majirani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Mpaka leo shule za Tanzania hazifundishi watoto IT, majirani wanaonesha nia wanapewa grants kujipanua na kulamba mishahara takehome milioni 20+ majuu

    Wenzetu jirani Kenya, Uganda, Rwanda wamestuka kwamba Technology is the future, hawana budget kubwa kama mbele ila si haba wanapambana wasipitwe sana, wanaandaa watoto shule za msingi kujifunza kutenegendeza programs, mifumo ya computer, robots, n.k. mtoto anajengewa msingi imara kuvijua vitu...
  2. sanalii

    Majirani wanaofungulia mziki sauti kubwa wana matatizo gani?

    Yani jirani inakuaje mtu uko kwako, unafungulia mziki hadi nyumba ya 5 au 6 wanasikia? Ni kuwa wanataka na wengine wasikie au wanafurahia kusikia mziki kwa sauti kubwa?
  3. Wadiz

    Mikasa ya minyanduano tunapoishi na vijiwe nongwa vya majirani

    Jamani kuna mijitu hapa Tanzania wanawake na wanaume ni mashetani hatari, kuna wasichana na wakaka , wadada , wamama, wababe kabla hawajalala husikilizia milango kupata picha maghetto yetu Yana me na ke ndani ili wasubirie chabo za kuona au kusikilizia miguno ya minyanduano. Mashetani haya...
  4. N

    Kwanini Wakongo wengi wanapendwa Tanzania na kuaminiwa zaidi ya majirani wote

    Naomba kuwasilisha juu ya namna wacongo wanavyo kula na kunywa Tanzania bila kuhofiwa wala kutiliwa mashaka yoyote. Yapo yanayosemwa kama wacongo ni ndugu zetu wa damu maana Tangu awali wameishi kwetu na kufanya shughuli zao kwa raha mstarehe. Naomba kuelimishwa kuhusu majirani wengine wakija...
  5. A

    DOKEZO Kanisa la PAG-Bethel Nyasaka (Mwanza) na kero ya kelele kwa majirani

    Kanisa la kilokole la Bethel linalopatikana katika eneo la Nyasaka-Msumbiji, kata ya Kawekamo,wilaya ya Ilemela,mkoa wa Mwanza limekithiri kwa kupiga kelele kuzidi viwango vibakubalika kisheria. Imekua ni kawaida sasa kufungulia mziki kwa sauti kubwa tangu saa mbili asubui mpk saa nne kasorobi...
  6. sky soldier

    Nje ya Arusha Mjini na Mbeya Mjini kuna miji gani mingine wazawa wa asili wameziachia sana fursa ziende kwa majirani zao?

    Arusha Mjini - wazawa asili Kuna Wameru na Waarusha, niliwahi kuishi hapo miaka mitano, cha ajabu kilichonishangaza ni kwamba Mji huu kwenye mambo ya fursa upo kwa majirani zao Wachaga wa Moshi, niliweza kufanya uchunguzi kwenye mambo kama hotel nyingi sana za Wachaga, Kampuni nyingi za utalii...
  7. Annie X6

    Majirani ni maadui sana hata kuliko alivyoelekeza Mwenyezi mungu

    Nije kwenye mada. Nemeona kabisa mubashara jirani ana wivu wa kijinga sana. Cha kushangaza nde mwenye uwezo kifedha kuliko mimi ila anaonesha tamaa za ajabu. Ana magari manne mm nina moja tu. Nina moja kwa sababu nina priority zangu. Ningekuwa na magari hata 7 ningetaka. Kwa kifupi mungu...
  8. mdukuzi

    Watu wa bara hamna ustaarabu,usiku wa manane majirani wamezunguka nyumba yangu eti wanaokota kumbikumbi

    Kweli ustaarabu ulianzia pwani, yaani usiku wa manane nimelala nasikikia, nantondo lolo mayo, nikadhani ni vibaka wa kike au wachawi kumbe wanaokota kumbikumbi kuzunguka nyumba. Ustaarabu kazi Kidogo nitoke na manati yangu. Sie wengine tuna madeni mengi sana ukikatizwa usingizi kuupata tena ni...
  9. LAZIMA NISEME

    Kenya kuondoa Visa kwa wageni inaweza kuwa na athari gani kwa usalama wa majirani zake?

    Je, Kenya imeweza kutambua kwamba suala hili linaweza kuwa na matokeo tofauti kulingana na walafi wa rasilimali za Afrika na jinsi sera hiyo inavyotekelezwa na serikali inavyoshughulikia masuala ya usalama wa mipaka? Je, Kenya imejiridhisha juu ya Kuingia kwa watu wanaotaka kufanya...
  10. BARD AI

    Umewahi kutamani Kuhama mtaa kwasababu ya mambo ya Majirani zako?

    Kwenye kuishi tunakutana na mengi sana. Unaweza kuwa na nyumba yako kali na maisha yako safi tu ila aina ya Majirani wanaokuzunguka wakafanya uone kero ya maisha na kutamani kuondoka eneo hilo ila unashindwa kwasababu ndio ushajenga hapo. Tupe experience yako eneo unapoishi au wewe naye ndio...
  11. N

    Kariakoo pako hovyo hapaeleweki kama sio soko kuu la nchi na majirani

    Nimepita leo kariakoo inasikitisha kweli hata pa kupita hamna kila sehemu chinga wamepanga vitu vyao. Hivi hata kuwapanga chinga hatuwezi. Dar ni hub zaidi ya nchi 8 zinategemea pale hivi tumeshindwa kweli kutengeneza sehemu ya kuvutia iwe soko la kuwavutia wafanya biashara wa nchi zaidi ya...
  12. K

    Majirani zetu na kufundisha kiswahili mashuleni

    Wana JF, Leo Tarehe 5/7/2023 asubuhi wakati nasikiliza BBC kupitia Radio Free Afr., nimeshangaa kusikia kwamba nchi moja wapo ya majirani zetu wameamua kufundisha lugha ya KISWAHILI katika primary schools zao. Sasa, kilichokuja kunishangaza ni kusikia mwalimu shuleni akiwafundisha watoto...
  13. G

    Sijaelewa ni kwanini madaktari wanafunzi wa Sudan wameamua kukimbilia Tanzania badala ya Kenya na Uganda majirani

    Tanzania hatuna mpaka na nchi za Sudan/ sudan kusini, sasa sielewi wetumia kigezo gani kwa hawa madaktari wanafunzi kuja kuendelea na masomo DSM kuliko Nairobi na Kampala!
  14. GoldDhahabu

    Ingelikuwaje Kama Tanganyika Ingelipata Uhuru Wake Kwa Kuchelewa Kuliko Majirani Zake, Tuseme 2005?

    Ukiacha Msumbiji ambayo ilipata uhuru wake mwaka 1975, nchi zingine zote zinazoizunguka "Tanganyika" zilipewa uhuru miaka ya 1960's. Sasa chukulia Tanganyika ingeendelea kutawaliwa na Wakoloni hadi mwaka 2005, hali ingekuwaje? Kwamba, labda Ujerumani ingeitawala tokea mwaka 1891 hadi 1975, na...
  15. B

    #COVID19 Wimbi jipya la COVID 19 limethibitishwa kwa Majirani ila siyo kwetu

    Labda itakuwa ni siri ya ile dawa iliyotufikia kutokea Madagascar: Ila si Uganda: Serikali ya Tanzania na magonjwa ya changamoto Wala Kenya: New wave of Covid-19 and influenza hit Kisumu schools Huko kote kumethibitishwa uwepo wa wimbi jipya, ila siyo kwa wale vichwa ngumu, wana maombi...
  16. LA7

    Wewe jamaa wa bucha soko la Samunge nakuonya acha kuwakwaza majirani zako kwa makelele ya radio

    Huyu jamaa Tania yake ni kufungulia habari za manabii tena kwa sauti kubwa baada ya kuwatazama wale wa mama pale mbele ya bucha yake niliwaona kabisa wakionyesha kukerwa na hayo makelele ya radio yako ya battery 4. Mimi si mfanyabiashara wa hilo eneo lakini Nina kuomba tu acha maana soon...
  17. Newbies

    Avunja ndoa ya miaka 20 kwa tabia ya mkewe kupakulia majirani chakula

    Image: MARGARET WANJIRU Mwanamume mmoja nchini Zambia amewaacha watu kwa mshangao kubwa baada ya kumpa mkewe talaka kwa sababu ya kuwa na mazoea ya kuwapakulia majirani chakula. George Phiri mwenye umri wa miaka 49 aliamua kumuacha mkewe Tanta Zulu mwenye umri wa miaka 34 ambaye walidumu...
  18. Four-Star General

    Nimepita Msoga, majirani wengi wa "Mstaafu" wanaishi kwenye nyumba za tope

    Nyumbani kwake pana magorofa na majengo yamepangiliwa vizuri ila majirani zake wana nyumba za tope na nyasi. Hii kitaalam imekaaje? Au ndio kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria?
  19. kwisha

    Wakristo tumefundishwa hivi kuhusiana na upendo

    Wakristo sisi tumefundishwa hivi; Mathayo 5:43-44. Mmesikia kwamba imenenwa, umpende jirani yako, na umchukie adui yako; 44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi. Ila sijui wenzetu wa upande wa pili wamefundishwa nini kuhusiana na upendo?!
  20. Nyendo

    Ukisikia taarifa za tabia za mwanao kutoka kwa watoto wenzake au majirani zako usipuuze wala usiziamini papo hapo

    Katika malezi ya watoto si kila wakati wote awe mkubwa au mdogo kuna wakati watoto wanafanya mambo wakiwa mbali na wazazi wao na huficha yasijulikane nyumbani. Ukisikia lawama juu ya mtoto wako au kuwa anatabia ya aina fulani ambayo wewe huijui usikimbilie kumuadhibu/ kumuonya au kumtetea...
Back
Top Bottom