kinyerezi

Kinyerezi is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 5,811.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Serikali kupitia TANROADS imemkabidhi Mkandarasi kazi ya ujenzi wa Barabara ya Kimara-Bonyokwa-Kinyerezi kwa kiwango cha lami

    Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imemkabidhi Mkandarasi kazi ya ujenzi wa Barabara ya Kimara – Bonyokwa – Kinyerezi kwa kiwango cha lami; Sehemu ya kwanza yenye urefu wa kilomita 6 pamoja na ujenzi wa daraja la Kinyerezi lenye urefu wa mita 25. Akizungumza kwa niaba ya...
  2. Annie X6

    KERO Waziri wa Maji jitokeze huko uliko uagize Tabata Kinyerezi wafunguliwe maji

    Mimi kama mama. Naomba waziri waa mbie waache visa vyao, wanapogombana wao kwa wao anayeumia ni mama. Wasichana wadogo wanabakwa, wakinamama tunadhalilika. Jamani tuoneeni huruma mpate uongofu wa Mungu. Hawa watu waache kumtesa mwanamke. Imetosha baasi. Haiwezekani nadamka asb kuchota maji...
  3. K

    Dar: Maeneo ya Segerea hadi Kinyerezi hakuna Maji

    Mkuu Naomba nilete kwako kero hii ambayo kwa hapa Dar es Salaam imeelekea kukomaa sasa. Kuanzia tabata, segerea kinyerezi huduma ya maji haipatikani. Bila shaka kuna kutoa rushwa maji yafunguliwe upande wenu. Maeneo ya Kanga Kinyerezi maji hayatoki wiki ya 3. Mheshimiwa unahujumiwa tunaomba...
  4. N

    House4Sale Nauza nyumba maeneo mbalimbali Dar

    NYUMBA ionekanayo pichani inaizwa TSH 15,000,000 (milioni kumi na tano) mazungumo Yapo -vyumba 2 vya kulala kimoja máster -Sebule -jiko -publick toilet NYUMBA ipo Mbagala Dar es Salaam maji matitu Kwa maelezo zaidi 0714337378/0715053339
  5. Candela

    Naomba kujuzwa bei za viwanja Kinyerezi Mwisho

    Guys, nina ndugu anatafuta kiwamja 25 X 30 (750m²). Alipendekeza kinyerezi kuwa patamfaa. Katika kumsaidia kutafuta nikapata agency flani wakaniambia 65,000 per m². Meaning 48,750,000 kwa size anayotaka. Sasa kabla hatuja close deal nafanya due diligence nione kama hii bei ni thaman halisi ya...
  6. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Yatembembelea Chanzo cha Umeme wa Treni ya Kisasa Kinyerezi

    ✔️Yasema watanzania wanataka kuona Treni ya Kisasa inafanya kazi ✔️Vituo vya gesi kuboreshwa ili kuongeza uzalishaji Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imesema Watanzania wanataka kuona Treni ya Kisasa (SGR) inaanza kufanya kazi kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu...
  7. L

    Kwanini Kinyerezi kuna mgawo wa Maji iwe mvua iwe jua?

    Naomba kuuliza nini kinasababisha kuendelea kuwepo kwa mgao wa Maji Kinyerezi? Mfano mimi nnapoishi sijaona maji ya DAWASA zaidi ya miezi 3 pamoja na mvua zote hizi zinazonyesha.
  8. Roving Journalist

    Wananchi washindwa kupita kwenye Mto Kinyerezi kwa siku tatu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaagiza TARURA kuhakikisha wanajenga daraja kwa haraka eneo la Tabata kinyerezi ili wananchi wapate mahali pa kupita na kuepusha maafa kwa wananchi ambao wamekuwa wakikatiza huku maji mengi yakiwa yanapita. Chalamila ametoa maagizo hayo kwa...
  9. Mwande na Mndewa

    Dawasa Kinyerezi naona mnakula kwa urefu wa Kamba

    Salaam! Salaam toka Kinyerezi mtaa wa Sadani kwa Babu Ali,huu mtaa una miezi miwili hauna maji,ratiba ya kufungulia maji mara moja kwa mwezi mtaa huu inarukwa either kwa makusudi au wanatuona sisi manyani,kuna mitaa michache inapata maji kwa mwezi hata mara 3 kimpango mkakati ili itumike kama...
  10. obedia musa

    DAWASA wanauza maji kwa njia ya magari Kinyerezi wakati Mabomba hayatoi maji

    DAWASA KINYEREZI WAHUJUMU UCHUMI… Hii ni habari ni inayopaswa kuchukuliwa na kufanyiwa kazi na Mamlaka nyingine za nchi kwa haraka sana. Ni hivi, kutokana na uhitaji wa maji kuongezeka na watumiaji kuwa wengi, Serikali iliamua kuanzisha ofisi nyingine kwa upande wa Tabata kwa kufungua ofisi ya...
  11. Mama Amon

    Mgao wa Umeme, IPTL, Kinyerezi IV, na Pan African Energy Tanzania (PAET) Ltd: Kwa nini tunarudia makosa ya enzi za Rais Kikwete?

    Mhe. Doto Biteko , Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Tangazo la serikali kuhusu mgao wa umeme unaoendelea limekuja wakati ambapo kuna maswali mengi juu ya "upungufu wa umeme" pamoja na sababu za kusimamishwa kwa Mradi wa Umeme wa Kinyerezi IV, ulioasisiwa na hayati Magufuli. Pia limekuja...
  12. Roving Journalist

    Dar: Wanawake wa Kinyerezi wazindua jukwaa lenye lengo la kumuinua Mwanamke kiuchumi

    Wanawake wa Kata ya Kinyerezi Jijini Dar es Salaam wamezindua rasmi Jukwaa la Wanawake ikiwa ni hatua ya kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika kumuinua Mwanamke kiuchumi. Jukwaa hilo limezinduliwa na Lutta Rucharaba ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Segerea, Bonnah Kamoli, jana ya Agosti...
  13. A

    DAWASA Kinyerezi mna shida gani?

    Kabla ya malipo niliwauliza inachukuwa muda gani kuunganishiwa maji wakajibu siku 7 hadi 21 za kazi sasa baada ya malipo imepita miezi miwili sasa nikiwapigia wanadai vifaa hakuna hadi nafikiria wanatengeneza mazingira ya rushwa maana sio sawa hii.
  14. FRANCIS DA DON

    Napendekeza uanzishwaji wa mradi wa Kinyerezi V hadi X

    Tanzania kwa sasa inamiliki bomba kubwa la kusafirisha gesi asilia toka Mtwara hadi Kinyerezi Dar es salaam ambalo lilijengwa kwa mkopo wa zaidi ya Dollar bilioni 1 toka China. Kwa taarifa nilizowahi kupata, ni kwamba hadi sasa Bomba hilo tunalitumia kwa chini ya asilimia 6 tu, hivyo bado kuna...
  15. Michael Amon

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kinyerezi - Songas

    Kiwanja kizuri kwa ajili ya makazi kinauzwa Kinyerezi - Songas mbele kidogo ya mitambo ya kuzisha umeme ya Kinyerezi 1 na Kinyerezi 2. Kiwanja kipo eneo la kishua (Kwa wale wanaopajua Kinyerezi - Songas basi watakwambia kuwa hii ndio Masaki ya Kinyerezi). Kiwanja kipo kwenye barabara ya lami ya...
  16. U

    Raisi tunaomba Mradi mmoja wa ziada wa Gas Kinyerezi kabla ya 2025 hata wa MW 500

    Kiuhalisia Bila Raisi Kikwete kuleta Mradi wa Kinyrrezi 1,2 na 3 na extension one, tungekimbia nchi Kwa mgao mkali wa umeme, matumizi yameongezeka zaidi ya asilimia 50, hivyo Mzee kikwete alitusaidia sana, na Sasa tuna umeme wa gas ambao ndo huu tunagawana hawana. Ombi langu Kwa Raisi Samia, ni...
  17. uberimae fidei

    Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam

    *ENEO LINAUZWA* Eneo lenye ukubwa wa *ekari ishirini* linauzwa *Pingo, Chalinze*. Eneo linapakana na *Chuo cha Ualimu Chalinze* kwa mbele na kwa upande wa kulia ni *kiwanda kipya cha vigae cha Twyford* kinachojengwa hapo Pingo.Kama ambavyo baadhi watakuwa wanajua, kiwanda cha vigae kitaajiri...
  18. JanguKamaJangu

    Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na uhakika wa umeme wa gesi kituo cha kufua umeme cha Kinyerezi II

    Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na uhakika wa upatikanaji wa umeme wa gesi katika kituo cha kufua umeme cha Kinyerezi II ambacho kinazalisha megawati 240 ambazo zinaingizwa kwenye gridi ya taifa. Kamati hiyo imefanya ziara katika Kituo cha Kinyerezi II kujionea uendeshaji...
Back
Top Bottom