kitengo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa: Kitengo cha TECU Kuimarishwa, Kutoa Fursa kwa Vijana

    KITENGO CHA TECU KUIMARISHWA, KUTOA FURSA KWA VIJANA: WAZIRI BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) itaendelea kukiimarisha Kitengo cha Usimamizi wa Miradi kutoka TANROADS (TECU) ili kiweze kusimamia utekelezaji wa miradi...
  2. Konseli Mkuu Andrew

    Kutokana na ukosefu sugu wa vitendea kazi Jeshi la Zimamoto napendekeza liunganishwe na kiwe kitengo ndani ya jeshi la polisi

    Siku za nyuma kidogo nilipiga simu jeshi la zimamoto na katika maongezi yetu na askari aliyekuwa mapokezi nikamuuliza ni kwanini huwa wanachelewa kufika eneo la tukio panapotokea ajali ya moto na hata wakifika huwa hakuna msaada wanaotoa. Alichonieleza ni kuwa sio kama wanapenda kufanya hivyo...
  3. M

    Vitengo vya habari viwe makini katika video na picha za Rais zinazotumwa kwa jamii

    Jana nimeona clip ya mh rais wetu mpendwa mheshimiwa ukht Samia kuhusu taarifa ya kifo cha mzee Mwinyi Clip ile inamakosa yamejitokeza ambayo mh rais hakupenda yafike kwa jamii lkn yamefika. Wakosoaji wa kisiasa wanatumia fursa hio. Ushauri Taarifa kama zile zisiwe live zirkodiwe zieditiwe...
  4. Stroke

    Leo Tanesco itakuwa kuna intern kitengo cha switch ya kukata umeme. Wanakata kila baada ya nusu saa.

    Naamini kabisa leo kuna mtu anapata mafunzo kwa vitendo kwenye kitengo cha kukata umeme hapo Tanesco. Maana kila baada ya nusu saa wanakata. Nimekaa hapa nawahesabia tu.
  5. luangalila

    Imekaaje kampuni ya kutoa huduma ya mawasiliano kutokuwa na kitengo cha huduma kwa wateja?

    Naona Vodacom wame amua kutoa huduma za customer service za moja kwa moja yaan namba 100. Na TCRA wapo kimyaaa, jamaa nawapigia kuwapa taarifa wafunge namba yangu imeibiwa usiku huu ila ajabu ukipiga simu namba 100 kuna option 2 tu ni either uchague 1 au 2 na zote izo hupati nafasi ya kiongea...
  6. A

    DOKEZO Hospitali ya Halmashauri ya Kibondo kuna uonevu mkubwa kwa watumiaji wa Bima

    Mapema jana(Novemba 30, 2023), wagonjwa tuliokuja hapa hospitalini kutibiwa tulikutana na kadhia ya kutukanwa na muhudumu aliyekuwa chumba cha wagonjwa wa nje(OPD) wanaotibiwa kwa bima. Mhudumu huyo alituweka benchi tangu saa tatu asubuhi Hadi saa kumi na nusu jioni aliporudi akatuambia muda...
  7. JanguKamaJangu

    Kitengo cha Huduma kwa Wateja TANESCO kinafanya kazi chini ya kiwango

    Moja kati ya changamoto kubwa ambayo Watanzania tunayo kwenye huduma zenu ni kuhusu kuwahudumia wateja au watu wenye uhitaji. Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi, kwa miezi kadhaa nimekuwa nakwaruzana na watu wa TANESCO kuhusu huduma kwa wateja “Customer Service”. Inawezekana...
  8. Smt016

    Kitengo cha uamasishaji Yanga imefeli sana

    Timu ya Yanga imepata nafasi ya kuingia katika tuzo za CAF katika vipengele viwili.. Cha kwanza ni kipa bora wa msimuNa ya pili ni klabu bora ya msimu. Ukiangalia, tokea ushindi wa goli tano zidi ya mtani wake wao wamekomaa na ishu hiyo hiyo moja na wakati mechi imeisha na hata ukisema...
  9. runtown

    Uonevu wa Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani wilayani Rombo

    Askari polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Kilimanjaro wilayani Rombo wanaonea madereva wa daladala kwa kuwaandikia faini wakiwakuta wakiwa wanapakia sehemu zenye parking na kibao kinaruhusu kupakia na kushusha. Mimi ni mhanga wa hili tukio nitashusha screenshot ya faini.
  10. Mto Songwe

    Kitengo cha maudhui ya mitandaoni cha Israel kinaongozwa na wahuni au watu wasiojitambua

    Toka huu mzozo wa Israel na Palestine kushika kasi kwa sasa. Kuna baadhi ya mambo ya nimeyang'amua yanayo onesha upuuzi wa idara mbalimbali au vitengo mbalimbali katika taifa la Israel. Moja ya kitu kinacho nishangaza na kunipa mashaka juu ya utimamu wa kiakili wa watu wanaongoza utoaji wa...
  11. sky soldier

    Yanga wapewe maua yao kwenye kitengo cha Habari lakini tovuti rasmi ni kituko, imekachwa, ina muonekano kama blog za udaku. Mtutolee hii aibu

    Ni kweli Yanga ndio walikuwa na tovuti mapema zaidi kuanzia mwaka 2012 tofauti na Simba walioanza kuwa na tovuti mwaka 2019 lakini kinachoendelea kwenye tovuti ya Yanga ni aibu na wala hakiendani na uzito wa idara ya habari inayofanya makubwa kwenye mitandao ya kijamii. Daima mbele nyuma mwiko...
  12. Erythrocyte

    Tanzania: Kila anayeteuliwa anaitwa "Kitengo" hivi Wakulima na Wafanyakazi hawawezi kuteuliwa?

    Hii Nchi ni dhahiri sasa kwamba Wananchi wake wamechoka kuwaza , nadhani hali hii inatokana na dhiki zinazowakabili raia ikiwa ni pamoja na umasikini wa kutupwa pamoja na mgawo kabambe wa umeme . Yaani kila mtu ambaye siyo Mtoto wa kiongozi akiteuliwa kushika wadhifa wowote anaonekana ni...
  13. R

    Kwanini nchi haina Kitengo cha Intelijensia ya Uchumi?

    Muundo wa Serikali ulivyo ni wazi hatuna kitengo kinachoratibu na kusimamia intelijensia ya uchumi. Kama mipango yetu ingeongozwa na intelijensia ya uchumi maana yake sera zetu zingeeleweka hadi ngazi ya mtaa ila kwa sasa hata mawaziri hakuna ajuaye tuna threat na opportunity gani kisekta...
  14. Richard

    Angola walitangaza zabuni na DP World ikashinda na sasa yasimamia kitengo cha makontena bandari ya Luanda

    Naam, ni DP World Luanda Port. Bandari ya Luanda ni moja ya bandari kubwa nchini Angola kati ya bandari zake zikiwemo za Lobito na Benguela ambazo zipo pembezoni mwa bahari ya Atlantic. Lakini serikali ya Angola kwa kuona ufanisi mdogo uso na tija kwa uchumi wake ikaamua kutafuta mzabuni ambae...
  15. Mr Why

    Ushauri kwa TCRA kitengo cha Tovuti

    TCRA napenda kuwashauri kuhusiana na tovuti hasa zinazo onesha maudhui yasiyo faa. Napenda kuwashauri kuwa hakuna haja ya kufungia tovuti za ngono kwasababu tovuti hizo haziwafuati watumiaji na wala hazilazimishi watumiaji kuzifuata bali ni watumiaji ndio wanaozifuata. Kitendo cha TCRA...
  16. JanguKamaJangu

    Wafanyabiashara: Chanzo la tatizo Kariakoo ni Kitengo cha Forodha Bandarini, Mawaziri hawamsaidii Rais

    Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam, Muliro amesema: “Changamoto ya Kariakoo chanzo ni Bandarini kwenye kitengo cha Forodha, pale mifumo ya kodi si rafiki, ukitaja thamani ya kodi halisi hauwezi kutoa mzigo. Kinachofuata unashirikiana na makamishna wa Forodha...
  17. L

    Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini, ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini?

    Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini ,ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini! Majibu yako, yatazingatiwa
  18. pombe kali

    TRA kitengo cha elimu kwa mlipa kodi kijitathmini

    Suala la kulipa kodi ni suala la kizalendo hii elimu inatakiwa iwe inawekwa kwenye mitaala ya shule zetu, mifumo yetu ya elimu imejikita zaidi kwenye kuajiriwa hivi majuzi imekuwa kama kauli mbiu ya serikali Kwamba watu wajiajiri kwani serikali haina ajira za kuwapa..inasikitisha sana inapotokea...
  19. S

    Wanaofanya kazi ya kupoteza watu ndani ya "Kitengo" wanapataje kazi hii?

    Kwa mwenye kujua, hivi watu wanaofanya hii kazi ya kikatili wanakuwa na sifa gani za kupewa hii kazi ndani ya Kitengo? Kama ni vibarua, Je, hununuliwa vitu kama bangi waweze kuifanya hiyo kazi pasipo kujali wanachokiofanya? Au watu wakishapata ajira, baadhi yao hupangiwa hii kazi wapende...
  20. IamBrianLeeSnr

    Kitengo kipya cha majanga ajali kushughulika katika kuokoa maisha ya watu

    Wizara ya Afya imeendelea kuboresha mikakati ya kuokoa maisha ya watu kutokana na majanga na ajali kwa kuanzisha Kitengo mahsusi kitakachoshughulika na kuokoa maisha ya watu kutokana na ajali. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo akiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...
Back
Top Bottom