Biashara ipi ya vyakula na nafaka mfano ndizi za kupika, inaweza stawi kwa mtaji wa laki 7?

Lexus SUV

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
4,196
5,134
Habari wa ndugu,

Napenda ulizia ni biashara ipi inaweza stawi na kukua kwa mtaji wa kiasi cha shillingi laki 7, biashara yenyewe au ujasiliamali wenyewe uwe ni mkoa wa kilimanjaro.

Maana nilikuwa na wazo la kununua ndizi mbichi nizipeleke Dodoma kwa mtaji wa laki 7.

Karibuni.
 
Back
Top Bottom