nyalandu

Lazaro Samuel Nyalandu (born 18 August 1970) is a Tanzanian politician, former member of the Chama Cha Mapinduzi and former Minister of Natural Resources and Tourism. He represented the Singida North constituency in the National Assembly since 2000. He is currently a member of CHADEMA, an opposition party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    Lazaro Nyalandu, Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa awamu ya 5 kwa vitendo

    Tungali tunaendelea na ule mwezi mtukufu wa Mungu , ambao ni mwezi huu wa 3 , fuatilia simulizi hii ya Nyalandu Pamoja na ukweli kwamba Nyalandu alirejea ccm baada ya Jiwe kuondoka , lakini bado Ukweli uko wazi kwamba ndiye Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa kishamba wa Jiwe hadharani ...
  2. NostradamusEstrademe

    Nyalandu aleta madaktari bingwa 50 kumuunga mkono Rais Samia

    Katika kuhakikisha afya za Watanzania hasa wanaosumbuliwa na maradhi mbalimbali, kundi la zaidi ya madaktari bingwa 50 kutoka Jimbo la Califonia nchini Marekani, watakuwa nchini kutoa matibabu na ushauri wa kitaalamu bure. Madaktari hao ambao wamebobea kwenye tiba za mifupa, nyonga na mishipa...
  3. MAPITO Mwanza

    Yu wapi Lazaro Nyalandu

    Wanajamvi ni muda sasa bwana huyu yupo kimya hasikiki wala haonekani. Wenye kujua habari zake watujuze Yu mzima wa afya au kuna masaibu anayapitia?
  4. S

    Lazaro Nyalandu: Watanzania sasa wameunganishwa, hapa katikati tuligawanywa

    Nyalandu anasema aliondoka CCM kwasababu kuna mambo hayakuwa sawa. Lakini sasa tunaona rais anahudhuria mpaka hafla za wapinzani. (Source:. StarTV Medani za Siasa muda huu). Wazee wa legacy mpo? Wengi wanamsema mungu wenu. * Mzee Diallo...tulikuwa na rais aliyepaswa kuwa Milembe. " Zitto...
  5. Mag3

    Video: Huyu ndiye Lazaro Samwel Nyalandu

    Naupenda Urais... Nampenda Lissu... ' Naipenda Chadema... Hapa nimefika...
  6. Idugunde

    Tujuzane kinagaunaga; Nyalandu ana ushawishi gani wa kisiasa hapa Tanzania?

    Iliitwa Bongoland sababu ili ukae Bongo lazima utumie akili. Sasa kwa akili za kawaida Nyalandu anaushawishi gani wa kisiasa mpaka kurudi kwake CCM iwe siku ya mkutano mkuu? Kwamba hii leo akisimama jukwaani kuna mtanzania atamsikiliza na kumuelewa? Kashfa kibao alipokuwa wizara ya Maliasili...
  7. BAK

    Nyalandu na uongo wake

    Kaka yangu Lazaro Nyalandu kama wajumbe walikua 30, Lissu akapata 24 ilikuaje ukamgaragaza? Hizi hesabu zako mbona hazifuati formula ya MAGAZIJUTO? Kama Lissu alipata 24 kati ya 30 it means wewe uliipata kura 6. Kwahiyo unataka kutuambia ulimgaragaza kwa kura 6? Halafu kwa maoni yangu nadhani...
  8. Erythrocyte

    Nyalandu amechanganyikiwa, Apuuzwe, hakuwahi kumshinda Tundu Lissu popote pale

    Kwanza Naomba radhi sana kuleta andiko hili hapa JF , mimi ni miongoni mwa watu waliosaidia Nyalandu kufika alipofika ndani ya Chadema (Sitafafanua ) , Nyalandu hakutakiwa kujibiwa na mimi , kwa sababu kwenye siasa za Upinzani ni mwepesi sana kwangu , mimi si Size yake hata chembe , bali...
  9. jitombashisho

    Kwanini Nyalandu alimgaragaza kwa kura za kishindo kwenye kamati Kuu ya CHADEMA aliyekuwa mshindani wake Tundu Lissu?

    Inafikirisha sana! Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu. Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni...
  10. lee Vladimir cleef

    Nyalandu ulikuja CHADEMA kwa hiari umeondoka kwa hiari. Kaa kimya kutunza heshima yako

    Nyalandu ulikuja vizuri take vizuri. Kama kuna mapungufu waambie viongozi wa CHADEMA watayafanyia kazi, lakini kuongea na redio utashusha heshima yako. Kwa kukusaidia tu. Kuna nguli walitoka CHADEMA sio wewe mpita njia usie na msimamo,mtu laini kabisa. Alitoka Zitto, huyu ni nguli wa Siasa za...
  11. Analogia Malenga

    Mnyika: Nyalandu na mwenzake ni wasaliti, wameshindwa kuvumilia baada ya mateso ya kuporwa ushindi wa ubunge mwaka 2020

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema chama hicho kilifahamu kuwa Lazaro Nyalandu na Seleman Mathew, ambao wote walikuwa wajumbe wa kamati kuu ya chama hicho, wangeondoka kutokana na mienendo yao waliyokuwa wakiionyesha kwa hivi karibuni. “Hawa ni wasaliti, wamejiongeza wameshindwa...
  12. B

    Maajabu: Furaha ya CCM ni kwa Nyalandu kuondoka CHADEMA na si kujiunga na CCM?

    Mabibi na mabwana kumekuwa na shamra shamra nyingi hasa kutokea kwa wale makada nguli wa chama mboga mboga kuwa bwana Nyalandu katoka Chadema. Ajabu ni kuwa furaha zimeelekezwa kwenye kuwa bwana huyu asiyekuwa na jina ndani ya Chadema, ametoka Chadema wala si kuwa kajiunga na CCM! Maajabu...
  13. G

    Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

    Bob Nyanga Makani ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA, ni Msukuma, Mwislamu kutoka Kutoka Shinyanga na katibu mkuu wa Kwanza wa CHADEMA. Katibu mkuu ndiye mwenye siri zote Chama, ndiyo anakaa na mafaili yote, ni mwajiri wa wafanya kazi wa makao makuu nk. Nimejifunza mambo yafuatayo. Mosi, Kama...
  14. technically

    Nyalandu asitukanwe, kazi aliyoifanya CHADEMA inatosha

    Ni mwanasiasa gani hapa nchini anaweza acha ubunge ndani ya chama tawala akaenda chama cha upinzani ndani ya utawala wa kidicteta? Ni mbunge gani wa CCM angeweza kwenda Kumjulia hali Tundu lissu Nairobi na hata Ubeligiji ndani ya utawala wa Dikteta? Ni mbunge gani wa CCM angeacha chakula na...
  15. Elius W Ndabila

    Je, hoja za Nyalandu zimejibiwa?

    JE, HOJA ZA MHE NYALANDU ZIMEJIBIWA? Na Elius Ndabila 0768239284 Leo Mhe Nyalandu aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii amerudi CCM katika Mkutano mkuu maalum uliofanyika hapa Jakaya Kikwete Convention. Mhe Nyalandu anarudi CCM baada ya kujivua uwanachama wa CCM tarehe 30/10/2017. Kama...
  16. M

    JAMANI JAMANI NYALANDU KARUDI HOME, AU ALIMKIMBIA JAMAA

    Jamani changieni tu maana yametokea mengi mi sichangii, kwani Nyalandu amefungua mpaka maandiko ya Biblia kumsindikiza yakiwa na maana kule ugenini ngoma hazichezeki.
  17. J

    Lazaro Nyalandu arudi rasmi Chama cha Mapinduzi akitokea CHADEMA

    Lazaro Nyalandu wa CHADEMA amerejea CCM kupitia mkutano mkuu wa CCM leo jijini Dodoma. Nyalandu aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema walikuwa wamechukuliwa na walilazimishwa kumwimbia bwana lakini wao pamoja na mzee Lowassa, Sumaye na Dkt. Slaa wamegoma kuimba kwani bwana yuko CCM...
  18. J

    Nyalandu arejea CCM

    Lazaro Nyalandu wa CHADEMA amerejea CCM kupitia mkutano mkuu wa CCM leo jijini Dodoma. Nyalandu aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema walikuwa wamechukuliwa na walilazimishwa kumwimbia bwana lakini wao pamoja na mzee Lowassa, Sumaye na Dkt. Slaa wamegoma kuimba kwani bwana yuko CCM...
  19. J

    Mjumbe wa kamati kuu CHADEMA, Lazaro Nyalandu awakilisha chama mazishi ya Hayati Dkt. John Magufuli wilayani Chato

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Lazaro Nyalandu yuko wilayani Chato mkoani Geita akishiriki mazishi ya kitaifa ya Hayati Dkt. John Magufuli. Nyalandu ameonekana muda mwingi akiwa na mbunge wa Ilemela Dkt. Mabula na mbunge wa Shinyanga mjini Patrobas Katambi wote wawili ni manaibu waziri...
  20. Analogia Malenga

    Mke wa Nyalandu asema mumewe hakutaka kutoroka nchini

    Mkuu wa Wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe amesema, Lazaro Nyalandu amezuiwa Namanga kwasababu hakuwa na nyaraka muhimu na atafikishwa Mahakamani endapo atashindwa kuwasilisha nyaraka hizo. Mke wa Lazaro Nyalandu, Faraja Kotta Nyalandu amesema wao wanaishi Arusha na mumewe hahitaji nyaraka ili...
Back
Top Bottom