirani zetu hawako huru sio vyema ilifanya akasau kuendeleza taifa letu. Aliacha miundo mbinu iko hovyo, shule chache, hospitali chache na kila kitu kikiwa hovyo.
  15. matunduizi

    Sababu 4 kwa nini ni vigumu masikini kuuona ufalme wa Mungu?

    1: Mungu sio masikini. Siku anaumba mtu alimpa vitu vingi akamzuia kimoja. Hii inamaanisha mtu akiwa na katika uwepo wa Mungu atakuwa na vingi na kupungukiwa vichache. 2: Umasikini ni fikra. Mkristo anayejitambua fikra zake ni zakitajiri hata kama hana 100. Maana kuwa mkristo ni unarithi vitu...
  16. matunduizi

    Kama haufanyi hivi Biblia bado haikusaidii kiroho kushinda wachawi na majini.

    Kuna makosa mengi watu wanafanya. 1: Kutumia kitabu cha biblia kama ulinzi dhidi ya wachawi au majini ni kuifanya kama irizi. 2: Kukariri mafungu alafu uyatumie kutetea dini, kubishania au kuonyeshq umwamba wako wa kukariri haisaidii. UFANYE NINI SASA Soma biblia, weka kwenye kumbukumbu...
  17. Kichwamoto

    Mwanaume anayepinga kuoa na ndoa halafu yupo magetoni anahangaika na masufuria kupika, ni masikini wa akili

    Ukweli usemwe, mwanaume yeyote ambae yupo maghettoni na anahangaika na Masufuria kupika ni mjinga wa kutupwa. Akili ni nywele ndio nao hao wakataa ndoa wanaopika na kuhangaikia na Masufuria huko maghetoni ni masikini wa akili. You hate toilets yet you're the most frequent toilet user, that's...
  18. Mr Dudumizi

    Picha: Hii ndo inaitwa unalala tajiri, unaamka masikini

    Mzee wa watu alivyokuwa anakula bata, wala hakujua kama kesho mambo yanaweza kuwa vinginevyo. Kwa wasiomfahamu huyu anaitwa ndugu Ali Bongo, aliewahi kuwa raisi wa Gabon kabla ya kupinduliwa na jeshi lililoongozwa na binamu yake jana. Hapa kuna cha kujifunza ndugu zangu.
  19. Kijakazi

    Jeshi la wenzetu, full upendo kwa Wananchi wanaowalinda!

    Wananchi wa Gabon wakiwakumbtia na kuwafurahia Wanajeshi, unafikiri raia wanaweza wafurahia wanaojiita Wanajeshi hapa kwetu hivyo? Hata kama tutajaribu kutetea lkn deep down nafsi zinatusuta kwamba hilo haliwezekani, upendo wa hivyo kwa wananchi wa Tanzania haupo na wana sababu kwa nini ni...
  20. matunduizi

    Tusijisahaulishe, masikini ni matokeo ya dhambi. Kabla ya hapo Mungu alipanga tuishi kifalme

    Hii ni kweli. Mungu ni Tajiri mkubwa anayemiliki vyote. Na sisi ni watoto wake, na sifa ya mtoto ni kurithi vya baba. Hivyo kila anachomiliki Mungu ni cha kwetu. Kabla ya udanganyifu wa Adam na Eva kula tunda tulikusudiwa binadamu wote kuwa matajiri sana na kuishi kifalme. Tukio la kuacha...
Back
Top Bottom