Wananchi wa Kyela wanatamba na Sukari ya Malawi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,340
Nchi ndogo ya Malawi iliyojaa akili nyingi kwa miaka mingi haijawahi kukumbwa na Uhaba wa sukari. Bali mara zote inazidiwa na sukari kiasi cha kuruhusu ivushwe Tanzania ili kuokoa Uhaba wa sukari wa nchi hiyo duni.

Haya malalamiko yenu kuhusu Uhaba wa sukari, Kyela hayapo kwa vile sukari ya bei chee kutoka Malawi inatosheleza.

Mungu ibariki Malawi.
 
Nchi ndogo ya Malawi iliyojaa akili nyingi kwa miaka mingi haijawahi kukumbwa na Uhaba wa sukari , Balo mara zote inazidiwa na sukari kiasi cha kuruhusu ivushwe Tanzania ili kuokoa Uhaba wa sukari wa nchi hiyo duni .

Haya malalamiko yenu kuhusu Uhaba wa sukari , Kyela hayapo kwa vile sukari ya bei chee kutoka Malawi inatosheleza .

Mungu ibariki Malawi .
Inawezekana hawatumii sukari sana; kuna nchi nyingine sukari siyo kitu cha muhimu kabisa. Tatizo la sukari Tanzania ni tatizo sugu sana tangu hata mimi ningali mtoto hadi leo nazeek sukari ni hadimu muda wote. Dawa ni kuongeza uzalishaji wa ndani. Wakati wa utoto wetu sukari ilikuwa inazaliswa Kilombero tu; Nyerere akaongeza viwanda vya Mtibwa na Kagera mwanzoni mwa miaka ya sabai; nadhani mwaka 1975 au 1976 hivi. Mpaka Bakhresa anafungua kiwanda kingine Bagamoyo hakujawahi kuwepo kwa juhudi za kujenga viwanda vinginbe licha ya kuwepo walaji wengi.
 
Inawezekana hawatumii sukari sana; kuna nchi nyingine sukari siyo kitu cha muhimu kabisa. Tatizo la sukari Tanzania ni tatizo sugu sana tangu hata mimi ningali mtoto hadi leo nazeek sukari ni hadimu muda wote. Dawa ni kuongeza uzalishaji wa ndani. Wakati wa utoto wetu sukari ilikuwa inazaliswa Kilomnbelo tu; Nyerere akaongeza viwanda vya Mtibwa na Kagera mwanoni mwa miaka ya sabai; nadhani mwaka 1975 au 1976 hivi. Mpaka Bakhresa anafungua kiwanda kingine Bagamaoyo hakujawahi kuwepo kwa juhudi za kujenga viwanda vinginbe licha ya kuwepo walaji wengi.
Kwamba hawatumii sukari sana , sidhani
 
Nchi ndogo ya Malawi iliyojaa akili nyingi kwa miaka mingi haijawahi kukumbwa na Uhaba wa sukari , Balo mara zote inazidiwa na sukari kiasi cha kuruhusu ivushwe Tanzania ili kuokoa Uhaba wa sukari wa nchi hiyo duni .

Haya malalamiko yenu kuhusu Uhaba wa sukari , Kyela hayapo kwa vile sukari ya bei chee kutoka Malawi inatosheleza .

Mungu ibariki Malawi .
Na hata Sukari ya Zambia pia ipo, si ni majirani zetu, kwan kunashida gani 🐒

Na by the way na wao wananufaika na konyagi na visungura kutoka TZ, kuna tatizo apo.

Wao wamepata soko la sukari na sie tumepata soko la konyagi na visungura 🐒
 
Wananchiiiii tumepigwajeee hapoo..

Yaan mpk tusemeeee ...
IMG-20240218-WA0028.jpg
 
Nchi ndogo ya Malawi iliyojaa akili nyingi kwa miaka mingi haijawahi kukumbwa na Uhaba wa sukari , Balo mara zote inazidiwa na sukari kiasi cha kuruhusu ivushwe Tanzania ili kuokoa Uhaba wa sukari wa nchi hiyo duni .

Haya malalamiko yenu kuhusu Uhaba wa sukari , Kyela hayapo kwa vile sukari ya bei chee kutoka Malawi inatosheleza .

Mungu ibariki Malawi .
Mkuu Mwezi wa Ramazani unakuja hebu tuma Semi moja huku Sanga Mwalugesha.
 
Kila siku tunaambiwa sukari inaua figo, inasababisha magonjwa ya moyo, lakini bado tunalalamika kukosekana kwa sumu hiyo , kwa nini tusitumia fursa hiyo kusema sukari sasa basi?
C wataalamuu wanasema ss mkuu baada ya kuhadimikaa ...

CCM ktk ubora wakeee ,,sukarii tu ttz ,hyo tren ya mwendo kasii mbonaa Kuna cku mtasikia vinauzwa Kwa kusingiziwa vyuma chakavu kumbe mradi wa mtu wanauziwa nchi jiran na maishaa yataendelea tu na mradi utajifiaa kifo ambacho watanzaniaa wengi hawataaminii .....

CCM kiufupi nchi imewashinda n vile tu hakuna uhuru wa sanduku la kura ,kiukwel tumewachokaa CCM uwiiiiiiiíiiiiiiiiiiiui
IMG-20240218-WA0028.jpg
 
Bwashee, wewe si ni mfanyabiashara wa kimataifa, kwa nini usichangamkie fulsa na kuingiza sukari toka Malawi na kuuza hapa nchini? Hata ukitosheleza kanda ya Nyanda za juu kusini peke yake utakuwa umeokoa jahazi!
Huoni Rosttamu anachangamkia fulsa kwenye kila ziara ya rais na yeye yupo? Au unadhani fulsa za kibiashara huwa zinakujaje?
 
Mkuu Mwezi wa Ramazani unakuja hebu tuma Semi moja huku Sanga Mwalugesha.
Hahaa, Sanga Mwalugesha. Umewahi kufika huko?

Nilifika huko wakati nikiwa mwalimu huko Mwanhuzi. Watani zangu wasukuma wakawa wananilazimisha kuongea kisukuma wakati sikijui!

Ila nilifurahia sana maisha ya usukumani. Wasukuma ni watu wema.
 
Bwashee, wewe si ni mfanyabiashara wa kimataifa, kwa nini usichangamkie fulsa na kuingiza sukari toka Malawi na kuuza hapa nchini? Hata ukitosheleza kanda ya Nyanda za juu kusini peke yake utakuwa umeokoa jahazi!
Huoni Rosttamu anachangamkia fulsa kwenye kila ziara ya rais na yeye yupo? Au unadhani fulsa za kibiashara huwa zinakujaje?
Muulize Sauli kilichomkuta miaka ile , Mamlaka za Tanzania zinaona wivu mno sukari ya malawi ikija Tz
 
Nchi ndogo ya Malawi iliyojaa akili nyingi kwa miaka mingi haijawahi kukumbwa na Uhaba wa sukari , Balo mara zote inazidiwa na sukari kiasi cha kuruhusu ivushwe Tanzania ili kuokoa Uhaba wa sukari wa nchi hiyo duni .

Haya malalamiko yenu kuhusu Uhaba wa sukari , Kyela hayapo kwa vile sukari ya bei chee kutoka Malawi inatosheleza .

Mungu ibariki Malawi .
Kiwanda cha sukari cha Malawi ni cha kampuni ya Illovo pacha wa kampuni ya Illovo Kilombero.
 
Back
Top Bottom