6 Septemba 2023 hali ni Tete Wilaya ya Kyela

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,098
9,994
Ikiwa ni siku 3 kupita tangu waziri mwenye dhamana kuwahadaa wananchi kuwa Tanzania kunamafuta ya kutosheleza.

Ikiwa ni siku 2 kabla ya mwenge wa uhuru kumulika wilaya ya kyela.

Naomba kutoa taarifa juu ya kinachoendelea kyela

1. Zaidi ya wiki mbili sasa mji wa kyela hauna umeme.

2. Ni siku ya tatu mji wa kyela hauna mafuta.

  • Mafuta leo yamefuatwa mbeya na tukuyu mabaharia wanajipanga kufuata Malawi. Wauzaji holela wameuza bei ya shilling elf 5 kwa lita Asubuhi na jioni hii wamejiuzia sh elf nane hadi 10 Hatujui kesho
  • Boda Boda nyingi zimepaki. Umbali ulio kuwa ukilipa buku kwa boda boda leo imefika sh 3000.
  • Ukosefu wa magari umesababisha watu washindwe kufika misibani.

NB; nisiwe mbali na wale chawa wanao muunga mkono mama. Hakika anakubalika huku Kyela. Mitano tena! Anaupiga mwingi!!!
 
Ikiwa ni siku 3 kupita tangu waziri mwenye dhamana kuwahadaa wananchi kuwa Tanzania kunamafuta ya kutosheleza.

Ikiwa ni siku 2 kabla ya mwenge wa uhuru kumulika wilaya ya kyela.

Naomba kutoa taarifa juu ya kinachoendelea kyela

1. Zaidi ya wiki mbili sasa mji wa kyela hauna umeme.

2. Ni siku ya tatu mji wa kyela hauna mafuta.

  • mafuta leo yamefuatwa mbeya na tukuyu mabaharia wanajipanga kufuata Malawi. Wauzaji holela wameuza bei ya shilling elf 5 kwa lita Asubuhi na jioni hii wamejiuzia sh elf nane hadi 10 Hatujui kesho
  • Boda Boda nyingi zimepaki. Umbali ulio kuwa ukilipa buku kwa boda boda leo imefika sh 3000.
  • ukosefu wa magari umesababisha watu washindwe kufika misibani.

NB; nisiwe mbali na wale chawa wanao muunga mkono mama. Hakika anakubalika huku Kyela. Mitano tena! Anaupiga mwingi!!!
Wivu tu. Sasa Dkt Samia anahusikaje
 
Masikini Tanzania. Tuko na serikali isiyo ma uwezo wa kuongoza, nchi inazama kwenye mdororo mkubwa wa uchumi kwasababu ya incompetence ya kiongozi mkuu.

Haraka haraka za kutaka kubadilisha mambo. Mwisho wa siku ameteua watoto wa maswahiba vilaza kuongoza serikali. Amejaza wafanyabishara wenye migongano ya kimaslahi kwenye bodi za taasisi za serikali. Alafu anategemea miujiza.
 
Nimekubali.
Wapinzani wapo ndani ya Baraza la mawaziri.
Hili Baraza halina team work.
Ni each for himself.
 
Back
Top Bottom