kiafya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Chalamila: Dkt. Janabi alisema sukari ni hatari kwa afya, tumieni fursa ya upungufu huu kuachana nayo msipate magonjwa mbeleni

    Chalamila asema ukimsikiliza Dr. Janabi anasema ulaji wa sukari nyingi unasababisha maradhi mengi, kwahiyo wakati huu ambako sukari imeadimika tuachane nayo kabisa ili usiweze kupata matatizo ya afya hapo baadaye. Kwahiyo serikali imeshindwa kabisa kutatua changamoto hii ya upatikaji wa...
  2. Roving Journalist

    Dar es Salaam: Mfumo wa uzoaji taka mitaani unaweza kusababisha athari za kiafya kwa Wananchi

    Wakati Mikoa kadhaa ikiripotiwa kuwa na mlipuko wa Kipindupindu na Magonjwa ya Tumbo ikiwemo Mwanza, Shinyanga na Simiyu, upande wa Mitaa mbalimbali ya Jijini Dar es Salaam ina changamoto ya kukosekana mfumo mzuri wa utunzaji na uzoaji kutoka kwenye makazi ya Watu na sehemu za biashara. Baadhi...
  3. matunduizi

    Wanaofanya mazoezi ya mbio (jogging) hayana faida kiafya, ni matokeo ya matangazo ya biashara ya Nike

    Siku hizi limeibuka vuguvugu la watu kukimbiakimbia mbio mabarabarani. Unaweza kukuta mmoja mmoja au kikundi. Miaka ya zamani hii kitu ilikuwa haipo maana maisha ya mtanzania wa kawaida ni jogging na nyongeza. Leo katika pitapita zangu online nimekutana na mzungu anaponda hiyo kitu. Anasema ni...
  4. Tlaatlaah

    Kiafya, nguo ya ndani inataka kuvaliwa siku ngapi?

    Kwema Ndugu zangu, Naomba kufahamu jambo hili muhimu tunalo linalofanya sote kila siku na linalofahamika pakubwa na Jamii duniani pote. Kiafya, nguo za ndani za kike na kiume, mathalani chupi, boxer, sidiria, singland socks na kadhalika zivaliwe siku ngapi kisha ubadili au kuzifanyia usafi ili...
  5. OCC Doctors

    Rangi ya Choo kubwa na utambuzi wake kiafya

    Kinyesi cha kawaida huwa na rangi ya hudhurungi (brownish) kutokana na kuwepo kwa kemikali ya 'stercobilinogen' kwenye utumbo. Kinyesi cha watoto wachanga huonekana kahawia-njano au kijani-njano. Kinyesi Kisicho na rangi (Pale coloured stool) ni kwa sababu ya kukosekana kwa 'stercobilinogen'...
  6. Kiplayer

    Kiafya masikini wana muda wa kupumzisha akili kuliko matajiri!

    Tajiri sehemu kubwa ya maisha yake anawaza kutafuta na kulinda alichonacho. Masikini hana cha kulinda anawaza kutafuta chakula na kulala. Ukiachana na nature masikini yu salama sana wakati tajiri usalama wake umejaa mashaka, ndio maana ulinzi ni wa kutosha.
  7. Vincenzo Jr

    Faida 6 za Kiafya za Kufanya Mapenzi Salama

    Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. 1. Hulinda mwili dhidi ya magonjwa ya moyo. 2. Huongeza ukakamavu wa mifupa. 3. Hupunguza msongo wa mawazo. 4. Hupunguza maumivu. 5. Hupunguza uwezekano wa kupata saratani ya tezi dume kwa wanaume. 6...
  8. GENTAMYCINE

    Je, na Wanajeshi Wastaafu wa nchi nyingine Barani Afrika nao wako 'Fiti' Kiafya na Kiukakamavu kama hawa wa Israel?

    Kuna wa nchi moja Barani Afrika (kwa sasa nimeisahau) nina uhakika Taifa hilo likiingia Vitani na kuita/kuwaita Wanajeshi wake Wastaafu watakaorudi wote watakuwa ni Wagonjwa wa Kisukari, Figo, Ini, TB, HIV na BP, wanywa gongo maarufu vilingeni na wapiga debe vituoni.
  9. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Uzi maalum kuwakumbuka Madaktari mbalimbali waliotusaidia tulipokuwa na changamoto za kiafya

    Ďr. Julie Makani Dr. Lisokotala Dr. Gilbert Sanga Dr. Ally Nah Dr. Angela Mwakimonga Dr. Cyprian Ellas Mayagi Dr. David Isaya Dr. Kache (Magu) Dr. Masangu (Masanza Kona)
  10. GoldDhahabu

    Mchanganyiko wa nyanya, parachichi na vitunguu maji ni sahihi kiafya?

    Nimepanga niwe ninaula huo mchanganyiko mara tatu kwa wiki. Ni kachumbari ya nyanya, parachichi na vitunguu maji. Japo naweza kuitumia bila ya kuiwekea chumvi, ikiwekwa alau kidogo ladha yake inakuwa nzuri sana. Hata hivyo, kwa kuwa lengo langu kuu si shibe wala ladha bali afya, nimekuwa...
  11. Lady Whistledown

    Uganda: Barabara kufungwa kupisha Sherehe za Siku ya kuzaliwa Rais Museveni

    Askari wa Usalama Barabarani wametangaza kufunga barabara jijini Kampala kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha Miaka 79 ya kuzaliwa kwa Rais Yoweri Museveni, Septemba 8, 2023, zitakazofanyika katika Uwanja wa Uhuru na kutarajiwa kuhudhuriwa na watu zaidi ya 100,000 kutoka Nchi mbalimbali Sherehe...
  12. GoldDhahabu

    Usipuuzie ulaji wa matunda. Ina faida kubwa sana kiafya

    Shukrani ziwaendee wote waliotoa mada zinazohusiana na ulaji matunda humu jukwaani. Natumaini kuna walionufaishwa na hiyo Elimu kama nami nilivyonufaika. Nilikuwa ninafahamu kuwa ni muhimu kula matunda kila siku, lakini JF kumeniongezea maarifa na kunihamsisha kuchukua hatua stahiki...
  13. BARD AI

    Kenya: Bunge laambiwa kuna Wananchi wamepata shida za Kiafya baada ya kuchukuliwa Taarifa Binafsi na Worldcoin

    Ni taarifa kutoka kwa Mbunge wa Kisumu Mashariki, Shakeel Shabbir ambaye amelieleza Bunge kuwa amepokea Malalamiko ya Wananchi 5 waliodai kupata shida za Kiafya ikiwemo maumivu ya Macho. Akijibu hoja hiyo, Waziri wa Afya, Susan Nakhumicha amekiri Kifaa hicho hakikufanyiwa majaribio ya uchunguzi...
  14. 404 Pages

    Udadisi uliomuua paka: Namna sahihi kiafya ya kuulaza mwili wako

    Habari wakuu. Nisiwapotezee muda ngoja niende moja kwa moja kwenye mada. Awali ya yote niseme tu wazi Mimi sio mtu wa Afya nikimaanisha Mimi sio daktari wala sio nesi. Namaanisha Mimi si mtu mwenye taaluma ya Afya Ila napenda masuala ya Afya. ....... Nitagusia kitu kidogo tu kinachohusu...
  15. Pfizer

    Uelewa mdogo wa jamii juu ya Uzazi wa Mpango, ni chanzo cha ndoa na mimba nyingi za utotoni

    Ukosefu wa Elimu ya Uzazi wa Mpango katika Jamii nyingi hasa Wazazi, hupelekea watoto wao kupata mimba za Utotoni ambazo nyingi husababisha ndoa za utotoni. Vijana wengi hawana Uelewa juu ya mabadiliko yao ya kimwili yanayoambatana na kuanza mahusiano ya kimapenzi kwenye Umri mdogo bila kuwa na...
  16. RAJ SIMBA

    Msaada wa tatizo la Kiafya

    Habar za mida ndugu zangu. Mimi nahitaji msaada wenu kuna tatizo linanisumbua. 1. Katikati ya kifua na tumbo panavuta Sana kwa ndani mpaka nahisi kama nimeweka mzigo mkubwa maana nahisi uzito. 2. Nahisi Ganzi kichwani, Mbavuni, tumboni na hii inapelekea mbavu na kifua kuhisi kama nimebanwa...
  17. J

    TBS yawataka wananchi kusoma taarifa zilizopo kwenye vifungashio vya bidhaa ili kuepuka madhara ya kiafya kabla ya matumizi

    SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wananchi kusoma taarifa zilizopo kwenye vifungashio vya bidhaa hususani za vyakula ili kuepuka madhara mbalimbali ya kiafya yanayoweza kujitokeza. Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 29,2023 Jijijini Dar es Salaam, Kaimu Meneja wa Ukaguzi na...
  18. BARD AI

    Celine Dion afuta matamasha yote baada ya Afya yake kuzorota

    Nyota huyo mkongwe wa muziki wa Pop na R&B kutoka Marekani, ametangaza uamuzi huo na kuwaeleza mashabiki wake kuwa hayuko imara kuendelea na ziara muda mfupi baada ya kugundulika ana tatizo kwenye Mfumo wa Neva. Dion mwenye miaka 55, ameweka wazi kuwa alibainika kuwa anasumbuliwa na tatizo la...
  19. JanguKamaJangu

    Celine Dion asitisha kufanya shoo kwa sababu za kiafya

    Picha: Celine Dion Mwanamuziki huyo amesitisha shoo zake za Mwaka 2023 na 2024 kisha kuwaambia mashabiki wake kuwa anasumbuliwa na changamoto ya kutokuwa na nguvu za kutosha za kutembelea baada ya kugunduliwa na misuli kukaza. Mwaka 2022, Celine (55) aliweka wazi kusumbuliwa na ugonjwa huo...
  20. Melki the Storyteller

    KWELI Kuketi sehemu moja kwa Muda mrefu ni hatari kiafya

    Kuna ukweli wowote kwenye hili kuwa kuketi kwa muda mrefu sehemu moja pasipo kutembea au kujishughulisha na kazi yoyote ni hatari kwa afya?
Back
Top Bottom