Kitengo cha Huduma kwa Wateja TANESCO kinafanya kazi chini ya kiwango

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
Moja kati ya changamoto kubwa ambayo Watanzania tunayo kwenye huduma zenu ni kuhusu kuwahudumia wateja au watu wenye uhitaji.

Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi, kwa miezi kadhaa nimekuwa nakwaruzana na watu wa TANESCO kuhusu huduma kwa wateja “Customer Service”.

Inawezekana shida ni kubwa zaidi ya tunavyoiona sisi Wananchi ambao tupo ndani ya TANESCO.

Kwanza walichoamua badala ya kupiga simu ipokelewe eneo husika ulilopo, mteja akiwa na changamoto anapiga simu kwenye namba ambazo nadhani zinapokelewa makao makuu kisha unatoa taarifa yako ili nao wafikishe kwenye mkoa au eneo ulilopo ndipo uweze kusaidiwa.

Inawezekana walikuwa na mkakati wao, lakini mara kadhaa imetokea napia simu kwanza haipokelewi, maelezo yanakuwa mengiiiiii lakini hupati huduma.

Wana namba yao ya WhatsApp ambapo unaona namba ipo online lakini ili ufanikiwe kupata huduma kazi ipo.

Ukipiga hiyo namba wanakata, ukituma sms hawajibu.

Imenitokea hiyo mara kadhaa na kuna muda nikalazimika kuanza kusambaza ujumbe kuonesha nimepiga simu na kutuma SMS kwenye namba lakini zijasikilizwa licha ya wao kudai namba hiyo ya Huduma kwa Wateja ni ya dharura.

Wakipokea ni mara nyingi wanakupa maneno mazuri kuwa changamoto yako imepokelewa na inafanyiwa kazi, baada ya hapo utaisoma namba, wanaingua sana.

Unaweza kuwa na dharura kubwa lakini ili upate huduma ya kidharura labda uwe na namba ya mtu mwenye cheo TANESCO au uwe unafahamiana na staff ndio utapata huduma fasta, tofauti na hapo ni hasira tupu.

Nadhani moja kati ya mambo yanayoweza kufanywa ili huduma ziboreshwe kwanza ni kuvunja kitengo hicho na kuunda upya, kubadilisha usimamizi wa mtu anayesimamia au Serikali iruhusu ushindani wa kuuza umeme isiwe TANESCO peke yake, inawezekana wanabweteka na wanaona hakuna sehemu nyingine ya kukimbilia.
 
Hiyo TANESCO yenyewe yote inafanya kazi chini ya kiwango ndio maana umeme umekua bidhaa adimu Tanzania hadi watu wamezoea so usidhani ni hicho kitengo kimoja tuu.
 
Kitengo cha huduma kwa wateja kwenye sekta za serikali bado imekuwa ni changamoto kubwa sana labda kwenye sekta binafsi
 
Moja kati ya changamoto kubwa ambayo Watanzania tunayo kwenye huduma zenu ni kuhusu kuwahudumia wateja au watu wenye uhitaji.

Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi, kwa miezi kadhaa nimekuwa nakwaruzana na watu wa TANESCO kuhusu huduma kwa wateja “Customer Service”.

Inawezekana shida ni kubwa zaidi ya tunavyoiona sisi Wananchi ambao tupo ndani ya TANESCO.

Kwanza walichoamua badala ya kupiga simu ipokelewe eneo husika ulilopo, mteja akiwa na changamoto anapiga simu kwenye namba ambazo nadhani zinapokelewa makao makuu kisha unatoa taarifa yako ili nao wafikishe kwenye mkoa au eneo ulilopo ndipo uweze kusaidiwa.

Inawezekana walikuwa na mkakati wao, lakini mara kadhaa imetokea napia simu kwanza haipokelewi, maelezo yanakuwa mengiiiiii lakini hupati huduma.

Wana namba yao ya WhatsApp ambapo unaona namba ipo online lakini ili ufanikiwe kupata huduma kazi ipo.

Ukipiga hiyo namba wanakata, ukituma sms hawajibu.

Imenitokea hiyo mara kadhaa na kuna muda nikalazimika kuanza kusambaza ujumbe kuonesha nimepiga simu na kutuma SMS kwenye namba lakini zijasikilizwa licha ya wao kudai namba hiyo ya Huduma kwa Wateja ni ya dharura.

Wakipokea ni mara nyingi wanakupa maneno mazuri kuwa changamoto yako imepokelewa na inafanyiwa kazi, baada ya hapo utaisoma namba, wanaingua sana.

Unaweza kuwa na dharura kubwa lakini ili upate huduma ya kidharura labda uwe na namba ya mtu mwenye cheo TANESCO au uwe unafahamiana na staff ndio utapata huduma fasta, tofauti na hapo ni hasira tupu.

Nadhani moja kati ya mambo yanayoweza kufanywa ili huduma ziboreshwe kwanza ni kuvunja kitengo hicho na kuunda upya, kubadilisha usimamizi wa mtu anayesimamia au Serikali iruhusu ushindani wa kuuza umeme isiwe TANESCO peke yake, inawezekana wanabweteka na wanaona hakuna sehemu nyingine ya kukimbilia.
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, tunapenda kufahamu changamoto yako ili tuweze kuku hudumia tafadhali.^OK
 
Pamoja na changamoto za umeme kukatikakatika, kitengo cha huduma kwa wateja kinajitahidi Kutoa huduma nzuri sababu Mimi nilihudumiwa vizuri na tatizo lilitatuliwa.
 
Katika utumishi wa umma ukiacha hawa wa vyombo vya ulinzi na usalama ambao huwezi kuwafukuza wote, wengine wote waliobakia inafaa kupita fagia fagia kali sana.

Watumishi wa umma wanafanya kazi kama wanatoa msaada, ni kama vile wamelazimishwa kufanya kazi. Inafaa kuwafukuza hata robo tatu yao na kuajiri vijana wenye njaa ya kufanya kazi waliosoma na wapo mitaani wanahangaika. Tena hii itasaidia sana na vijana nao waweze kuonja keki ya taifa.
 
janausiku nilihangaika sana kununua umeme lakini mtandao wao haukubali.nimepata hasara kunavitu vilikuwa vinahitaji kuwekwa kwenye mafrij iladah

umekuja kukubali sasaba mchana.
Muwe mnatembelea kurasa zao, mbona walitangaza mapema kuwa Trh. 27 usiku Hadi 28 Asb kutakuwa na maboresho kwenye mfumo wa LUKI hivyo mteja anunue umeme mapema kabla haujaisha kuepuka usumbufu(kukosa umeme). Kwa hili hawapaswi kulaumiwa.
 
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, tunapenda kufahamu changamoto yako ili tuweze kuku hudumia tafadhali.^OK
TANESCo hasa MAKAO MAKUU mnajitahidi sana kutoa huduma Kwa wateja. Sijawahi kukosa huduma Toka MAKAO MAKUU na shida yangu inatatuliwa Kwa uhakika. Najua hakuna kizuri kisichokosa kasoro, Kwa Yale mapungufu mjitahidi kurekebisha.
 
Moja kati ya changamoto kubwa ambayo Watanzania tunayo kwenye huduma zenu ni kuhusu kuwahudumia wateja au watu wenye uhitaji.

Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi, kwa miezi kadhaa nimekuwa nakwaruzana na watu wa TANESCO kuhusu huduma kwa wateja “Customer Service”.

Inawezekana shida ni kubwa zaidi ya tunavyoiona sisi Wananchi ambao tupo ndani ya TANESCO.

Kwanza walichoamua badala ya kupiga simu ipokelewe eneo husika ulilopo, mteja akiwa na changamoto anapiga simu kwenye namba ambazo nadhani zinapokelewa makao makuu kisha unatoa taarifa yako ili nao wafikishe kwenye mkoa au eneo ulilopo ndipo uweze kusaidiwa.

Inawezekana walikuwa na mkakati wao, lakini mara kadhaa imetokea napia simu kwanza haipokelewi, maelezo yanakuwa mengiiiiii lakini hupati huduma.

Wana namba yao ya WhatsApp ambapo unaona namba ipo online lakini ili ufanikiwe kupata huduma kazi ipo.

Ukipiga hiyo namba wanakata, ukituma sms hawajibu.

Imenitokea hiyo mara kadhaa na kuna muda nikalazimika kuanza kusambaza ujumbe kuonesha nimepiga simu na kutuma SMS kwenye namba lakini zijasikilizwa licha ya wao kudai namba hiyo ya Huduma kwa Wateja ni ya dharura.

Wakipokea ni mara nyingi wanakupa maneno mazuri kuwa changamoto yako imepokelewa na inafanyiwa kazi, baada ya hapo utaisoma namba, wanaingua sana.

Unaweza kuwa na dharura kubwa lakini ili upate huduma ya kidharura labda uwe na namba ya mtu mwenye cheo TANESCO au uwe unafahamiana na staff ndio utapata huduma fasta, tofauti na hapo ni hasira tupu.

Nadhani moja kati ya mambo yanayoweza kufanywa ili huduma ziboreshwe kwanza ni kuvunja kitengo hicho na kuunda upya, kubadilisha usimamizi wa mtu anayesimamia au Serikali iruhusu ushindani wa kuuza umeme isiwe TANESCO peke yake, inawezekana wanabweteka na wanaona hakuna sehemu nyingine ya kukimbilia.
Shirika libinafsishwe
 
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, tunapenda kufahamu changamoto yako ili tuweze kuku hudumia tafadhali.^OK
Hamjamuomba number ya simu na location...
 
Hiyo kazi ya huduma kwa wateja alikuwa anaiweza zaidi Maharage, wangemfanya kuwa mkuu wa kitengo.
 
Mimi dk 10 zilizopita nimepiga simu halmashauri ya ubungo wamekata tena namba zote mbili, sasa sijui wameweka za nini.
Wanaweka mifumo ya kimitandao halafu hawataki kuihudumia,
Inakera sana pumbafu.
Nina siku ya tatu napiga hawapokei.. Leo wamemua kuniblock kabisa
Screenshot_20231214-084655.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom