Leo Tanesco itakuwa kuna intern kitengo cha switch ya kukata umeme. Wanakata kila baada ya nusu saa.

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,692
40,947
Naamini kabisa leo kuna mtu anapata mafunzo kwa vitendo kwenye kitengo cha kukata umeme hapo Tanesco.

Maana kila baada ya nusu saa wanakata.

Nimekaa hapa nawahesabia tu.
 
Hapo tanesco lazima kuna mpinzani wa serikali ya mama na vile uchaguzi umekaribia anataka serikali ya mama iangukie pua

Asante sana Mkata umeme huku mtaani umerudi nakuomba ukate tena
 
Bora huko kwenu ni kila baada ya nusu saa. Huku mkoani niliko, ni kila baada ya dk mbili, mpaka unajiuliza "Kuna Mtoto yuko makao Makuu TANESCO amepewa remote kimakosa Sasa Kazi yaje ni kubonyeza bonyeza pasipo kujua athari Kwa jamii?"
Inakera sana
Yaani hata aibu hawana aisee.

Mtu anaoga ana pata kifungua kinywa anakwenda ofisini kutukatia umeme.

Shame.
 
Kama bandari tumeshindwa wakampa mwarabu hii tanesko wanashindwa Nini kumpa mwarabu angarau huu ujinga uishe
 
Tanesco Wilaya ya °Chunya°, Mkoa wa Mbeya wameshindikana Kwa aslimia 100%
Wilaya Ya Chunya-Mkoa wa Mbeya- ukatikaji wa Umeme limekuwa janga Kubwa sana Kwa kweli.
Mbaya zaidi, waathirika wakubwa ni wenye "Elution plants", Karasha (Crusher), na migodi ya dhahabu wanaotegemea Umeme kuendeshea shughuli zao. Kwa hiyo, Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, na Serikali ya Tanzania kiujumla, mapato yanapungua Kwa kuwa uzalishaji wa madini unapungua sababu ya kukatikakatika Kwa Umeme kila wakati (Umeme usio wa uhakika).
 
Back
Top Bottom