Nimejikuta napenda kupika

Ndg zangu.

Kipindi hiki ni wiki moja watoto wakiwa wamewnza likizo napenda sana kuwafundushq mapishi mbalimbali. Tukiwa jikoni yaani ni kama hotelier vile.

Sasa sijui wife anawqza nini ndoa isije tetereka
Kama wewe ni Mwanamme your finished.
 
Kama wewe ni Mwanamme your finished.
Yaan anamaanisha umeisha Mzee wangu ushakua Bushoke subiri kukaribisha Mwanaume mwenzio ndani wewe ushaonekana ni km kaka wa kazi ndani ya nyumba umechukua majukumu ya mfanyakazi wenu wa ndani Ashura na Delina
 
mwanaume wife akienda kwenye msiba ndio upike tena usiku mchana kula Kwa mamá ntilie

vile vile kwamujibu waibara ya katiba inasema mwanaume kama wife hayupo inatakiwa ujipikie ugali wadona na mboga zamajani namatunda tuu.

sheria imepinga vikali mwanaume kupika pilau ukikamatwa nijela miaka kumi.
Kama ni hivo basi mimi itabidi nikae jela kifungo maisha. Sababu napika pilau, biriani, Chapati zote na keki pia. Nisomee hukumu mkuu
 
mwanaume wife akienda kwenye msiba ndio upike tena usiku mchana kula Kwa mamá ntilie

vile vile kwamujibu waibara ya katiba inasema mwanaume kama wife hayupo inatakiwa ujipikie ugali wadona na mboga zamajani namatunda tuu.

sheria imepinga vikali mwanaume kupika pilau ukikamatwa nijela miaka kumi.
🤣🤣🤣
 
Ndg zangu.

Kipindi hiki ni wiki moja watoto wakiwa wameanza likizo napenda sana kuwafundusha mapishi mbalimbali. Tukiwa jikoni yaani ni kama hotelier vile.

Sasa sijui wife anawaza nini ndoa isije tetereka

Soon utakuja kutulalamikia hapa kuwa unaachiwa majukumu na mkeo
Ni suala la muda tu......
 
Yaan anamaanisha umeisha Mzee wangu ushakua Bushoke subiri kukaribisha Mwanaume mwenzio ndani wewe ushaonekana ni km kaka wa kazi ndani ya nyumba umechukua majukumu ya mfanyakazi wenu wa ndani Ashura na Delina
Siyo kaka wa Kazi tu Bro. Huyo ni Dada wa Kazi kabisa ( a.k.a house girl material) .Kwa kweli Mungu amrehemu mwenzetu huyu.
 
Yaan anamaanisha umeisha Mzee wangu ushakua Bushoke subiri kukaribisha Mwanaume mwenzio ndani wewe ushaonekana ni km kaka wa kazi ndani ya nyumba umechukua majukumu ya mfanyakazi wenu wa ndani Ashura na Delina
Ukirejea uzi wa msingi. Nimesema nawafundisha watoro
 
Back
Top Bottom