Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,428
Mwakilishi wa Chadema kwenye Msiba wa Diwani wa Kata ya Nkokwa , amemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo kuchunguza ufisadi unaofanywa na Halmashauri hiyo .
Huku akishangiliwa na waombolezaji , Mwakilishi huyo amewatangazia wana Kyela , ujio wa Oparesheni 255 kwenye eneo hilo na kuahidi kuanika kila uchafu unaofichwa , amezungumzia bei ya Petroli na Mgao wa umeme , jambo lililozidisha simanzi kwenye msiba huo .
Jambo Muhimu ni kwamba Chadema imegawa Bahasha kadhaa zenye vitita vya Rambi rambi kwa Mwenyekiti wa ccm(wilaya) , Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo na Bahasha nyingine imepewa familia ya Marehemu.