rodgers123
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 159
- 125
Ndugu wanajamvi.
Nimeona nilete hili kwenu natumaini wengi wenu mliowahi kwenda Hospital ya Aghakan pale mjini mme notice kuwa madaktari wengi ni wanafunzi ambao hawana uzoefu. Na wengi hurudi kwenye kusoma Notice ili kujua mgonjwa anasumbuliwa na nini..?
Nilimpeleka mtu mida ya usiku emergency kwa kweli nilipata wasiwasi maana wengi waliokuwa pale reception walionekana kutojua vitu, wengine hata kuandaa drip ilikuwa ni tatizo mpaka wapeane msaada wenyewe kwa wenyewe. Kwa kweli niliogopa sana na sikuamini hospital kubwa kama ile kuwa na mdaktari ambao hawana uzoefu tena sehemu ya emergency.